yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,584
- 4,588
[emoji23][emoji23][emoji23]kama ni kwel asee sio poaHajapata bado.. anajifirahisha moyo kutudanganya
[emoji23][emoji23][emoji23]kama ni kwel asee sio poaHajapata bado.. anajifirahisha moyo kutudanganya
Nakuambia hajapata[emoji23][emoji23][emoji23]kama ni kwel asee sio poa
Hajapata bado.. anajifirahisha moyo kutudanganya
Ungepata lile swali ungepiga 100%, jus kiddin bro🤪Kaka nilikwambia hua nakosa marks moja au nusu mark, kwenye TRA nilipata 49.5
Hebu angalia Acc Officer, nimepata marks 75 halafu wakanzia kuchukua 76
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]View attachment 2510529View attachment 2510530
Shida sio kuitwa tu,hata job security etc nazo ni vitu watu wanaconsiderPrivate ndio balaa kuitwa intavuu tu ishu bora UTUMISHI kila mtu anajaribu bahati yake
Swala la kijana wangu kupata TRA sina shaka nalo ila ni huo moto wa izo post za TRA zilivo kichwani, ndo zinaniwazisha kama je pdf ikitoka april wata nitesea sana kijana wangu ataingia TRA amechoka. Maana kufatilia placement kwa mda mrefu ukiwa na tension kubwa ni psychological toture kubwa sana.Sema post yake uhakika mkubwa, Sabu nafasi zimezidi idadi ya walioingia oral.
Sema mwamba sijui alikuwa wp angechangamsha sana hii thread😆😆
Kwanza ashaongopa sio mara moja.. Ashawahi kusema anamshukuru Mungu kapata TRAKwa Nini aongope mkuu, humu hatujuani ni I'd tu. Mi naamini kla anaeleta mrejesho wa kupata au kukosa ni kweli.
Kabisa ukifanya hivyo huwezi kuwa na stress[emoji4][emoji4]Hahahahaha! Hongera sana Mkuu, hicho ulitakiwa ukifanye muda mrefu sana, lakini uzuri ni kwamba hujachelewa.
Ikiwa hili litafanyika tuwe na uhakika wasaka mrija wengi watakosa Asali na huko watajazana vigogo na ndugu zao.KWA KUWA, Mashirika ya umma yanayojiendesha kibiashara yanakabiliwa na changamoto ya upungufu wa watumishi katika kujiendesha kwake kutokana na kutegemea mchakato wa ajira unaoendeshwa na Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma katika kupata watumishi;
NA KWA KUWA, Changamoto hiyo inaathiri tija ya uwekezaji na manufaa yaliyotarajiwa kupatikana, kutokana na kukosa watumishi wanaostahili kwa wakati hata pale ambapo Shirika la Umma linapokuwa na uwezo wa mapato wa kuwalipa mishahara
KWA HIYO BASI, Bunge linaazimia kwamba, Serikali iweke utaratibu maalumu wa kutoa vibali kwa taasisi zinazojiendesha kibiashara ili ziweze kuajiri zenyewe ajira za moja kwa moja na kuweza kuendena na soko la ushindani wa kibiashara.
from kamati ya bunge hapo jana
Pole dear, huwezi kujua ata wanataka nini, muombe tu Mungu awe upande wako. Soma huku ukimuomba Mungu. Maombi ni silaha pekeeSekretarieti ya Ajira hivi huwa mnataka mtu ajibuje ndo afauru msaada wenu naomba, nimeumia Sana.
Nasubiri tu PDF, hawa jamaa kuna ile "suprise" hasa ukiwa umejipa uhakika wa kutokea katika pdf.Mzee wa Tie nyeupee
Ushajiandaa kisaikolojia kwa lolote either shangwe au maumivu?
😄
Ha ha ha,afu mimi nikimuonyesha kuwa na hii nimeitwa oral atasema nadanganya.Ungepata lile swali ungepiga 100%, jus kiddin bro🤪
Tusikate tamaa, mapambano yaendelee.
Hongera sana, all the best dearPamoja na kupita written nataman nijue nmepata marks ngapi,mana kwa nilivojibu ni YESU tu kanitendea miujiza kiumbe wake nikaonje oral for the first time[emoji120].
Some do lie to keep their identities anonymous,bt lying about kupata ama kukosa sidhan kama ni poa,inaweza kosesha mtu opportunities muhim kwa kujua tayar mambo yako ni poa.Kwanza ashaongopa sio mara moja.. Ashawahi kusema anamshukuru Mungu kapata TRA
We mzee vipengele vingi, kuaminika inakua issue sometimes.Ha ha ha,afu mimi nikimuonyesha kuwa na hii nimeitwa oral atasema nadanganya.
Kabisa kabisa,Mungu ni mkuu sana kuliko akili za mwanadam. Unaweza soma mavitabu yote na usifaulu,ni kujikabidhi kwa Mungu pekee tuPole dear, huwezi kujua ata wanataka nini, muombe tu Mungu awe upande wako. Soma huku ukimuomba Mungu. Maombi ni silaha pekee
Tuzingatie uhuru wa kutoa maoni majungu tupunguze hii ni ishu nyeti kidogo.Wewe, unauliza,unajipinga na unajijibu seems unaweza kupiga cross na ukaenda kupiga header mwenyewe Mkuu [emoji28]
Hivi huwa hamuzionagi zile Re-advertise?Sema post yake uhakika mkubwa, Sabu nafasi zimezidi idadi ya walioingia oral.
Sema mwamba sijui alikuwa wp angechangamsha sana hii thread😆😆