Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Wananchi wanaitaji maisha bora ya uhakika mambo ya utekaji , Mauaji. kukomeshwa lakini hizi blah blah mfafuta taasisi ngapi?
Watanzania wote wanahitaji maisha bora, lakini maisha bora huwezi kuyaleta kwa kuchoma mali zao zilizopo tayari mikononi mwao. TLS inaunga mkono mali za wananchi ziharibiwe na wenye hazira.

Hebu ona, Sasa hivi serikali inatumia rasilimali watu, fedha, muda na silaha nyingi ili kulinda mali za watanzania 65m zisichomwe moto na kuharibiwa na chadema inayoungwa mkono na TLS. Pesa ambazo zingeweza kutumika kwenye kutoa huduma nyingine kama chanjo za watoto, dawa za HIV, kununua madawa hospitalini, nk. Eti watu wa aina hiyo wanataka kutuaminisha kuwa wao wana uchungu na sisi na wanataka kutuletea maendeleo wakati wanaharibu hata hiki kidogo tulichonacho!!!. Upuuzi mtupu.
 
Wananchi wanaitaji maisha bora ya uhakika mambo ya utekaji , Mauaji. kukomeshwa lakini hizi blah blah mfafuta taasisi ngapi?
Huwezi kutafuta maisha bora kwa kuunga mkono kuharibu kilichopo, tusidanganyane.
 
Wewe hututakii mema
P
Chama kisichokuwa na maslahi kwa wananchi cha nini sasa kaka yangu. Samia anapita tu lakini Tanzania inabaki. Yaani humtaki Samia pamoja na mali zetu zote za watanzania?.

TLS haikuonyesha kukerwa na uharibifu wa mali za watanzania, inamtumikia nani?
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Wafute walete mahakama ya makadhi 😁😁😁😁 wewe kweli ni kinyeo cha samuya
 
Kuna CCM walilawitiwa na waandamanaji? Hilo sijalisikia

Lakini unaponyimwa haki yako, kuna wakati inakuwa ni sawa kujichukulia hatua mikononi, na ndio maana Tanzania tuliunga mkono harakati za ukombozi kusini mwa Africa. Kwani unafikiri ANC, ZANU, BIAFRA, SWAPO, FRELIMO, MPLA nk walikuwa wanapigania demokrasia kwa kufuata sheria za nchi walizokuwamo? Walijaribu njia za amani watawala wakawa hawataki, kuwaweka ndani wanaharakati na hata kuwateka na kuwaua, kama inavyofanywa na CCM na watawala wake hapa nchini. Ikawa hakuna tena option nyingine bali kutumia njia mbadala. Hata Nyerere aliunga mkono suala la kusema mtu anaekunyima haki yako na kukandamiza misingi ya kidemokrasia ya kuipata, anakulazimisha kuchukua hatua zisizo za kisheria kudai haki yako
Mwendokasi, TRA na polisi na ofisi za serikali ya mitaa sio mali ya CCM, ni mali ya watu wote, kuunga mkono watu wanaochoma mali kama hizi ni uhalifu. Hakuna chama cha siasa kitakachoingia madarakani ambacho kitakuja na ofisi zake za serikali, vituo vya polisi wala barabara zake. Kuzichoma moto kwasababu ya kutafuta haki na maisha bora ni zaidi ya usaliti kwa watanzania na taifa. Unaturudisha nyuma miaka mingi sana kutoka hapa tulipo. TLS inaunga mkono watanzania kurudi nyuma kwa miaka mingi.
 
Chama kisichokuwa na maslahi kwa wananchi cha nini sasa kaka yangu. Samia anapita tu lakini Tanzania inabaki. Yaani humtaki Samia pamoja na mali zetu zote za watanzania?.

TLS haikuonyesha kukerwa na uharibifu wa mali za watanzania, inamtumikia nani?
TLS ni professional association, inahudumia wanachama wake ambao ni mawakili.
P
 
Wewe hujui kwamba mbengu lazima ioze kwanza unafahamu nini kuhusu French Revolution lazima tupitie huku na watu Kama nyie lazima mchinjwe mpotee watu ambao mko kwa ajili ya maslahi yenu
Mimi nina haki yangu ya kutetea kodi yangu niliyolipa kuchangia ujenzi wa miundombinu iliyounguzwa. Kama ni kuchinja kamchinje mama yako aliyekuzaa taahira. Sijakutuma mimi unitetee wala uniletee maendeleo, mletee hayo maendeleo baba yako lakini sisi watanzania tunaijua njia yetu.

Unataka tuwe na maendeleo kama ya nchi gani Afrika? Kibaraka wewe.
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Anzisha kesi ya kuifuta basi ufanye kweli isiwe longolongo tu hapa JF.
 
Mimi nina haki yangu ya kutetea kodi yangu niliyolipa kuchangia ujenzi wa miundombinu iliyounguzwa. Kama ni kuchinja kamchinje mama yako aliyekuzaa taahira. Sijakutuma mimi unitetee wala uniletee maendeleo, mletee hayo maendeleo baba yako lakini sisi watanzania tunaijua njia yetu.

Unataka tuwe na maendeleo kama ya nchi gani Afrika? Kibaraka wewe.
Waliouza Dp world ndo vibaraka wameuza kila kitu stupid kwasababu wewe ni mnufaika wa wizi wa sasa ila siku yenu hipo
 
Anzisha kesi ya kuifuta basi ufanye kweli isiwe longolongo tu hapa JF.
Tuko kwenye stage ya kuijua katiba na kazi za TLS, tuone kama haina wajibu wa kutunza haki za watanzania, amani, usalama wa mali ya umma na watu binafsi KWENYE majukumu yake. Tujue kama wana kipengele kinachoruhusu kuunga mkono vyama vya siasa.
 
Tatizo uko kwenye stage ya kuijua katiba na kazi za TLS leo.

Hilo ndilo tatizo.
 
Actually ni vizuri kuijua Katiba yao kwanza maana mimi sio mmoja wao.

Ni vema kujua TLS ana wajibu gani kwenye matukio ya kitaifa kama yale ya ot29.

Pia ni vizuri kujua kama zipo sababu/mazingira za kisheria ambazo zinaruhusu mtu au kikundi kuweza kuharibu mali ya umma bila kuvunja sheria. Hii inaweza kutupatia mwanga kuona kwanini TLS haikulaani uharibifu ule wa mali za uma uliofanyika Oct29 na baada ya Oct29.

Na je, TLS ina wajibu gani linapotokea tukio kama lile, kukaa kimya, kulaani, kuunga mkono wananchi au kuunga mkono kundi, au nini?
 
Actually ni vizuri kuijua Katiba yao kwanza maana mimi sio mmoja wao. Pia ni vizuri kujua kama zipo sababu/mazingira za kisheria ambazo zinaruhusu mtu au kikundi kuweza kuharibu mali ya umma bila kuvunja sheria. Hii inaweza kutupatia mwanga kwanini TLS haikulaani uharibifu wa mali za uma uliofanyika Oct29 na baada ya Oct29. Na je, TLS ina wajibu gani linapotokea tukio kama lile, kukaa kimya, kulaani, kuunga mkono wananchi au kuunga mkono kundi, au nini?
Tatizo hujui mambo mengi ya msingi.

Ndiyo maana hata hapa unafanya logical non sequitur fallacy na false dichotomy fallacy.
 
Tukiwaambia ccm Kuna matahira mpka mwenyekiti wake muwe mnaelewa hiki ni uchafu gani?, kwamba unataka TLS iwe sawa na polisiccm?, unataka iwe kama Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa?, unataka iwe Bunge la ccm?, au unataka iwe taasisi ya matahira wengine wale wa CWT?. Umetoa mfano wa yanga hii ya matahira ambao wameonesha upande wao Moja kwa Moja kuichangia ccm 100m?, umewahi kusikia wapi yanga wameichangia chadema au Cuf?.
TLS n taasisi ya kisomi inayojitegemea kiundeshaji na Ina wajibu wakukemea na kuhoji juu ya mambo ya hovyo yanayoyokea Tz. Mnataka taasisi za kiccm ccm? Kama mama ongea na mwanao 😅 au watetezi wa bumunda lenu saa1?.
 
Kwamba Wakili wangu nikikiri kwake kwamba nilitenda hilo kosa anavunja mkataba wa Uteja???!!
 
Tukiwaambia ccm Kuna matahira mpka mwenyekiti wake muwe mnaelewa hiki ni uchafu gani?, kwamba unataka TLS iwe sawa na polisiccm?, unataka iwe kama Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa?, unataka iwe Bunge la ccm?, au unataka iwe taasisi ya matahira wengine wale wa CWT?. Umetoa mfano wa yanga hii ya matahira ambao wameonesha upande wao Moja kwa Moja kuichangia ccm 100m?, umewahi kusikia wapi yanga wameichangia chadema au Cuf?.
TLS n taasisi ya kisomi inayojitegemea kiundeshaji na Ina wajibu wakukemea na kuhoji juu ya mambo ya hovyo yanayoyokea Tz. Mnataka taasisi za kiccm ccm? Kama mama ongea na mwanao 😅 au watetezi wa bumunda lenu saa1?.
Basi kama unavyosema wewe ni sawasawa basi ni muunganiko wa wahuni wasiojali maslahi ya umma waliojichimbia ndani ya TLS.
 
Back
Top Bottom