Black255
Senior Member
- Feb 19, 2015
- 181
- 372
Hii nchi bhana sasa mbona wanatuchanganya
Hii nchi bhana sasa mbona wanatuchanganya
yah huwa wanachanganya na wale walio kwisha kufanya usaili na ninaimani hata TRA lazima walio kanzidata pia watakuepo ktk PDFWatu 1,769 kuajiriwa kutoka kanzidata Februari hii-Jenista Mhagama
Hii habri ya lini mkuu mbn kama inavutia sanaWatu 1,769 kuajiriwa kutoka kanzidata Februari hii-Jenista Mhagama
Hatukatai michakato kuendeshwa haraka ila mianya inayoweza kuchipuka ndio itakuwa kikwazo kwa baadhi yetu.KWA KUWA, Mashirika ya umma yanayojiendesha kibiashara yanakabiliwa na changamoto ya upungufu wa watumishi katika kujiendesha kwake kutokana na kutegemea mchakato wa ajira unaoendeshwa na Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma katika kupata watumishi;
NA KWA KUWA, Changamoto hiyo inaathiri tija ya uwekezaji na manufaa yaliyotarajiwa kupatikana, kutokana na kukosa watumishi wanaostahili kwa wakati hata pale ambapo Shirika la Umma linapokuwa na uwezo wa mapato wa kuwalipa mishahara
KWA HIYO BASI, Bunge linaazimia kwamba, Serikali iweke utaratibu maalumu wa kutoa vibali kwa taasisi zinazojiendesha kibiashara ili ziweze kuajiri zenyewe ajira za moja kwa moja na kuweza kuendena na soko la ushindani wa kibiashara.
from kamati ya bunge hapo jana
Amen mkuu asante sana,nakumbuka ulinipa moyo nlivoanza kuumwa karbia na written.Kila la kheri katika hatua yako nyingine muhimu.
Mungu awe nawe!
From one job to another kuna gape kubwa nataka nipunguzeUngependa kuondoa vitu gani na unataka kubadili muda wa nini?
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika hatua yako hiyo muhimu.Wakuu na mimi naingia oral kwa mara ya kwanza, sema nafasi ni moja, hii ne green light kwangu kwa mwaka huu.
Pia niwatie moyo wale ambao wanasema utumishi hawasaishi pepa, nilifanya pepa ya UDSM hizi za juzi kati, na mimi pia nilijibu vizuri tu.
Nilipokuja jifanyia tathmini baada ya pepa niligundua maswali mawili sikuyajibu vizuri, hivyo yale malalamishi yangu ya awali kwa Sekretarieti ya Ajira juu ya usahaishaji nimeyafuta.
Hii oral yangu ya kwanza, kwakweli pepa yake ya written nilifanya vizuri na nilijua lazima nizame oral na imekuwa hivyo, ngoja nikapambanie hiyo nafasi moja.
Wakuu msikate tamaa.
View attachment 2510162
Inaumiza sana tena sana, unaweza hisi kuna kitu umemkosea muumba.
Ukiamua kuacha unaacha, mimi siku hizi napita humu kusalimia na kuwapongeza watu, kuwapa moyo waliokosa ama kukata tamaa, basi...Utaacha mwenyewe automatically siku ukiona jina lako kwenye placement
Wala usiangaike nazo, moja, formality ya usaili utumishi ni tofauti sana na huku private sector.From one job to another kuna gape kubwa nataka nipunguze
Kuna kampuni sitaki kuziweka
Amen[emoji1431]Asante sana madam proud of you
leo hii bungeni mkuuHii habri ya lini mkuu mbn kama inavutia sana
Ooh sawa boss,utofauti how? Cv doesnt matter? Si kuna lile swali la background amaWala usiangaike nazo, moja, formality ya usaili utumishi ni tofauti sana na huku private sector.
Pili, hata ukirekebisha sasa, haitasaidii kwa usaili wako huu oral, mpaka itapotokea umeomba tena, kifupi, itakua effective kwa saili zijazo.
Nadhani hawana utaratibu maalumInategemea, sisi tuliingia kuendana na marks za written
Ile siku ya mwisho I mean deadline ya application ya kazi husika, information uwa zinachukuliwa zote, so ukibadilisha kitu chochote after hapo itakuwa for the next interview, ndo maana ata wale waliokuwa wanabadilisha address even a month before bado walijikuta wamepangwa kwenye address zao za zamaniOoh sawa boss,utofauti how? Cv doesnt matter? Si kuna lile swali la background ama
Ni kweli , Kila Taasisi ikijitegemea kuajiri, itafanya zoezi la usaili na placement liende chapu mno, lakini guarantee ya fairness ndo haitokuwepoHatukatai michakato kuendeshwa haraka ila mianya inayoweza kuchipuka ndio itakuwa kikwazo kwa baadhi yetu.
PSRS wako fair kwa asilimia kubwa hata kama wanakumbwa na ucheleweshaji wa michakato.
Taasisi au mashirika ya kiserikali yakipewa jukumu la wao kufanya michakato itakuwa kichomi kwa walalahoi/wasio na koneksheni.
Nimewaza hivi, je wadau mna maoni gani juu ya mawazo yangu haya?
Heee kumbe bas me sikujua,mana i rem kuna interview nlikuja kucertify vyet ilibak like 3 weeks waite and the deadline was months ago,actually it was 8 months ago na nikafanikiwa kuitwa.Ile siku ya mwisho I mean deadline ya application ya kazi husika, information uwa zinachukuliwa zote, so ukibadilisha kitu chochote after hapo itakuwa for the next interview, ndo maana ata wale waliokuwa wanabadilisha address even a month before bado walijikuta wamepangwa kwenye address zao za zamani
Hivi oral hua wanaingia kimarks,kiherufi au aliewahi kufika?
Basi hawana utaratibu maalumu. Mara mbili nimeona mtu akakaguliwa ndio anajisajili ktk karatasi ambayo ndio itatumika kuwaita.hapana mkuu. tumetoka oral juzi wameita kwa marks luteni. ilikua post za wizara tumepigia dodoma sekondari