HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sijajua kwa wengine...ila sisi ilikua aliyewahi kuandika jina kwenye list basi ndio wanafuata hiyo. Na kama mtu ana special case either mgonjwa/ananyonyesha/mlemavu anapewa kipaumbele afanye awahi kutoka

Unaweza hata kuwaomba wenzio uingie wa kwanza kama una private concern

Suala la marks za written linaishia kwenye pdf ya matokeo tu. Pale Asha Rose Migiro mnaanza upya. Vivyo hivyo alphabetical order haihusiani hapa
mpangilio wa marks za Oral ndio unatumika sana pale.. sio kwamba namaanisha huko kwenye michakato mingine wanatumia hapana, hata kama wanatumia me sijui.. Ila pale mnaitwa kulingana na pdf ya Matokeo ilivyotoka,, aliyeongoza ni dhahiri kuwa ataanza Usaili na itaendelea hvyo
 
Kweli Mkuu. Lakini pia kama haupo nafasi ya juu na mpo wengi kama una issue unaeza kuomba ukaanza usaili. Issues ni kama Mgonjwa,unanyonyesha ila sio useme unawahi bus
 
Back
Top Bottom