Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

"Livin' La Vida Loca"

She's into superstitions black cats and voodoo dolls.
I feel a premonition that girl's gonna make me fall.
She's into new sensations new kicks in the candle light.
She's got a new addiction for every day and night.

She'll make you take your clothes off and go dancing in the rain.
She'll make you live her crazy life but she'll take away your pain
like a bullet to your brain. Come On!

[CHORUS:]
Upside, inside out she's livin la vida loca
She'll push and pull you down, livin la vida loca
Her lips are devil red and her skin's the color mocha
She will wear you out livin la vida loca Come On!
Livin la vida loca, Come on!
She's livin la vida loca.
Mkuu,aliyeimba huo wimbo sasa hivi ni m-cameron/punga
 
Woke up in New York City in a funky cheap hotel
She took my heart and she took my money
she must've slipped me a sleeping pill
She never drinks the water and makes you order French Champagne
Once you've had a taste of her you'll never be the same
Yeah, she'll make you go insane.

[CHORUS]

She'll make you take your clothes off and go dancing in the rain.
She'll make you live her crazy life
but she'll take away your pain like a bullet to your brain. Come On!
mambo ya Ricky Martins! wasted talent
 
Ni sayansi gani hii? Ni uchawi!? Ni mazingaombwe ama ni jambo la kufikirika tu lisilo na ukweli wowote?

Niliahidi kuleta mada hii, baada ya Dr. Shika kuchagiza kwenye simulizi yake ya kutoroka watesi wake kwamba hakumwangalia yule mtesi mlinzi aliyebaki naye machoni la sivyo jamaa angeamka!

Tujadili kipengele kwa kipengele.

A. Kwenye mada zilizopita za jicho la tatu, majinamizi na jicho la rohoni tuliona jinsi jicho la tatu lilivyo na nguvu pale macho yaonekanayo yakiwa yamefumba, yamelala.. Kumbuka jicho la tatu liko kwenye paji la uso.. Tunapozungumzia mawasiliano ya kiroho kiunganishi ni jicho hilo la tatu kwamba kuna muunganiko usioonekana kati ya jicho la tatu na jicho la tatu lingine...
Kama nilivyosema kwenye mada ya majinamizi na ndoto mbaya hatushauriwi kulala chali kwakuwa juu yetu zinapita roho nyingi na za kila aina, ambazo connection yake ni jicho hilo la tatu

B. Wachawi na wanga hutumia sana jicho la tatu kufanya mawasiliano ya kiroho na ndio maana wanapotaka kuingia ndani ya nyumba kwanza kuingia kinyume nyume kwa rivasi na wakiwa uchi... Hapa ni kuepusha uwezekano wowote wa wewe kuna na direct connection ya jicho la tatu na yeye... Akishafanikiwa kuingia ndani akakukuta umelala chali hapo hataweza kuwanga tena bali yataanza mapambano mengine ya kutaka akugeuze au kukupindua ili afanye yake... Lakini kwakuwa tayari ile connection ishakuwa established basi subconscious mind inakuwa alert na ndio mwanzo wa kukabana..
Jiulize kwanini wanaoingiliwa na popobawa hawana kipingamizi chochote, hujikuta tayari washachafuliwa..

C. Muingiliano mwingine wa jicho la tatu ni ndege kunguru mwewe, huyu ni ndege mwerevu na mwepesi sana huwezi kumpiga akiwa mbali, hivyo wajuzi huenda kinyume nyume mpaka kumkaribia kabisa ndio hugeuka na kumpelekea moto... Ukiweza kurudi rivasi kwa kunyooka, unaweza kumkaribia kunguru mpaka umbali wa mita tano.. Unaweza kufanya majaribio

D. Mwili wetu huu una mashine tatu moja ni conscious mind na nyingine ni subconscious mind na ya tatu ni unconscious mind
-conscious mind- ni hii hali tuliyo nayo ya kuweza kufanya kila kitu kwa utashi na bila utashi, kuandika kuongea kuvaa nguo nk nk, ni katika hali hii subconscious mind (jicho la tatu) nayo hufanya kazi.. Hii hufanya kazi ya ulinzi kuzunguka mwili wote na ndio maana huwa tunahisi kuna mtu anatunyemelea, kuna mtu yuko nyuma yetu ama kuna hatari inatukaribia.. Lakini vilevile hufanya kazi ya machale... Jicho la tatu huona zaidi ya kuona (seeing beyond) huwa tunapewa tahadhari na nafsi zetu, huwa tunasita kufanya jambo . hii ni kazi ya subconscious mind... Halafu kuna hali ile ya kuzirai ama kupoteza fahamu... Hii ndio unconscious mind... Macho yote mawili yamezima, jicho la tatu nalo linakuwa kwenye dormance state.. Lipo lakini utendaji hupungua uwezo mpaka kufikia chini ya asilimia 50 ili kulinda uhai kidogo uliobakia. Ni sawa na kukipunguzia mizigo chombo baharini kinachokaribia kuzama ili kisizame

Sasa tuhitimishe kwa suala la Dr Shika, aliachwa na mlinzi lakini akalala kutokana na uchovu pombe na madawa.. Lakini kwakuwa tayari ana ufahamu (inbuilt intuition) wa kumlinda Dr, hivyo hata alale vipi lile jukumu kiroho hubaki kwenye subconscious mind/jicho la tatu na ikitokea ukamwangalia usoni una establishe connection kati yako na yeye na kumfanya ashtuke na kuamka
ef5089328ced34d6ad19285ea79b58d6.gif


Mojawapo ya mafunzo ya walinzi ni hili.. Na subconscious mbili zinapokutana moja ndio hu trigger nguvu ya kuamsha nyingine.. Hivyo haishauriwi kabisa kukutanisha macho Kwenye situation kama hizi

Naomba radhi kwa kuchanganya lugha
Nimelike hata sijasoma... Yaani kichwa cha habari tu kimenivutia coz nilikua najiuliza saana hili swali kwanini huwa wanastuka... Sasa ngoja nikusome vizuri
 
Ukiwa chali ni rahisi sana kukutanisha macho, hivyo wengi hujitahidi kukwepa hii na kufanya yao.. Ila ikitokea mmekutanisha macho vita huanzia hapo, ukilala kifudifudi ndio hapo kabisa hupanda mgongoni na kuanza kukuchezea kwa kadiri atakavyo
Lakini ukiwa mshazari hukosa pozi kabisa la kukuingia ila ni lazima uwe mshazari timilifu, kuna baadhi hupenda kulala nusu mshazari
ZAIDI ni kwamba hizi hali si lazima zimtokee kila mmoja wetu, unaweza kulala vyovyote vile na kisikupate chochote..... Ni sawa na kuambiwa kuwa ajali zinaua lakini ni wangapi wanapata ajali mbaya na kutoka bila hata mchubuko?
Daa umenikumbusha ,kunasiku nililala kifud fudi kwenye chumba cha mwanamke from coastal region nikaota nimekaliwa na msichana mrembo akiwa naked nikapiga kelele kwa saut then nikaamka ghafura,tangia siku ile sikurudia kulala kwenye hicho chumba
 
kulala kuna tafsiri pana, hata walio kaburini wamelala, na kuna watembeao lakini wamelala.... Kulala kuna tafsiri pana

Samahani, naomba ufafanuzi hapo watembeao nao wamelala unamaanisha nini??. mtu anayetembea anaweza kuwa amelala kivi?. Ntashukuru ukipata nafasi ya kunijibu.
 
Samahani, naomba ufafanuzi hapo watembeao nao wamelala unamaanisha nini??. mtu anayetembea anaweza kuwa amelala kivi?. Ntashukuru ukipata nafasi ya kunijibu.
Kuna mahali nimejibu ngoja nione ni post namba ngapi
 
Ndoto tuotazo ziko za aina tatu
-ndoto kumbukumbu (vague memories) yale tuyawazayo, kuyaona na kutenda.. Haziko clear chenga tupu na hazina mwisho
-ndoto maono, ndoto taarifa... Ujumbe toka kwa wafu ama ulimwengu wa kiroho.. Hizi hujirudia na unaweza kuisimulia mwanzo mwisho
-ndoto za giza- hizi ni matendo halisi ya wachawi na wanga ama roho chafu, zinatisha na maranyingi huambatana na kula ama kulishwa vitu hasa nyama
Mkuu hapa n kama nakuelewa, hii ya kula kula nyama inanitokea sana na hua napingana nayo ila kuna mda najikuta nimekula na hapo hapo nastuka usingizini najilaumu kwann nimekubal kula, hii hali sijui ntaikomesha vip?
 
Mkuu hapa n kama nakuelewa, hii ya kula kula nyama inanitokea sana na hua napingana nayo ila kuna mda najikuta nimekula na hapo hapo nastuka usingizini najilaumu kwann nimekubal kula, hii hali sijui ntaikomesha vip?
Lamba ndimu wakati wa kulala, na wakati mwingine changanya na kipande cha kitunguu saumu
 
Ufao ni mwili uharibukao, roho haifi.. Tunaposimuliwa habari za reincarnation na ufufuo siku ya mwisho, hizi ni habari za kiroho sio za kimwili.... Kuna watu wanafanya kazi huku wamelala mwili uko kwenye automation mode.. Anatenda kwa mazoea lakini mwili na akili vimechoka kabisa

Yaani hapa ngoja nitoe ushuda kuna Ticha mmoja alikuwa mnene na anapiga konyagi sana.Ikiingia class anafundisha alafu anaweka pozi. Lile pozi anasinzia mpk anakoroma lkn akishtuka anaanzia mstari ule ule alioshia hadi nilikuwa namshangaa.Hakosei alipoishia hata siku moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom