Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Siwezi bishana na mpuuzi unayalamba makalio wanaume wenzio ndio ule...Dismiss
Mpuuzi ni mtu anaepuuza wapuuzi. Kama unadhani walinzi wanabeba bunduki kwaajili ya kuwatishia tu wahalifu hebu rudi tena ukachome TRA. Kama mama yako anao watoto wengi mno basi endelea kuwasikiliza wanaokuamuru ukachome mahakama. Yule anaekushawishi mkachome kituo cha polisi, siku ya kuchoma ikikaribia anafanya tukio ili akamatwe asiwepo siku ya kuchoma moto ili aseme nilikuwa gerezani sikushiriki. Anakuachia kesi wewe uliyechoma wakati yeye akiwa hana hatia.
 
Wananchi hawapendi vyama vya upinzani, moja ya sababu kuu za kuvikataa ni tabia yao ya kurudi CCM kuunga juhudi hata baada ya kushinda uchaguzi, kuvizia watu kutoka CCM kuwa wagombea wao na tabia ya kutukana kinyume na utamaduni na mila zetu na ukuruba wao na wazungu.
Watu ni wale wale... Upinzani ukishinda utashangaa kila aliyepo ccm akahamia upinzani ili maisha yasonge.
Kama unasema upinzani haupendwi basi wewe utakuwa unatokea ama unaishi ile mikoa yenye wajinga lukuki!
 
Mpuuzi ni mtu anaepuuza wapuuzi. Kama unadhani walinzi wanabeba bunduki kwaajili ya kuwatishia tu wahalifu hebu rudi tena ukachome TRA. Kama mama yako anao watoto wengi mno basi endelea kuwasikiliza wanaokuamuru ukachome mahakama. Yule anaekushawishi mkachome kituo cha polisi, siku ya kuchoma ikikaribia anafanya tukio ili akamatwe asiwepo siku ya kuchoma moto ili aseme nilikuwa gerezani sikushiriki. Anakuachia kesi wewe uliyechoma wakati yeye akiwa hana hatia.
Ni suala la muda tu... Ipo siku wananchi wataamka usingizini na kuwachoma viongozi na mali zao.
Hizo siku kwa sasa haziko mbali!
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?

CCM. IMEJAZA MIBWABWA MINGI SANA YOTE IMESHAKUWA FLAT KWENYE SEHEMU YA HAJA.
 
Watu ni wale wale... Upinzani ukishinda utashangaa kila aliyepo ccm akahamia upinzani ili maisha yasonge.
Kama unasema upinzani haupendwi basi wewe utakuwa unatokea ama unaishi ile mikoa yenye wajinga lukuki!
Mikoa wanaopenda upinzani ni ileile ambayo wanawake wananyimwa urithi.
 
Ni suala la muda tu... Ipo siku wananchi wataamka usingizini na kuwachoma viongozi na mali zao.
Hizo siku kwa sasa haziko mbali!
Alinacha. Sisi tz hatuko vibaya kuliko nchi nyingi za afrika. Upinzani kushika dola si jambo la leo wala kesho.
 
Watu ni wale wale... Upinzani ukishinda utashangaa kila aliyepo ccm akahamia upinzani ili maisha yasonge.
Kama unasema upinzani haupendwi basi wewe utakuwa unatokea ama unaishi ile mikoa yenye wajinga lukuki!
Vyama vyetu vya upinzani ni machinga wa siasa; ni ajira kama ajira nyingine. Hawana sera tofauti na zile za CCM
 
CCM. IMEJAZA MIBWABWA MINGI SANA YOTE IMESHAKUWA FLAT KWENYE SEHEMU YA HAJA.
Kila unachofanya , unachosema na unachodai kumbuka kuwa tz tuko 65m. Jiulize kati ya hao 65m nyie mnaodai, taka, au kukataa jambo hilo mko wangapi kati ya 65m? Hii itakusaidia kujua kama akidi yenu imetimia au la.
 
Kavulata, 🤡🎪
Muda wa kupoteza kujibu porojo za 'machawa' wa serikali haupo. Tumekupatia maoni yote ya kisheria, huna hoja!
Umebaki kujigeuza clown (mchekeshaji wa sarakasi / kikaragosi) 🤡 wa hapa JF, ukiruka ruka kufunika ukweli. Show yako ya u-clown imefeli, kila mtu ameshasoma 'script' yenu ya bei rahisi. 👋
Amri ya mwisho: Kazi yako imeisha.
Nenda haraka kwa waliokutuma ukachukue hiyo bahasha ya malipo 💰✉️, maana umejitahidi sana kukariri miongozo yao. Hoja za kisheria hazijibiwi kwa njaa za kisiasa.
Kachukue chako usepe, hoja zimeshafungwa! 🎬🤡
Kaka nimekwambia una busara sana na elimu ya kutosha ila unafanya makusudi kupindisha msumeno usikate.

