HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mpangilio wa marks za Oral ndio unatumika sana pale.. sio kwamba namaanisha huko kwenye michakato mingine wanatumia hapana, hata kama wanatumia me sijui.. Ila pale mnaitwa kulingana na pdf ya Matokeo ilivyotoka,, aliyeongoza ni dhahiri kuwa ataanza Usaili na itaendelea hvyo
Actually hii inategemea na wao watakavyopanga. Sometimes wanafata marks na kuna mda wanafatisha ile sheet mnayopewa kusign so hakuna utaratibu maalum zaidi ya wao watakavyopanga kuendesha hilo zoezi kwa hiyo siku.
 
Pdf ya mamlaka ya mapato ndo habari ya mjini watu wanasubiria haswaaa. Jamaa mmoja alisikika akisema jina likitoka leo kesho yupo Dodoma kuchukua barua

Na ikawe hivyo kwake,

Tofauti na hapo itakuwa ni maumivu makubwa ambayo yanaweza kuathiri hadi afya yake.

Mifano ni mingi sana, ila kama ni Kati ya wanaosubiri placement jitahidi kupunguza matarajio makubwa na kuwa tayari kupokea matokeo ktk hali yyte Ile.
 
Hapana sio hivo,ungemwambia aendelee kupambana kotekote sio kuegemea upande mmoja.
Mbona ww umepambana umepata serikalini kwann usingebak private?
Labda tafsiri yako tu,huyo jamaa kalalamika kuwa mara kadhaa anapiga msuli sana then matokeo yanapelea marks chache,so kumuambia awekeze nguvu na kwingine badala ya kutegemea sehemu moja tu naamini sio tusi bali ni ushauri tu ambao ana haki ya kuukubali au kuukataa.sijaelewa wewe third part umeumizwa na nini hapo..
 
Hakuna niliposema nakula msuli kaka..
 
Labda tafsiri yako tu,huyo jamaa kalalamika kuwa mara kadhaa anapiga msuli sana then matokeo yanapelea marks chache,so kumuambia awekeze nguvu na kwingine badala ya kutegemea sehemu moja tu naamini sio tusi bali ni ushauri tu ambao ana haki ya kuukubali au kuukataa.sijaelewa wewe third part umeumizwa na nini hapo..
Mm nimeumizwa? Ok mkuu
 
Back
Top Bottom