Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,781
Vipi kuhusu ile ya kushika kitovu na nyoka anasepa au ile ya kubana kengele na mbwa hakufanyi kitu??[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] kulala kuna tafsiri pana, hata walio kaburini wamelala, na kuna watembeao lakini wamelala.... Kulala kuna tafsiri pana [emoji144] [emoji144] [emoji144]