Niambie hawa watu haki yao iko wapi kama uwewe unadhani watanzania wote wanamfikria Lissu tu?

View: https://www.youtube.com/live/QVDKfq6r6Dk?si=-FeVOf4e6uH46buz
 
TLS haikuonyesha kukerwa na uharibifu wa mali za watanzania, inamtumikia nani?
Wewe mbona hukereki na mauaji ya Watanganyika maelfu yaliyofanywa na policcm na Kmkm kwa maslahi ya kikundi kidogo cha majizi na mafisadi wa ccm?

Uliwahi kukemea na kupinga ufisadi, wizi wa uchaguzi, utekaji, ufiraji, mauaji na maovu mengi yanayofanywa na chama chako ambayo ndiyo chanzo cha mkwamo nchini??

Ni upumbavu wa kiwango cha juu sana kulinganisha mali yoyote na uhai wa binadamu.

Ingawa sikubaliani na uharibifu wa mali, ila uhalisia ni kuwa hujuma za miundombinu ni kawaida kwenye mapambano, hasa unapokabiliana na hasimu katili. Wapigania uhuru wote hufanya hivyo
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Futeni institutions zote za nchi kasoro ccm na policeman plus washirika wao. Hiyo itafanya nchi itawalike vizuri sababu tls, chadema na vyama vya upinzani vimesababisha nchi yenye miaka zaidi ya 65 kutokupata maendeleo
 
Kaka nimekwambia una busara sana na elimu ya kutosha ila unafanya makusudi kupindisha msumeno usikate.

Niambie hawa watu haki yao iko wapi kama uwewe unadhani watanzania wote wanamfikria Lissu tu?

View: https://www.youtube.com/live/QVDKfq6r6Dk?si=-FeVOf4e6uH46buz

Michezo inaunganisha watu wa misimamo, imani, itikadi na mitazamo tofauti tofauti...
Lakini michezo ni very very basic often for the layman. Kifupi mashabiki wanataka makombe na furaha pengine fedha za kamati.

Lakini critical minds & change makers watawaza mbali zaidi... Siasa na michezo ni pete na kidole... Watu ni wale wale na janja janja ni zile zile!

Uchakachuaji kwenye siasa ni ule ule ubabaivu na Makosa ya kibinadamu kwenye michezo.

Yanga ni bingwa lakini kwa njia na mbinu zile zile za ushindi wa ccm kwenye chaguzi.

Rushwa ni adui wa haki!
 
Futeni institutions zote za nchi kasoro ccm na policeman plus washirika wao. Hiyo itafanya nchi itawalike vizuri sababu tls, chadema na vyama vya upinzani vimesababisha nchi yenye miaka zaidi ya 65 kutokupata maendeleo
Shida yako hujawahi kutoka nje ya tz, ni wa hapahapa tu. Zunguuka nchi zote za Afrika halafu rudi usome tena hiki ulichoandika.
 
Michezo inaunganisha watu wa misimamo, imani, itikadi na mitazamo tofauti tofauti...
Lakini michezo ni very very basic often for the layman. Kifupi mashabiki wanataka makombe na furaha pengine fedha za kamati.

Lakini critical minds & change makers watawaza mbali zaidi... Siasa na michezo ni pete na kidole... Watu ni wale wale na janja janja ni zile zile!

Uchakachuaji kwenye siasa ni ule ule ubabaivu na Makosa ya kibinadamu kwenye michezo.

Yanga ni bingwa lakini kwa njia na mbinu zile zile za ushindi wa ccm kwenye chaguzi.

Rushwa ni adui wa haki!
Kaka tusikamue jipu ambalo halijaiva. Chadema wanakamua jipu ambalo bado kuiva ndio maana wanapata taabu ya kuwashawishi watu kuwa CCM haifai kuwepo madarakani. Ndio maana unaona kiongozi mkuu kama Lissu yuko lupango lakini watu wanafanya parade za ubibgwa na kazi zao nyingine. Watanzania bado hawajafikishwa ile point of no return na kuamua kusema NO kwa CCM.

Chadema bado haijawakuna watanzania mpaka waseme NAAM!! badala yake wanatumia watu kama Mange Kimambi, wazungu na matusi kwenye harakati zao badala ya kutoa hoja nzito na mikakati mizito mbadala ya hivi ilivyo sasa.

Mwananchi ambae ⁸ anamiliki ardhi, nyumba, mbuzi, shamba, umeme. maji, zahanati na shule kijijini kwake kumwambia CCM haifai utatumia nguvu nyingi sana kumshawishi akuelewe wewe. Bado wanazo options nyingi sana bado ndani ya CCM. Siku ikifika ya kuikinai CCM hakutakuwa na jeshi wala kiongozi wa kuwazuia kuchukua wanachokitaka, lakini muda huo bado haujafika. Hebu ona Magufuli alipiga marufuku vyama vyote kwa miaka 6 lakini wananchi walikuwa wanaendelea na maisha yao tu as if nothing happened.

Usijidanganye ukapoteza uhai wako bure, wananchi bado kabisaa kuwa upande wenu. Hata vyama vya siasa vyenyewe bado havina watu wa maana, vinasubiri akina Mpina, Mwigulu Nchimbi, Sumaye, Lowasa, Membe, Mrema.... wafukuzwe CCM wawadake kuwa wagombea wao. Vyama vya hivyo bado kabisaaa!! Hebu ona, Mpina anaonekana wa kawaida sana CCM lakini anaonekana wa maana sana upinzani. Upinzani wetu huu bado kabisa kuukabidhi nchi na hata wao wanajua hili. Subirini labda CCM imeguke.
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Huwa una kaupumbavu flani hivi. Yaani unalinganisha uhai wa mtu na mali?
 
Shida yako hujawahi kutoka nje ya tz, ni wa hapahapa tu. Zunguuka nchi zote za Afrika halafu rudi usome tena hiki ulichoandika.
Mkuu una uhakika wa kitoto sana. Wewe kwa akili yako kila mtu aliye JF hajatoka TZ? Basi sababu siwezi kukuwekea pasi yangu ya kusafiria hapa, naomba nikujulishe bara ambalo sijafika kwenye dunia hii ni Australia tu. Siyo tu kwenda, baadhi ya masomo yangu ya juu nimefanya nchi za nje. Upooo?
 
Huwa una kaupumbavu flani hivi. Yaani unalinganisha uhai wa mtu na mali?
Wewe ndiye mpumbavu kwakuwa hujui kama ili uwe hai kuna wajibu wa kutimiza pia. Unataka kuwa hai lakini unapanda kwenye nguzo za umeme kushika nyaya. Kaka jambazi linauawa utake usirake, mwambie mwanao Junior hivyo. Ukichoma bank uta
Mkuu una uhakika wa kitoto sana. Wewe kwa akili yako kila mtu aliye JF hajatoka TZ? Basi sababu siwezi kukuwekea pasi yangu ya kusafiria hapa, naomba nikujulishe bara ambalo sijafika kwenye dunia hii ni Australia tu. Siyo tu kwenda, baadhi ya masomo yangu ya juu nimefanya nchi za nje. Upooo?
Kama ungekuwa umeizunguuka Afrika na dunia ungekuwa unajua kuwa tz ina nafuu kubwa ni uvivu wetu tu. Mwanasiasa uchwara inailaumu serikali eti kwanini hata njiti za kuchokonoa meno zinatoka China. Yaani anataka Rais Samia ajenge kiwanda cha kutengeneza toothpicks. Wanasiasa wenye hoja za hovyo kabisa za kuokoteza.
 
Wewe ndiye mpumbavu kwakuwa hujui kama ili uwe hai kuna wajibu wa kutimiza pia. Unataka kuwa hai lakini unapanda kwenye nguzo za umeme kushika nyaya. Kaka jambazi linauawa utake usirake, mwambie mwanao Junior hivyo. Ukichoma bank uta

Kama ungekuwa umeizunguuka Afrika na dunia ungekuwa unajua kuwa tz ina nafuu kubwa ni uvivu wetu tu. Mwanasiasa uchwara inailaumu serikali eti kwanini hata njiti za kuchokonoa meno zinatoka China. Yaani anataka Rais Samia ajenge kiwanda cha kutengeneza toothpicks. Wanasiasa wenye hoja za hovyo kabisa za kuokoteza.
Sijasema swala la kuwa hai, nimekuuliza unalinganishaje uhai wa mtu na mali?
 
Wewe ndiye mpumbavu kwakuwa hujui kama ili uwe hai kuna wajibu wa kutimiza pia. Unataka kuwa hai lakini unapanda kwenye nguzo za umeme kushika nyaya. Kaka jambazi linauawa utake usirake, mwambie mwanao Junior hivyo. Ukichoma bank uta

Kama ungekuwa umeizunguuka Afrika na dunia ungekuwa unajua kuwa tz ina nafuu kubwa ni uvivu wetu tu. Mwanasiasa uchwara inailaumu serikali eti kwanini hata njiti za kuchokonoa meno zinatoka China. Yaani anataka Rais Samia ajenge kiwanda cha kutengeneza toothpicks. Wanasiasa wenye hoja za hovyo kabisa za kuokoteza.
Hatutaki mwanasiasa yoyote ajenge kiwanda tunataka atoe haki kwa wananchi wote. Siyo wengine wana haki ya kulindwa na kutekwa na wengine wanauawa na kutekwa. Hii double standard ndio haina afya kwa uwepo wa nchi. Na tulioenda shule tunaendelea kuwakumbusha kumfanyia mwenzako uovu haimaanishi wewe utakuwa salama ata kama victim amekufa. Jifunze kutumia ubongo badala ya njaa
 
Back
Top Bottom