Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Kaka badala ya kuongea hisia, ongea unachokijua. Kama mnaua watu na kuwanyima kuchagua viongozi wao lazima tusema. Na pia naomba nikujulishe hayo mambo ya urithi tunafanya kulingana na taratibu au katiba za ukoo tulizojiwekea. Pia demokrasia tunaidai kulingana na katiba ya nchi tuliyojiwekea. Hakuna mtu anayedai nje ya katiba. Kama mtoto wako ana haki ya kuishi na wangu pia ana haki ya kuishi.
Nani kauliwa na kauliwa kwa sababu gani? Je wewe dini yako haijawahi kuuwa?
Na je unauhakika gani kama hao watu wanaotekwa wametekwa na serikali? Je Dr Slaa alivyosema hata chadema huwa wanatekana je chama kilishawahi kukana hadharani?
 
Jambazi akikuvamia nyumbani kwako akawa na silaha na kuharibu vitu vya nyumbani kwako kama wewe unayo silaha utamfanya nini?
Tofautisha jambazi na hoja ya maandamano,hiyo ni haki ya wananchi kikatiba,hapakuwa na haja ya kuua watu hovyo hovyo namba ile mpaka kwenye makazi ya watu ambao sio sehemu ya maandamano,wewe ulitaka wananchi wafanye nini ikiwa haki yao ya kuchagua watu wanaowataka inapokwa?
 
Mali ya umma kitu gani ukilinganisha na uhai uliopotea,mali unaweza nunua au jenga mpya uhai je?Wewe mpumbavu
Mkuu mpaka leo hii hakuna mwendokasi kutoka Morocco kwenda Gerezani na Kivukoni, mpaka leo hii kuna mamia kwa mamia ya wafanyakazi wa Vituo vya mafuta wameingia kwenye umaskini usioelezeka kwa sababu ya upuuzi wa hao vijana wa Gen Z waliotaka kuichoma moto nchi nzima.

Hakuna mahali duniani hao watoto wangeachwa waendeleze ule upuuzi kwa kigezo cha kudai haki.

Hao wanaodhamini kudai kwao haki huko kwao wanaogombana kila siku na raia wanaozikosea adabu mamlaka zenye kuongoza kwa uhalali.

Ukikosa heshima jiandae kukutana na madhara ya kiburi chako.
 
Tofautisha jambazi na hoja ya maandamano,hiyo ni haki ya wananchi kikatiba,hapakuwa na haja ya kuua watu hovyo hovyo namba ile mpaka kwenye makazi ya watu ambao sio sehemu ya maandamano,wewe ulitaka wananchi wafanye nini ikiwa haki yao ya kuchagua watu wanaowataka inapokwa?
Nani kaipoka haki yako ya kuchagua unayemtaka?. Mlitumia uhuni kufikisha ujumbe wenu mkakutana na uhuni wa kimfumo.
 
Nani kauliwa na kauliwa kwa sababu gani? Je wewe dini yako haijawahi kuuwa?
Na je unauhakika gani kama hao watu wanaotekwa wametekwa na serikali? Je Dr Slaa alivyosema hata chadema huwa wanatekana je chama kilishawahi kukana hadharani?
Sasa hiyo ni serikali gani ambayo kuna wahalifu halafu mnashindwa kuwapata. Automatically nyie mnahusika. Hiyo ni aibu kama wananchi wanatekwa wala hamfuatilii. Wanaotakiwa kufuatilia mauaji na utekaji wakiwa wamekaa kimya wenye akili mnajua wanaohusika. Au unataka kusema wanalala kazini kwa hiyo hawafai kutuonhoza. By the way, chadema imeingiaje hapa. Sisi tunazungumzia usawa kwenye jamii hata kama ni chama ambacho hupendi.
 
Kaka badala ya kuongea hisia, ongea unachokijua. Kama mnaua watu na kuwanyima kuchagua viongozi wao lazima tusema. Na pia naomba nikujulishe hayo mambo ya urithi tunafanya kulingana na taratibu au katiba za ukoo tulizojiwekea. Pia demokrasia tunaidai kulingana na katiba ya nchi tuliyojiwekea. Hakuna mtu anayedai nje ya katiba. Kama mtoto wako ana haki ya kuishi na wangu pia ana haki ya kuishi.
Huwezi kujiwekea taratibu za ukoo zinazokinzana na sheria za nchi, hebu acha hizo habari zako. Mbona hata ukeketaji ni sheria za ukoo na kabila lakini tunazipinga?

Hebu elezea hili kwanza

View: https://youtu.be/uw7G3Axg6rs?si=2nZ8UAkp_dXa8LFz
 
Naona unajitajidi kufanya spinning kwenye hii mada ya kutaka nchi iwe ya kidemokrasia. Hongera na kwa heri
Nimekuonyesha namna watanzania walivyokuwa na uwezo mkubwa wa kuvumilia dhuluma. Wote mmezaliwa na wazazi walewale lakini wengine wananyimwa bila kuleta fujo. Huyohuyo msichana aliyenyimwa urithi wa wazazi wako amechoma moto mahakama kudai haki yake. Huyohuyo kijana aliyezoa mali za wazazi wake na kuwanyima dada zake yuko LHRC anapigania haki za watanzaniam upuzi kabisa.
 
Sasa hiyo ni serikali gani ambayo kuna wahalifu halafu mnashindwa kuwapata. Automatically nyie mnahusika. Hiyo ni aibu kama wananchi wanatekwa wala hamfuatilii. Wanaotakiwa kufuatilia mauaji na utekaji wakiwa wamekaa kimya wenye akili mnajua wanaohusika. Au unataka kusema wanalala kazini kwa hiyo hawafai kutuonhoza. By the way, chadema imeingiaje hapa. Sisi tunazungumzia usawa kwenye jamii hata kama ni chama ambacho hupendi.
Kama wewe hujatekwa basi waliotekwa ni wahalifu na wengine mmewateka wenyewe. Dr. SLAA kwenye kitabu chake cha nyuma ya pazia amesema chadema ina programu ya kuteka watu na kuisingizia serikali. Mbona hamjamchukulia hatua?
 
Kwani uanaharakati ni kosa au dhambi ?
sio kwa mwamvuli wa TLS. Yaani unapambana kufa na kupona uwe kiongozi wa TLS ili uwe mwanaharakati mwenye nguvu ya TLS, usukume agenda za chama chako. No!! wabadilike wafuate madhumuni ya kuanzishwa kwa TLS, la sivyo futilia mbali ujinga kwenye daftali. Huwezi kuwa na taasisi ya umma ya wanasheria kama TLS ambayo haisikitiki nchi ikichomwa moto na ikipata hasara.
 
Mimi nina haki yangu ya kutetea kodi yangu niliyolipa kuchangia ujenzi wa miundombinu iliyounguzwa. Kama ni kuchinja kamchinje mama yako aliyekuzaa taahira. Sijakutuma mimi unitetee wala uniletee maendeleo, mletee hayo maendeleo baba yako lakini sisi watanzania tunaijua njia yetu.

Unataka tuwe na maendeleo kama ya nchi gani Afrika? Kibaraka wewe.
Watu waliouwawa ndio huoni thamani Yao,ila Kodi Yako,umeliwa Kichwa!
 
Back
Top Bottom