Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Kaka Kavulata wafuasi Chadema
Wanashindwa kukujibu swali ilo moja wametumia vigezo gani kujilidhisha kuwa watanzania milioni 65 wapo nyuma yao 🤠🤠

nilitamani wakujibu nione vigezo vyao😜
Tuendelee kuwachokoza pengine watajibu Kisheria au kinadharia😜😜
 
Sijasema swala la kuwa hai, nimekuuliza unalinganishaje uhai wa mtu na mali?
Uhai ni bora kuliko mali, ulinde sana kwa nguvu zote. Usifanye mambo yanayoweka rehani uhai wako.
 
Hatutaki mwanasiasa yoyote ajenge kiwanda tunataka atoe haki kwa wananchi wote. Siyo wengine wana haki ya kulindwa na kutekwa na wengine wanauawa na kutekwa. Hii double standard ndio haina afya kwa uwepo wa nchi. Na tulioenda shule tunaendelea kuwakumbusha kumfanyia mwenzako uovu haimaanishi wewe utakuwa salama ata kama victim amekufa. Jifunze kutumia ubongo badala ya njaa
Kila mtu atakufa lakini taifa litabaki. MWL Nyerere kafa lakini tz ipo na sisi. Bora ufe wewe ili taifa libaki badala ya kulichoma moto. Yaani ukishavuta ndumu zako unachukua kiberiti ukaichome TRA na Bank. Lazima utauliwa tu, mwambie Junior hivyo.
 
Kaka Kavulata wafuasi Chadema
Wanashindwa kukujibu swali ilo moja wametumia vigezo gani kujilidhisha kuwa watanzania milioni 65 wapo nyuma yao 🤠🤠

nilitamani wakujibu nione vigezo vyao😜
Tuendelee kuwachokoza pengine watajibu Kisheria au kinadharia😜😜
Hawezi kujibu swala hilo na wanajua hawawezi. Wanapoitisha mikutano na kuona watu wamekuja wanadhani wale ni watanzania wengi wanaowaunga mkono. Hawajui kuwa ni watu walewale watakwenda kwenda pia hata kwenye mikutano mingine kama ya CCM, ACT, CUF, mikutano ya kidini, nk. Ni watu ambao wengi wao hawapigi kura wala kwenda kwenye maandamano, ni watu ambao hata roli likianguka pale watajazana kuona kuna nini.
 
Wajua hata kipindi cha Ndul Idd Amin watu kama wewe walikuwepo.
 
Kaka Kavulata wafuasi Chadema
Wanashindwa kukujibu swali ilo moja wametumia vigezo gani kujilidhisha kuwa watanzania milioni 65 wapo nyuma yao 🤠🤠

nilitamani wakujibu nione vigezo vyao😜
Tuendelee kuwachokoza pengine watajibu Kisheria au kinadharia😜😜
Zaidi ya Watanzania million 30 waliwapigia kura CCM kwenye uchaguzi uliopita.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ktk Watanzania milioni 65 changanya na kura za Zanzibar mana hakukuwa na mgombea wa Urais
Wa Muungano👈

kura zote zimeenda kwa Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwanini isiwezekane👈

%98

Na kwanini iliwezekana kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa CCM ilishinda kwa %98

Wapinzani wote pamoja na Chadema ndani walipata %2 tu👈

Rais Dk Samia Suluhu Hassan Watanzania wamempenda zaidi pengine pia wapiga kura wengi kinamama!!

Ukiacha yale maeneo yenye Uchadema Chadema❗️

lkn mikoa mingi walisimama na Rais Dk Samia Suluhu Hassan✍️
 
Hatutaki mwanasiasa yoyote ajenge kiwanda tunataka atoe haki kwa wananchi wote. Siyo wengine wana haki ya kulindwa na kutekwa na wengine wanauawa na kutekwa. Hii double standard ndio haina afya kwa uwepo wa nchi. Na tulioenda shule tunaendelea kuwakumbusha kumfanyia mwenzako uovu haimaanishi wewe utakuwa salama ata kama victim amekufa. Jifunze kutumia ubongo badala ya njaa
Kaka unakerwa kweli wewe na dhuluma ndani ya hamii? Kama umeshindwa kumtetea mama yako mzazi na dada yako wa tumbo moja asinyimwe urithi wa mali za baba yenu na ukoo utawezaje kudai haki ya kavulata na watanzania? Kaka kuna ajenda nyingine sio demokrasia na haki. