Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

XThe answer is ..who do you think? There are many theories which are advocating the origin of the univese more specifically GOD as the creater ..the question is who created him(GOD)

Sio kila jicho lina nuru na nguvu ya kupeleka vibrations za brain intuition kwenye jicho la tatu.. Kuna macho mfu sawa tu na ngozi mfu ambayo haina hisia ama ulimi mfu ambao hauna ladha... Macho yako yamezimwa nuru, hayana uwezo ninaozungumzia hapa na ndio maana huwezi ona effect yoyote, kimsingi una macho mfu .. BTW hiki ni kitu cha kiasili na si cha kutengeneza... Wale wanaokuwa trained, huendelezwa tu
Yawezekana manbo haya ni kweli..Bibi aliwahi kunihadisia kuwa Kuna mtoto wa mama yake alimtuhumu kuwa Bibi anamroga Sasa yule dada akaketa mganga ili aje kummaliza Bibi kichawi...Bibi akasema yule mganga alikuja akaanza kumwangalia Bibi machoni kwa kumkazia badae akasema ..mbona huyu ni mjinga mjinga tu hajui lolote Kisha akaondoka....pengine Kuna mahusiano ya uchawi na kutazamana machoni
 
Ukilala chali mnapata wote shida wewe na yeye, utapatwa na ndoto za majinamizi na kukabwa lakini si hilo tu kulala chali ni sawa na kuungalia mzizi wa dunia central axis hivyo kuna nguvu ya uvutano hapo
Yaani mm tokea nmeanza kulala chali sikuwahi tena kuota majinamizi.

Zaid zaid nmekua nalala kwa machale zaidi.

Nikiwa nmelala naweza kuhisi kuna watu wawili wananyemelea chumban kwangu.

Wanaanzia dirishani, naona Kama kuna jitu wanapaka alafu wanapulizia.

Kisha wanaenda mlangoni, nako wanapaka sakafuni na kujipaka usoni kisha wanageuka kinyume nyume kuingia.

Nakua nakua nawaona, wakinisogelea. Sasa pale hua naanza kuwalia timing ya kuwanasa.

Nikifumbua macho tu ili niwakamate wanapotea gafla.

Ila sura zao nakua nimeziona Na nimeona kila kitu walichokua wanakifanya.

Sasa hapo hua nabaki Na maswali mengi, nilikua naota au nilikua live inatokea?

Cha ajabu ikifika siku mmoja wapo wa hao ninaokutana nao Na kuwatizama usoni nawaona Kama watu wenye hofu fulani na jazba zisizokua na maana.

Hii ilinitokea nilipokua secondary kwa bibi mmoja jirani yetu.

Pia kwa mwanachuo mwenzangu, tena uyo alinijengea bifu bila sababu tena tokea siku ile na hatukuongea tena mpk tunamaliza chuo.

Kila nikimsalimia hataki kujibu.

Wajuvi wa mambo naombeni mnifahamishe khs ile.
 
mashuleni huko hasa waliosoma boys walimu hukataza wanafunzi wao wa kiume wasilale kifudifudi ili kuepusha mawazo ya ngono,hivyo wanahamasisha walale chali au msharazi (japo kulala upande ni rahisi zaidi kujikuta upo kifudi fudi unwillingly) !!!!. Lakini pia kwenye dini yangu ( ) tunashauriwa ukitaka kulala muombe Mungu kisha lala chali hutapata jinamizi ( na ni kweli nimeexperience ila lazima usali kabla ya kulala). Mwisho, asante mleta mada unatupa elimu bila mipaka.
 
scientifically
Unapokuwa umelala haimaanishi kila kitu kinakuwa kimepumzika/lala!..Ubongo huendelea kufanya kazi ingawa kwa pace ndogo zaidi, sasa unapomuangalia mtu mind yake ambayo bado ipo active hupeleka taarifa kwenye ubongo ambao huidetermine kile kitendo kama a threat to the body so ubongo hukuamsha/hufanya uamke!...
 
ef5089328ced34d6ad19285ea79b58d6.gif
Hili Jicho ni la uchawi kabisa , tena ni ule wa Lebanon, Lebanon ndio kuna uchawi wote.
 
"Livin' La Vida Loca"

She's into superstitions black cats and voodoo dolls.
I feel a premonition that girl's gonna make me fall.
She's into new sensations new kicks in the candle light.
She's got a new addiction for every day and night.

She'll make you take your clothes off and go dancing in the rain.
She'll make you live her crazy life but she'll take away your pain
like a bullet to your brain. Come On!

[CHORUS:]
Upside, inside out she's livin la vida loca
She'll push and pull you down, livin la vida loca
Her lips are devil red and her skin's the color mocha
She will wear you out livin la vida loca Come On!
Livin la vida loca, Come on!
She's livin la vida loca.
 
Woke up in New York City in a funky cheap hotel
She took my heart and she took my money
she must've slipped me a sleeping pill
She never drinks the water and makes you order French Champagne
Once you've had a taste of her you'll never be the same
Yeah, she'll make you go insane.

[CHORUS]

She'll make you take your clothes off and go dancing in the rain.
She'll make you live her crazy life
but she'll take away your pain like a bullet to your brain. Come On!
 
Mshazari, usiiangalie dunia/mbingu wala usiipe kisogo
Kwa experience yangu ya kulala:-
kulala kifudifudi
-nakosa pumzi
-siwezi kulala
kulala mshazari/upande
-siwezi hisi chochote ni kama nakua nimejiconnect na kitanda
-sina ufahamu wowote mpaka pale nitakapo amka.
kulala chali
-nalala lakini akili huwa ipo active always(hata akipita mdudu chini sakafuni namhic)
-hili ni best pose kulala bila kujali ushirikina!.
 
Mshazari, usiiangalie dunia/mbingu wala usiipe kisogo

Lakini nikilala chali ni vizuri tunapambana! Mkuu naona unavuruga mada yako mwenyewe.
Hizi nadharia zako zifanyie utafiti upya labda, ni ushauri tu lakini.
 
vipi Mkuu kuhusu watu wanaopenda kulala kifudifudi but paji la uso na macho yanaangalia pembeni yaani kimshazari napo si vizuri?
Haina shida japo si katika mazingira yote
 
XThe answer is ..who do you think? There are many theories which are advocating the origin of the univese more specifically GOD as the creater ..the question is who created him(GOD)

Yawezekana manbo haya ni kweli..Bibi aliwahi kunihadisia kuwa Kuna mtoto wa mama yake alimtuhumu kuwa Bibi anamroga Sasa yule dada akaketa mganga ili aje kummaliza Bibi kichawi...Bibi akasema yule mganga alikuja akaanza kumwangalia Bibi machoni kwa kumkazia badae akasema ..mbona huyu ni mjinga mjinga tu hajui lolote Kisha akaondoka....pengine Kuna mahusiano ya uchawi na kutazamana machoni
Energy can neither be created nor destroyed.. God is super energy
 
mashuleni huko hasa waliosoma boys walimu hukataza wanafunzi wao wa kiume wasilale kifudifudi ili kuepusha mawazo ya ngono,hivyo wanahamasisha walale chali au msharazi (japo kulala upande ni rahisi zaidi kujikuta upo kifudi fudi unwillingly) !!!!. Lakini pia kwenye dini yangu ( ) tunashauriwa ukitaka kulala muombe Mungu kisha lala chali hutapata jinamizi ( na ni kweli nimeexperience ila lazima usali kabla ya kulala). Mwisho, asante mleta mada unatupa elimu bila mipaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom