Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Jicho la tatu linaniacha hoi, wewe ni Mwalimu wa waalimu. Nitafanya jaribio la kumwendea kunguru kinyumenyume nione itakuaje . Kumbe ndio maana mchawi anaingia ndani kinyumenyume!
 
Hapana ukiwa kwenye mlalo mzuri I mean mshazari ni ngumu sana mwanga kufanya yake... Ni mpaka aidha uwe chali ama kifudifudi... Sana sana atasonya na kuondoka zake
unajua msahana nimekusoma sana kwa miaka sasa! zamani nilikuwa nikilala chali kweli naona maruweruwe na kama majinamizi fulani na purukushani fulani hivi...l
 
lakini siku hizi huwa nalala chali na hakuna kitu kinatokea na sasa ni mwaka wa pili tokea niamue kuanza kulala chali ....lakini maajabu nikiota ndoto huwa asubuhi yake sizikumbuku au inachukua siku kadhaa au wiki kukumbuka nniliota nini
 
elezea km hutojali
Ufao ni mwili uharibukao, roho haifi.. Tunaposimuliwa habari za reincarnation na ufufuo siku ya mwisho, hizi ni habari za kiroho sio za kimwili.... Kuna watu wanafanya kazi huku wamelala mwili uko kwenye automation mode.. Anatenda kwa mazoea lakini mwili na akili vimechoka kabisa
 
Unaweza fanikiwa vizuri shida wakati wa kurudi si utarudi kwa hofu huku ukinyata unamwangalia usoni ndipi na yeye atafumbua macho
Unajua hii kitu hailazimishwi ni ni spiritual cordial vibra connection
 
Jicho la tatu linaniacha hoi, wewe ni Mwalimu wa waalimu. Nitafanya jaribio la kumwendea kunguru kinyumenyume nione itakuaje . Kumbe ndio maana mchawi anaingia ndani kinyumenyume!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji123] [emoji106] [emoji115] [emoji123]
 
lakini siku hizi huwa nalala chali na hakuna kitu kinatokea na sasa ni mwaka wa pili tokea niamue kuanza kulala chali ....lakini maajabu nikiota ndoto huwa asubuhi yake sizikumbuku au inachukua siku kadhaa au wiki kukumbuka nniliota nini
Ndoto tuotazo ziko za aina tatu
-ndoto kumbukumbu (vague memories) yale tuyawazayo, kuyaona na kutenda.. Haziko clear chenga tupu na hazina mwisho
-ndoto maono, ndoto taarifa... Ujumbe toka kwa wafu ama ulimwengu wa kiroho.. Hizi hujirudia na unaweza kuisimulia mwanzo mwisho
-ndoto za giza- hizi ni matendo halisi ya wachawi na wanga ama roho chafu, zinatisha na maranyingi huambatana na kula ama kulishwa vitu hasa nyama
 
Mkuu, wanasayansi wanasema mtu akilala chali mfumo wa kuvuta hewa (breathing system) yake mara nyingi inakuwa blocked; Hii humfanya akiwa huko huko usingizini kupata shida kubwa mno wakati wa kuvuta hewa ili system ya mwili ifanye kazi kama kawadia - Kwa hali hiyo ya usingizini ndiyo anaota anakabwa na jini, amekandamizwa kwenye matope na jitu kubwa nk.

Siku moja nilishafanya jaribio, niliamua kulala mchana chali kwenye kochi - chali ; ndoto hizo zikanijia zile zile tunazoita za jinamizi - nikawa napata shinda sana, huku nikisikia sauti za familia zikiwa hapo sebureni pamoja na sauti a TV lakini sikuwa na uwezo wa kuwashtua ili wanisaidie kuniokoa. Nilivyoshituka niliwasimulia wakasema wao walikuwa wananiona nageuka geuka tu, wakaona waniache niendelee kupumzika.

Sasa sidhani kwamba muda huo wa mchana wa saa tisa, mchawi aliingia ndani kwangu na akaanza kunisurubu wakati wana familia pia wakiwa hapo hapo wakicheki TV.

Nitapenda kupata ufafanuzi pia kwenye hili.
 
Mark huo muda saa tisa.. Hiyo ni adhuhuri kuna saa 12 na saa 6 Zinaitwa nyakati za dunia ya roho... Umelala chali ukiangalia juu, vya kiroho vilikuwa vinapita busy ya yao uliutesa mno mwili wako
Na hiki ndio kinachotokea
e58ffb1cda5bc165958a86c0cb42a9c1.jpg
 
Mmh vingine ni experience binafsi na mkao ama uelekeo wa chumba, kuna ile mada kama ulibahatika kuisoma, kuna uelekeo wa kitanda chumbani huleta majinamizi na ndoto mbaya
Ipi hiyo mkuu, naomba unitag unitag nikaisome kama hutojali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom