Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Sio vile tu, lakini hata leo hii kama utaenda kuvunja bank utauliwa hapohapo kwa risasi. Kama utachoma kituo cha polisi utauliwa hapohapo. Hivi akili ndogo kama hii vijana hawanayo?

Serikali inao wajibu wa kulinda usalama wa watu na mali zao kwa gharama yoyote. Haki ya wwngi inapewa kipaumbele zaidi. Yaani haki yako na ile ya kundi lako ni muhimu lakini haki ya wengi ni muhimu zaidi. Usicheze na dola.
Sasa ndo mnaua watu hadi kwenye makazi na shughuli zao binafsi?
Haya mshawaua kwa mamia na maelfu, miili iko wapi?

Msiwachukulie poa hawa WaTanganyika... Soon mtaanza kuwindwa!
 
Thibitisha kuwa hizi picha ni tukio la oct29 na sio kutoka Goma. Bila kujali zimetoka nchi gani lakini ni fundisho kuwa amani haina mbadala, na akili za kuambiwa changanya na zako. Waliopanga wako hai wakati waliopangiwa wamekufa.
Oops kumbe ni za Goma, my bad. This is the goodness of arguing with an ass-hole thinking that you're arguing with someone sensible.
Yeah after the authenticity check I've proved that those pics are from Goma, it's the Goma massacre done by lady President of Goma.
 
Unajuaje kanma hii ni Tanzania? Thibitisha. Je, Na Watoto wa Heche, Lema, Lissu, Mwabukusi na Nshala wamo humu pia? Kama hawapo kwanini hawapo?
Kama ambavyo hatutarajii watoto wa viongozi kupata vyeo na upendeleo ndivyo ambavyo Si lazima watoto wa viongozi wa harakati za mabadiliko wawepo mstari wa mbele wa vita.

Wakati wakoloni wazungu wanashughulishwa na wadai uhuru hakuna Mtanganyika timamu alisema kina Nyerere na viongozi wa TANU watangulize watoto wao kulete hamasa!
Jifunze kutofautisha.

Kuhusu picha... WaTanganyika wanao ukweli wote... Wao ndo waliwatafuta ndugu zao... Wao ndo walipiga hizo picha!
1768553506713 (1).jpg

Wenye nia njema walidiriki kutumia teknolojia kuhakiki... Lakini kama kawaida yenu mlipuuzia na kutoa hoja za kijinga kuwapinga!

Anyways, kwa hatua Tanganyika ilikofikia... Ni suala la muda tu. Risasi hazitotosha kudhibiti madai ya mabadiliko.
 
wewe hukuuliwa kwakuwa hukwenda kuchoma TRA. Watoto wa Lissu na Lema na heche na mwabukusi na Kibatala na Nshala hawakuuliwa kwakuwa hawakushiriki kwenye uchomaji wa sheli za watu. Ni watoto wa wajinga na watukutu tu ndio walishiriki hivyo kuuliwa kwenye tukio.
Vipi maelfu ya watu waliiuawa wakiwa majumbani, kwenye banda umiza, kwenye soccer academy na maeneo mengine mbalimbali ambako hakukuwa na maandamano?
 
Sasa ndo mnaua watu hadi kwenye makazi na shughuli zao binafsi?
Haya mshawaua kwa mamia na maelfu, miili iko wapi?

Msiwachukulie poa hawa WaTanganyika... Soon mtaanza kuwindwa!
Wewe una mwili ambao hujaupata? Za kuambiwa changanya na zako , usiaminishwe ujinga.
 
Ng’ombe wa mama, muambie mfugaji wako, kama anaweza, afute kabisa vyama vya siasa ili yeye na nyie ng’ombe wake mle nchi bila kusumbuliwa na mtu!
Malizeni kwanza dhuluma ndani familia na ukoo zenu ya kunyima watoto wa kike haki yao ya kurithi mali za wazazi wao kabla ya kurukia haki nyingine. Charity begins at home.

Familia inamkeketa biti yao bila idhini yake, halafu familia hiyohiyo anatoka mwanafamilia kuadamana kudai haki Ikulu.

Mwanaume baada ya kumaliza kumcharaza mkewe eti kwanini alichelewa kutoka sokoni anavaa gwada na kusema piiiiipoooooz, haki kwa wote.

Hapa nataka kusema kuwa vurugu tunazoziona sio za kudai demorasia wala haki maana jamii zetu zina uwezo mkubwa sana wa kuvumilia dhuluma na uonevu. Yaani watoto wa baba mmoja na mama mmoja wananyimana urithi na maisha yanaendelea, mtoto anapewa mimba na kumalizana kifamilia hukohuko nyumbani. Ukosefu wa demokrasia haujafikia levels za kuchoma kituo cha polisi, mwendokasi au ofisi za TRA.

Watanzania amkeni!!!
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
TLS ifitwe, ila vyombo vya dola vilivyokubali waziwazi kutumika na majizi ya ccm viendelee kubaki!
 
Usijali kwa kuwa....

IMG_20200901_023949_876.JPG
 
TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.
Nilipokua nasoma nakumbuka kuna mwalimu mmoja akasema hivi kwanini wakili mwanasheria anaitwa Wakili Msomi na kwanini mwalimu hawaitwi Mwalimu Msomi?

nikamwangalia kisha nikabaki kimya kwa sababu asiejua maana haambiwi maana
 
Huku ughaibuni percentage kubwa ya waTZ ni watoto wa viongozi wa CCM na wa serikali.
JF wengi wetu ni vivuli tu hatujulikani hivyo basi it's impossible even to guess or to form a theory ya kujua nani ni nani.
Swali la kichoko sana kuleta ukenge eti probably hizo picha si TZ, basi pia watu huwa hawatekwi na wala Ali Kibao hakushushwa kwenye basi(abiria na wahusika wa basi walidanganya) na pia Mdude hakutekwa(mkewe na majirani pamoja na viongozi wa mtaa walidanganya) and the list goes on and on and on......
Hakuna taifa linakosa vibaraka, tangu enzi na enzi. Ukigundulika pasinashaka kuwa wewe ni kibaraka kuna watu wanajua nini cha kufanya kuhusu wewe. Lakini kuna watu pia wanateka watu kwa lengo la kuisingizia serikali ili wapate pa kuanzia, hawa nao ili kuwafahamu ni rahisi tu maana wakishamteka mtu wanapiga picha tukio, wanaandaa waandishi wa habri wa ndani na nje kama BBC, DW, CNN ili kusambasa habari hiyo haraka ziwafikie mabwana zao na wanatoa majawabu haraka juu ya nani kahusika na utekaji (serikali) bila hata polisi wenyewe hawajafika eneo la tukio wala upelelezi haujafanyika.

Lakini kuna watu wanatekwa kwa imani za kishirikina kama vile kupata viungo vya binadamu. Na kuna wengine wanatekwa ili kupata kikombozi (fedha) na wengine wanatekwa kama sehemu ya kutoa adhabu kwa kosa alilofanya mtekwaji kama vile mapenzi, biashara au kutoa siri mbaya ya mtu, nk.

Ndugu yangu wewe si kila anaetekwa basi ni Samia, kama mkiamini ujinga kama huyo basi mtakuwa mmeingia kwenye mtego wa kipuuzi wa wapuuzi.
 
Ni kweli nadhani. Mtu kama Mh. Mwabukusi ni mwanasheria mkubwa na kiongozi mkubwa wa wanasheria wenzake wa taaluma yake, lakini anasema Tundu Lissu hana hatia nje ya mahakama huku akijua kuwa kesi yake iko mahakamani na hukumu haijatolewa. Ni layman wa sheria tu kama mimi au mwanasiasa ambae anaweza kusema hivyo. Hii ni kuonyesha kuwa ama elimu yetu imeshuka sana au kweli tunatumia chini ya asilimia 1 ya akili zetu. Hii haina tofauti na kuvuta mlango ulioandikwa SUKUMA, umepunzisha akili na kutumia mazoea.

Kama mtu anatumia akili yake sawasawa angehoji watoto na mke wa Lissu wako wapi kabla hajaandamana kumtoa Lissu gerezani. Angehoji mbona watoto wa wanasiasa wakuu hawakufa kwenye vurugu za Oct29. Wangehoji mbona wachungaji, mapadre, maaskofu na masheikh na watoto wao hawakufa kwenye vurugu za Oct29?

Hawahoji kama mbayuwayu kwakuwa hawatumii akili zao kabla ya kutekelezwa wanachoambiwa.
 
Malizeni kwanza dhuluma ndani familia na ukoo zenu ya kunyima watoto wa kike haki yao ya kurithi mali za wazazi wao kabla ya kurukia haki nyingine. Charity begins at home.

Familia inamkeketa biti yao bila idhini yake, halafu familia hiyohiyo anatoka mwanafamilia kuadamana kudai haki Ikulu.

Mwanaume baada ya kumaliza kumcharaza mkewe eti kwanini alichelewa kutoka sokoni anavaa gwada na kusema piiiiipoooooz, haki kwa wote.

Hapa nataka kusema kuwa vurugu tunazoziona sio za kudai demorasia wala haki maana jamii zetu zina uwezo mkubwa sana wa kuvumilia dhuluma na uonevu. Yaani watoto wa baba mmoja na mama mmoja wananyimana urithi na maisha yanaendelea, mtoto anapewa mimba na kumalizana kifamilia hukohuko nyumbani. Ukosefu wa demokrasia haujafikia levels za kuchoma kituo cha polisi, mwendokasi au ofisi za TRA.

Watanzania amkeni!!!
Huu uharo umeandika hapa ni kutetea ujinga wa wasiojuwa kutetea haki zao. Huo upuuzi unaobeba kwa hao wajinga ndio unataka na wengine wanaojua kudai haki zao wakae kimya kuendeleza ujinga unaosema uko kwa baadhi ya watu kwenye jamii?!
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Kwa hisani ya mavi ya kijani ya mama
 
Ni kweli nadhani. Mtu kama Mh. Mwabukusi ni mwanasheria mkubwa na kiongozi mkubwa wa wanasheria wenzake wa taaluma yake, lakini anasema Tundu Lissu hana hatia nje ya mahakama huku akijua kuwa kesi yake iko mahakamani na hukumu haijatolewa. Ni layman wa sheria tu kama mimi au mwanasiasa ambae anaweza kusema hivyo. Hii ni kuonyesha kuwa ama elimu yetu imeshuka sana au kweli tunatumia chini ya asilimia 1 ya akili zetu. Hii haina tofauti na kuvuta mlango ulioandikwa SUKUMA, umepunzisha akili na kutumia mazoea.
Yaani hakuna asiyeona upuuzi unaifanywa na mahakama wa kutumika na viongozi majizi wa ccm? Yaani ukikaa ukasubiri mahakama hizi zikufanyie maamuzi utakuwa mjinga wa ajabu.
 
Nilipokua nasoma nakumbuka kuna mwalimu mmoja akasema hivi kwanini wakili mwanasheria anaitwa Wakili Msomi na kwanini mwalimu hawaitwi Mwalimu Msomi?

nikamwangalia kisha nikabaki kimya kwa sababu asiejua maana haambiwi maana
Nani kawaita, si wamejiita wenyewe hivyo?
 
Yaani hakuna asiyeona upuuzi unaifanywa na mahakama wa kutumika na viongozi majizi wa ccm? Yaani ukikaa ukasubiri mahakama hizi zikufanyie maamuzi utakuwa mjinga wa ajabu.
Ni wapi mahakama zinaaminika? Hata Marekani wanalia na mahakama, Kenya wanalia na mahakama, SA, hivyohivyo. Usituaminishe ujinga wako. Kesi ikishakuwa mahakamani subiri hukumu na ukate rufaa kama hukuridhika na maamuzi. Rule of law inatutaka tufanye hivyo, kwani mwabukusi hajui hilo?
 
Back
Top Bottom