mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,003
- 2,294
Watu wanasubir sana pdf ya TRA mtaani
Wewe ulifanya post ipi?
Watu wanasubir sana pdf ya TRA mtaani
Hapana mkuu ni written hiyo...H
Izo red status mkuu ulifika oral?
Sasa kwangu hiyo ni written, sijafika oral, naona ni combination ya ndoige na sugunyo.Hapana za kwangu bado zipo SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
Nasikia wanatoa placement Kwa foleni aliyeanza interview had wa mwisho
DihSasa kwangu hiyo ni written, sijafika oral, naona ni combination ya ndoige na sugunyo.
Nakuunga mkono mkuu Mimi nifail effect of covid-19 hapana kuna kituKwa mara ya kwanza nimewatilia shaka utumishi. Hawa jamaa hawajasahisha mitihani. Matokeo yamepikwa. Nitakua wa mwisho kuamini kama nimepata marks chini ya 50. Mtihani ulikua ndani ya uwezo wangu katika kila angle. Siwaamini tena hawa jamaa. Ni bora kuhangaika na private sector huku kuna janja janja sana.
Asante mkuuHamna mzee kua na subrah sio ww tu pekee uliekua na not selected usikate tamaa next time...[emoji109]
Huenda hujafeli ila wapo wengi wenye ufaulu mkubwa kuliko wewe.Nakuunga mkono mkuu Mimi nifail effect of covid-19 hapana kuna kitu
Huenda hujafeli ila wapo wengi wenye ufaulu mkubwa kuliko wewe.....Kwa mara ya kwanza nimewatilia shaka utumishi. Hawa jamaa hawajasahisha mitihani. Matokeo yamepikwa. Nitakua wa mwisho kuamini kama nimepata marks chini ya 50. Mtihani ulikua ndani ya uwezo wangu katika kila angle. Siwaamini tena hawa jamaa. Ni bora kuhangaika na private sector huku kuna janja janja sana.
Yes mitihani ya utumishi ufaulu ukiwa mkubwa sana wanarudi kwenye ratio ,mi usaili wetu walichukua kuanzia mwenye marks 70 imagineHuenda hujafeli ila wapo wengi wenye ufaulu mkubwa kuliko wewe.
Wewe, unauliza,unajipinga na unajijibu seems unaweza kupiga cross na ukaenda kupiga header mwenyewe Mkuu [emoji28]Nasikia wanatoa placement Kwa foleni aliyeanza interview had wa mwisho
Watu Wana motoWewe, unauliza,unajipinga na unajijibu seems unaweza kupiga cross na ukaenda kupiga header mwenyewe Mkuu [emoji28]
Relax mkuu ushapta kz 👊Wasi wasi ni je wale waliofanya TRA Oral watapunguzwa mf. Developer/programmer walitakiwa 50 oral wamefika 48
Ulifanya programmer?Wasi wasi ni je wale waliofanya TRA Oral watapunguzwa mf. Developer/programmer walitakiwa 50 oral wamefika 48
Wasi wasi ni je wale waliofanya TRA Oral watapunguzwa mf. Developer/programmer walitakiwa 50 oral wamefika 48
TRA waachie mkeka haraka jamaa hatua aliyofikia ni ya kushindwa kula kabisa tutampoteza huyuAndaa suti mkuu,
Tatizo lako hufunguki.
Afu si mwenzako huyo wote mlifanya Programmer/Developer.TRA waachie mkeka haraka jamaa hatua aliyofikia ni ya kushindwa kula kabisa tutampoteza huyu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Haha ndio mkuuAfu si mwenzako huyo wote mlifanya Programmer/Developer.
Asante sana mkuu.Relax bro, umefaulu hapo. Jiandae tu na usaili wa mahojiano.