Nikilala nimegeukia ukutani mara nyingi naota ndoto hatari hatari hii maana take nini?Hapana ukiwa kwenye mlalo mzuri I mean mshazari ni ngumu sana mwanga kufanya yake... Ni mpaka aidha uwe chali ama kifudifudi... Sana sana atasonya na kuondoka zake
Nimeshafafanua fuatilia mtiririko wa post kaka hakuna nilipojichanganyaLakini nikilala chali ni vizuri tunapambana! Mkuu naona unavuruga mada yako mwenyewe.
Hizi nadharia zako zifanyie utafiti upya labda, ni ushauri tu lakini.
Mmh vingine ni experience binafsi na mkao ama uelekeo wa chumba, kuna ile mada kama ulibahatika kuisoma, kuna uelekeo wa kitanda chumbani huleta majinamizi na ndoto mbayaNikilala nimegeukia ukutani mara nyingi naota ndoto hatari hatari hii maana take nini?
Umejikaririsha mwenyewe anza kukataa hali hiyo itatokaNikilala nimegeukia ukutani mara nyingi naota ndoto hatari hatari hii maana take nini?
Unaweza fanikiwa vizuri shida wakati wa kurudi si utarudi kwa hofu huku ukinyata unamwangalia usoni ndipi na yeye atafumbua machoKabla sijaenda mbali sana leo hii naanza mazoezi na wife akiwa amelala,natoka usiku bila ya kumuangalia halafu narudi asubuhi nione kama itafanya kazi...
hii kitu mdm ninayo hata nilale vp ukiniangalia hata gizani totoro lazm niamke au hta km natembea njian kuna mtu nyuma ananiangalia lazm nitageuka tu na tutakutanishaSio kila jicho lina nuru na nguvu ya kupeleka vibrations za brain intuition kwenye jicho la tatu.. Kuna macho mfu sawa tu na ngozi mfu ambayo haina hisia ama ulimi mfu ambao hauna ladha... Macho yako yamezimwa nuru, hayana uwezo ninaozungumzia hapa na ndio maana huwezi ona effect yoyote, kimsingi una macho mfu .. BTW hiki ni kitu cha kiasili na si cha kutengeneza... Wale wanaokuwa trained, huendelezwa tu
nwezaje kutumiahilo li jicho uliloweka hapo kama avatar na likaendelea kuchezacheza hivyohivyo?
Hebu niunganishe na huo uziMmh vingine ni experience binafsi na mkao ama uelekeo wa chumba, kuna ile mada kama ulibahatika kuisoma, kuna uelekeo wa kitanda chumbani huleta majinamizi na ndoto mbaya
Dah mshana u are simply the best.. Hili jibu ni murua sanaEnergy can neither be created nor destroyed.. God is super energy