Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Kitendo cha kuandamana siku hiyo kilitokana na ukweli kwamba mchakato mzima wa uchaguzi ulishapoteza uhalali (legitimacy) kwa kuwa wa upande mmoja.
Je, mchakato wa Uchaguzi ulikiuka Katiba ya JMT au kanuni za uchaguzi?
 
uhamasishaji wa kisiasa ulikuwa ni chachu tu, lakini kiberiti kilikuwa ni mlundikano wa kero za kiuchumi na manung'uniko ya wananchi yaliyopuuzwa na Serikali kwa muda mrefu
Tanzania kwa mujibu wa sensa ya 2022 ilikuwa na watu ~65m, je waliokuwa wakinung'unika walikuwa wako wangapi kati ya 65m? na je, walikuwa na haki ya kuvuruga uchaguzi ule bila kujitia kwenye hatia?
 
Jeshi la Polisi halitakiwi kusimama na chama tawala wala upinzani—walitakiwa kusimama na Katiba na Sheria kuu za nchi. Jukumu lao lilikuwa ni kulinda usalama wa wale wanaotaka kwenda kupiga kura, huku wakilinda na wale wanaoandamana kwa amani chini ya Ibara ya 20. Polisi walipochagua kutumia nguvu kubwa, mabomu ya machozi, na silaha za moto dhidi ya raia waliokuwa wanaeleza manung'uniko yao, walichagua kusimama na kulinda maslahi ya watawala badala ya kulinda haki za raia.
Mgogoro na ujinga ulianzia hapa, kwakuwa inafahamika kuwa uchuguzi unafanyika nchi nzima kwa wakati mmoja kwenye vitongoji vyoote nchini na kote huko ilifahamika kuwa kulikuwa na polisi wanalinda vituo vya kura na kura zenyewe. Na waandamaji waliandamana siku hiyohiyo nchi nzima pia huku wakijua polisi wote wako kwenye malindo mbalimbali. DHAMIRA ya maandamano na waandamaji haikuwa nzuri kwakuwa walikuwa wanajua kuwa hakutakuwa na polisi wa kutosha kuwapatia usalama waandamaji na wapiga kura kwa wakati mmoja. FUTA kabisa ubabaishaji wa aina hii.
 
Watanzania wote wanahitaji maisha bora, lakini maisha bora huwezi kuyaleta kwa kuchoma mali zao zilizopo tayari mikononi mwao. TLS inaunga mkono mali za wananchi ziharibiwe na wenye hazira.

Hebu ona, Sasa hivi serikali inatumia rasilimali watu, fedha, muda na silaha nyingi ili kulinda mali za watanzania 65m zisichomwe moto na kuharibiwa na chadema inayoungwa mkono na TLS. Pesa ambazo zingeweza kutumika kwenye kutoa huduma nyingine kama chanjo za watoto, dawa za HIV, kununua madawa hospitalini, nk. Eti watu wa aina hiyo wanataka kutuaminisha kuwa wao wana uchungu na sisi na wanataka kutuletea maendeleo wakati wanaharibu hata hiki kidogo tulichonacho!!!. Upuuzi mtupu.
Mavi ya mama
Mama oyeeeee
 
Mgogoro na ujinga ulianzia hapa, kwakuwa inafahamika kuwa uchuguzi unafanyika nchi nzima kwa wakati mmoja kwenye vitongoji vyoote nchini na kote huko ilifahamika kuwa kulikuwa na polisi wanalinda vituo vya kura na kura zenyewe. Na waandamaji waliandamana siku hiyohiyo nchi nzima pia huku wakijua polisi wote wako kwenye malindo mbalimbali. DHAMIRA ya maandamano na waandamaji haikuwa nzuri kwakuwa walikuwa wanajua kuwa hakutakuwa na polisi wa kutosha kuwapatia usalama waandamaji na wapiga kura kwa wakati mmoja. FUTA kabisa ubabaishaji wa aina hii.
Unajua Tanzania Kuna polisi wangapi ukimjumlisha mafwele na wambura?
Unajua kwamba wanajeshi wa Tanzania walivalishwa sale za polisi Ili wakauwe raiya wasio na silaha?
Unaona kinachoendelea hapa dar kinatofauti na kile Cha October?
Polisi wenye silaha Kila Kona? Ndo nchi ya amani hiyoo??
Mavi ya mama
 
exactly!!! Mfano, JPM alikuwa akidhalilisha wanawake hadharani kwasababu tu kwenye familia na kabila lake wanawake hawapewi haki zao. Kuna watu wako pale LHRC ambao wao wenyewe wamenyimwa urithi wa ardhi wa wazazi wao. Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujitetea usinyimwe urithi wa wazazi wako utawezaje kutetea haki za wengine? Wanaganga njaa tu hawa lakini hawakerwi na ukosefu wa haki ndani ya jamii.

Afrika tu shida ya kuwa na viongozi ambao wanatoka kwenye familia, koo na makabila ambazo zina ukiukwaji mkuu wa haki za binadamu. Hivyo ni vigumu sana kutoa haki za binadamu wakiwa viongozi wa umma. Ndiyo maana unaona Afrika yote hakuna haki za binadamu za kiwango kikubwa.

Hebu ona Mh. Lissu anatetea wamasai wanaotaka kuhamishwa Ngorongoro lakini hatetei haki ya wanawake wa kabila lake wanaokeketwa bila hiari yao. Mh. Lema anatetea haki ya watanzania wakiwemo wanawake lakini hatetei haki ya wanawake wa kabila lake wanaonyimwa urithi. Na Heche hivyohivyo. Hapa ndio unagundua kuwa issue sio ukosefu haki tz bali njuluku.
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Ni Nani anaerudisha lawama za mzozo kwa utawala na vyombo vya dola? aliyechoma? EU?, chadema, wananchi, TLS au nani?
Kavulata, 🤡🎪
Muda wa kupoteza kujibu porojo za 'machawa' wa serikali haupo. Tumekupatia maoni yote ya kisheria, huna hoja!
Umebaki kujigeuza clown (mchekeshaji wa sarakasi / kikaragosi) 🤡 wa hapa JF, ukiruka ruka kufunika ukweli. Show yako ya u-clown imefeli, kila mtu ameshasoma 'script' yenu ya bei rahisi. 👋
Amri ya mwisho: Kazi yako imeisha.
Nenda haraka kwa waliokutuma ukachukue hiyo bahasha ya malipo 💰✉️, maana umejitahidi sana kukariri miongozo yao. Hoja za kisheria hazijibiwi kwa njaa za kisiasa.
Kachukue chako usepe, hoja zimeshafungwa! 🎬🤡
 
Wewe huna hoja ni walewale tu. Katiba ni mali ya watanzania wote kaka, hakuna mtu au kikundi chenye kura ya veto kuhusu nini kiwepo na nino kisiwepo kwenye Katiba by when. TLS na chadema wanadhani wanaweza kutuambia watanzania woote pamoja na serikali shoto kulia nyuma geuka mbele tembea kwenye kuandika Katiba.

Katiba sio mali ya wanasiasa bali ni mali ya watanzania wa umri, jinsia na makundi tofauti. Chadema na TLS "who are you" kutuamrisha sisi watanzania lazima tuandike Katiba mpya kesho?
 
Kavulata, 🤡🎪
Muda wa kupoteza kujibu porojo za 'machawa' wa serikali haupo. Tumekupatia maoni yote ya kisheria, huna hoja!
Umebaki kujigeuza clown (mchekeshaji wa sarakasi / kikaragosi) 🤡 wa hapa JF, ukiruka ruka kufunika ukweli. Show yako ya u-clown imefeli, kila mtu ameshasoma 'script' yenu ya bei rahisi. 👋
Amri ya mwisho: Kazi yako imeisha.
Nenda haraka kwa waliokutuma ukachukue hiyo bahasha ya malipo 💰✉️, maana umejitahidi sana kukariri miongozo yao. Hoja za kisheria hazijibiwi kwa njaa za kisiasa.
Kachukue chako usepe, hoja zimeshafungwa! 🎬🤡
Hata sijui wazungu wanawapa hela ngapi hata mjipige upofu kwa kiasi hiki. Eti watu waliotaka kupindua serikali ndio wanatuambia sisi nani alikosea na nani alipatia, nani alikuwa sawa na nani hakuwa sawa. NYASHU
 
Unajua Tanzania Kuna polisi wangapi ukimjumlisha mafwele na wambura?
Unajua kwamba wanajeshi wa Tanzania walivalishwa sale za polisi Ili wakauwe raiya wasio na silaha?
Unaona kinachoendelea hapa dar kinatofauti na kile Cha October?
Polisi wenye silaha Kila Kona? Ndo nchi ya amani hiyoo??
Mavi ya mama
Nadhani polisi iliua wale tu waliokaidi kutii amri halali ya kuacha vurugu na kuchoma kila kitu, wengine waliouliwa kiholela na majumbani waliuliwa na waliopanga vurugu ili kupata idadi ya vifo inayotakiwa na ICC na bunge la Jumuiya ya ulaya na wafadhili wengine ili ku justify kuchukua hatua dhidi ya serikali ya Tanzania. Uvamizi wa vituo vya polisi ili kupata silaha na sare za polisi ilikuwa sehemu ya mpango. Yaani ukiwa na bunduki na sare za polisi basi kila kitu itakuwa ni polisi (Mafwele). Ushahidi wa hili ni pale wapanga maandamano kuongeza saaaaana idadi ya vifo ili wakubwa wao wapandishe macho yao juu na kuchukua hatua mara moja ya kuiadhibu Tz, lakini mbinu hii imegonga mwamba, maana wazungu wana akili nyingi huwezi kuwadanganya kiboyaboya, wameikataa idadi ya vifo waliyowakilisha. Hebu fikiria kuwa wafe watu 25,000 kwa siku mbili situngeona maturubai ya misiba kila kona ghafla?.

Kila mtanzania na kila mwafrika ni ndugu yangu, binafsi sifurahii kuona mtu anakufa hata kwa stroke, sembuse kuuliwa na mtu. Kila mtu anamfahamu baba yake vizuri maana anakaa nae. Na sisi waafrika tunawafahamu viongozi wetu vizuri maana tunaishi Afrika, wamelelewa kama tulivyolelewa sisi; ukibishana nao watajihami kwa kukupiga kama wanavyofanya baba zetu majumbani na tunavyofanya kwa watoto wetu majumbani; ndiyo malezi yetu Afrika. Hivyo basi, Think globally, and Act locally.

Tutumie njia (tamaduni, mila, desturi) zetu za kiafrika kudai na kunyoosha mambo yetu ili kupunguza vifo viavyoweza kuepukika. Maana hakuna taifa la Ulaya ambalo linaweza kuipiga au kuiondoa serikali ya CCM madarakani, kwakuwa hawana wanachokikosa kutoka kwetu. Wazungu hawa ndio wanaomiliki madini yetu yote, mafunzo ya majeshi yetu, makampuni ya uwekezaji na biashara kubwa. Serikali ya CCM haina ugomvi na wazungu wa Magharibi na mashariki; wananunua bidhaa zetu kwa bei wanayoipanga wao na tunanunua bidhaa zao kwa bei wanazopanga wao. Hivyo, kama kuna taifa limekuahidi kusaidia kuiondoa serikali ya CCM madarakani huenda wamekudanganya tu sawa na ile ya "tema tumpige" ya watoto wanaonyamazishwa kulia.

CCM, Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wako madarakani kwa muda mrefu kwakuwa wakoloni wanapata maslahi yao kutoka kwao, usidhani wewe ni rahisi kupata mkoloni wa kusaidia kuwapiga viongozi wa Afrika. Turufu yenu iliyobaki ni ICC tu ambayo inahitaji kigezo cha idadi ya vifo, hahaha!!. Tunajua kuwa mnafanya kila kitu ili serikali iue idadi kubwa ya watu inayohitajika kule ICC. Tunajua kuwa mtaandaa mikutano yenu ya hadhara kisha mtarusha bomu litakaloua watu wengi ispokuwa nyinyi viongozi huku mkiwa mmetega vyombo vya habari vya BBC, DW, Al-Jazeera na CNN kuonyesha vifo hivyo na taarifa ifike ICC pia.

Acheni kucheza na maisha ya watoto wa wenzenu wakati wa kwenu wanaendelea na masomo huko ulaya na Amerika, ni dhambi ambayo haitawaacha salama nyie na vizazi vyenu. Yaani mnataka watoto wa wenzenu wahudhurie maandamano ya kila siku kwa miaka 5 mfululizo wakati watoto wenu wanasoma na kufanyakazi kila siku huko Ulaya, Amerika na kwingineko. Mnawaambia vijana wa maskini wachome moto mali zao ili wapigwe risasi wafe ili mtimize akidi yenu ya vifo kwenda ICC.
 
Kavulata, 🤡🎪
Muda wa kupoteza kujibu porojo za 'machawa' wa serikali haupo. Tumekupatia maoni yote ya kisheria, huna hoja!
Umebaki kujigeuza clown (mchekeshaji wa sarakasi / kikaragosi) 🤡 wa hapa JF, ukiruka ruka kufunika ukweli. Show yako ya u-clown imefeli, kila mtu ameshasoma 'script' yenu ya bei rahisi. 👋
Amri ya mwisho: Kazi yako imeisha.
Nenda haraka kwa waliokutuma ukachukue hiyo bahasha ya malipo 💰✉️, maana umejitahidi sana kukariri miongozo yao. Hoja za kisheria hazijibiwi kwa njaa za kisiasa.
Kachukue chako usepe, hoja zimeshafungwa! 🎬🤡
Aaaa bwana kaka yangu Kijana wa Ifosa be serious and professional hata kidogo tu. Yaana chadema ikinyimwa haki yake anachoma mwendokasi, Madaktari wakinyimwa haki yao wanakwenda kuangusha nguzo za taa za barabarani, manesi wakicheleweshewa madai yao wanang'oa milango ya hospitali kuonyesha hasira zao, madereva wakicheleweshewa haki zao wanang'oa alama za barabarani., Mbona hujadili kama msomi? Walipchoma mali zetu walikosea sana.
 
Oya Kavulata, punguza mapovu na hiyo mihemko ya kishabiki, unazidi kujiaibisha na sarakasi zako za kitoto hapa JF! Nilishakuambia kazi uliyotumwa kama 'mouthpiece' na chawa wa buku saba wa CCM ilishashtukiwa siku nyingi. Acha kujifanya unauliza maswali ya 'kisomi' wakati unaweweseka baada ya script yenu ya bei rahisi kufeli mchana kweupe.
Unaleta porojo na mifano ya kufikirika ya uharibifu wa miundombinu ili kuhamisha magoli na kuwasingizia madaktari, manesi, na CHADEMA, baada ya kukwama na kuzidiwa nguvu kwenye hoja za kisheria. Hoja za kisheria hazijibiwi kwa njaa za kisiasa wala kwa kujivua nguo kuitetea serikali kwa sababu tu ya njaa yako ya tumbo.
Kazi yako ya u-clown imeshafika mwisho na kila mtu hapa amekusoma kuwa wewe ni mtupu kichwani. Weka breki kwenye akili yako hiyo kabla haijatema vyuma, nenda haraka kwa waliokutuma ukachukue hiyo bahasha yako ya malipo ya usaliti kabla haijachelewa, maana show yako imeisha na huna jipya. Kachukue chako usepe ukajaze tumbo lako, hoja zimeshafungwa na umeshapigwa mwereka wa pua! 🎬🤡👋
 
Sawa kaka wacha tugawane uchawa; wewe chawa wa Lissu, chadema na wazungu, na mimi chawa wa Katiba, CCM, mali za watanzania na amani. Wewe na kundi lako mmevaa joho la watanzania; ...eti watanzania wanataka..., hawataki..., wamechoshwa.....Hao watanzania mlikutana nao wapi wakawaambia wanataka, hawataki, wamechoka.....
 
Oya Kavulata, punguza mapovu na hiyo mihemko ya kishabiki, unazidi kujiaibisha na sarakasi zako za kitoto hapa JF! Nilishakuambia kazi uliyotumwa kama 'mouthpiece' na chawa wa buku saba wa CCM ilishashtukiwa siku nyingi. Acha kujifanya unauliza maswali ya 'kisomi' wakati unaweweseka baada ya script yenu ya bei rahisi kufeli mchana kweupe.
Unaleta porojo na mifano ya kufikirika ya uharibifu wa miundombinu ili kuhamisha magoli na kuwasingizia madaktari, manesi, na CHADEMA, baada ya kukwama na kuzidiwa nguvu kwenye hoja za kisheria. Hoja za kisheria hazijibiwi kwa njaa za kisiasa wala kwa kujivua nguo kuitetea serikali kwa sababu tu ya njaa yako ya tumbo.
Kazi yako ya u-clown imeshafika mwisho na kila mtu hapa amekusoma kuwa wewe ni mtupu kichwani. Weka breki kwenye akili yako hiyo kabla haijatema vyuma, nenda haraka kwa waliokutuma ukachukue hiyo bahasha yako ya malipo ya usaliti kabla haijachelewa, maana show yako imeisha na huna jipya. Kachukue chako usepe ukajaze tumbo lako, hoja zimeshafungwa na umeshapigwa mwereka wa pua! 🎬🤡👋
Kwiyo mimi chawa wa Samia na wewe wa Lissu, mimi wa tz wewe EU. poa tu!!
 
Unajua Tanzania Kuna polisi wangapi ukimjumlisha mafwele na wambura?
Unajua kwamba wanajeshi wa Tanzania walivalishwa sale za polisi Ili wakauwe raiya wasio na silaha?
Unaona kinachoendelea hapa dar kinatofauti na kile Cha October?
Polisi wenye silaha Kila Kona? Ndo nchi ya amani hiyoo??
Mavi ya mama
Kama wewe sio mungiki unahofia nini askari wakionekana kila kona ya jiji?

Watu wema hawaogopi polisi hata kidogo.
 
Uhai wa watu kwanza!

Sasa ndo mnaua watu hadi kwenye makazi na shughuli zao binafsi?
Haya mshawaua kwa mamia na maelfu, miili iko wapi?

Msiwachukulie poa hawa WaTanganyika... Soon mtaanza kuwindwa!
Wananchi hawapendi vyama vya upinzani, moja ya sababu kuu za kuvikataa ni tabia yao ya kurudi CCM kuunga juhudi hata baada ya kushinda uchaguzi, kuvizia watu kutoka CCM kuwa wagombea wao na tabia ya kutukana kinyume na utamaduni na mila zetu na ukuruba wao na wazungu.
 
Wewe uliyeandika huu uzi ni Bure kabisa!
Kwa hiyo wewe mali ndio zinakuuma kuliko Uhai wa binadamu wenzio?Yaani unaona ni sawa kabisa polisi kuchukua bunduki kufyatulia binadamu wenzie kichwani?unavyojilalamisha eti kodi za wananchi ukute hata TIN number tu huna!
Halafu hiyo ya kupangiana tone ya kuongea imekaaje.?eti Mwabukusi anaongea tone kama ya Viongozi wa Chadema sasa ulitaka aongeaje?acha UZWAZWA hiyo kazi ya kutetea wauaji ni ngumu sana na kama ulishiriki matokea yake ndio hayo unaweweseka sasa!
 
Sijui unatumia theory gani kujenga hoja zao za hovyo kabisa. Wewe kwa ujinga wako unadhani bunduki na risasi zimetengenezwa kwaajili gapi? Unadhani watu wananunua bunduki kwa kazi gani? unadhani polisi wanabeba bunduki kwa sababu gani? Kama askari anaelinda sheli hatampiga risasi anaechoma moto sheli anayoilinda unataka bunduki yake akaitumie wapi?

Kama vile jamaa wamewapulizia mavi kwenye akili zenu hadi mnashindwa kufikiri sawasawa. Dai haki yako bila kuingilia haki za wengine. Huwezi kudai haki yako kwa kuchoma lori ambalo limenipa ajira ya kulisha watoto wangu na familia. Lazima upigwe risasi ya kichwa ili kulinda haki za wenye haki. Ulikuwa na haki ya kuvuta bangi lakini hukuwa na haki ya kuchoma mwendokasi unaotumiwa na watu wengine. Ndiyo maana hata wale waliowatuma kuchoma moto wanawakana kuwa hawakuhusika na chochote kwenye vurugu, "kwanza tulikuwa gerezani" wakati wa vurugu. Hiyo maana yake walikuwa wanajua ni kosa kuchoma moto mali ya umma; kila mtu anamjua baba yake, hivyo walijua lazima wafanyavurugu watapigwa risasi tu, lakini walikuwa wanasubiri idadi ya vifo ili waendelee na mpango wao wa the Huge. Walitarajia idadi ingekuwa kubwa sana na maiti zingezagaa mitaani ili ICC ihamie tz. Wamegonga mwamba, haikuwa hivyo. Na kule gerezani hesabu zimegoma pia, kwakuwa ilikuwa wafanyavurugu waende wakayafungue makomeo ya mahabusu ili watoke kama mashujaa, lakini haikuwa hivyo kaaabisa.

Hii ya free Lissu ni plan C kwao. Na nikwambie hakuna kijana mwenye akili timamu nchini yuko tayari kufa kwaajili ya Lissu, hata watu wa Ikungi hawako tayari maana hajawafanyia lolote linalowagusa kwenye maisha yao ya lila siku. Alikuwa anahangaika na shida za wamasai kuliko shida za watu wa Ikungi. Yuko ndani lakini watu wako bize na maisha yao ya kujitafutia riziki. Hata hii mikutano yao ya sasa serikali iwaache tu wafanye kila siku mwisho wataishiwa agenda. Hebu waitishe maandamano ya kwenda kumtoa Lissu waone kama watapata vijana wangapi wa kushiriki kwenye mission ya kifo.
 
Sijui unatumia theory gani kujenga hoja zao za hovyo kabisa. Wewe kwa ujinga wako unadhani bunduki na risasi zimetengenezwa kwaajili gapi? Unadhani watu wananunua bunduki kwa kazi gani? unadhani polisi wanabeba bunduki kwa sababu gani? Kama askari anaelinda sheli hatampiga risasi anaechoma moto sheli anayoilinda unataka bunduki yake akaitumie wapi?

Kama vile jamaa wamewapulizia mavi kwenye akili zenu hadi mnashindwa kufikiri sawasawa. Dai haki yako bila kuingilia haki za wengine. Huwezi kudai haki yako kwa kuchoma lori ambalo limenipa ajira ya kulisha watoto wangu na familia. Lazima upigwe risasi ya kichwa ili kulinda haki za wenye haki. Ulikuwa na haki ya kuvuta bangi lakini hukuwa na haki ya kuchoma mwendokasi unaotumiwa na watu wengine. Ndiyo maana hata wale waliowatuma kuchoma moto wanawakana kuwa hawakuhusika na chochote kwenye vurugu, "kwanza tulikuwa gerezani" wakati wa vurugu. Hiyo maana yake walikuwa wanajua ni kosa kuchoma moto mali ya umma; kila mtu anamjua baba yake, hivyo walijua lazima wafanyavurugu watapigwa risasi tu, lakini walikuwa wanasubiri idadi ya vifo ili waendelee na mpango wao wa the Huge. Walitarajia idadi ingekuwa kubwa sana na maiti zingezagaa mitaani ili ICC ihamie tz. Wamegonga mwamba, haikuwa hivyo. Na kule gerezani hesabu zimegoma pia, kwakuwa ilikuwa wafanyavurugu waende wakayafungue makomeo ya mahabusu ili watoke kama mashujaa, lakini haikuwa hivyo kaaabisa. Hii ya free Lissu ni plan C kwao.
Siwezi bishana na mpuuzi unayalamba makalio wanaume wenzio ndio ule...Dismiss
 
Back
Top Bottom