TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,093
- 2,617
Hapana, ndugu mteja, utasaidia kupunguza jazba 🙂. ^MYhaina shida mkuu acha tupambane na hizi zilizotoka tuje tuongeze nguvu ya matusi uko wakati wa kunyanyua nguzo... 🤣 🤣
Hapana, ndugu mteja, utasaidia kupunguza jazba 🙂. ^MYhaina shida mkuu acha tupambane na hizi zilizotoka tuje tuongeze nguvu ya matusi uko wakati wa kunyanyua nguzo... 🤣 🤣
wana usahili aunawatakia kila la kheri mnaoenda kupambana na utumishi kesho
yaah kesho sahili zinaanzawana usahili au
hongera mkuu hii barua imeingia leo..?Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
kwa hiyo kumbe status ikibadilika ujue kunako jambo sio..?Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Asante sanahongera mkuu hii barua imeingia leo..?
Hilo Nathibitisha Ni ndiyo maana mimi ilibadilika Tarehe 7 octoberkwa hiyo kumbe status ikibadilika ujue kunako jambo sio..?
duh kila la kheri mkuuHilo Nathibitisha Ni ndiyo maana mimi ilibadilika Tarehe 7 october
Hongera mkuu, taasisi gani iyoNiko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Hakika, kila mmoja atalamba asali kwa wakati wake, Hongera mkuu.Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Ww Umejuaje wanataka watu wa biashara?Tanesco hatimae wametoa nafasi za kazi kule utumishi
Swali Kada ya biashara hamna nafasi je wameshindwa kutoa kwasababu kunawatu wengi wapo kwenye databank?
Shukraniduh kila la kheri mkuu
Asante SanaHakika, kila mmoja atalamba asali kwa wakati wake, Hongera mkuu.
Hongera mkuu, taasisi gani iyo
Yayyyyy hongera sanaaaaaaNiko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Ndg Nimeuliza tu kama umefatilia vzr utaona ni mtazamo ambao tunahitaji kujiuliza kaupata ufafanuziWw Umejuaje wanataka watu wa biashara?
SI NILIKUAMBIA KAKA ANDAAAA BAG LAKINIIII ALL THE BESTNiko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
ALAF MKEKA BADOOOO HAWAJAUTOA KWAHYO ZINAANZA BARUA ALAF MIKEKAYayyyyy hongera sanaaaaaa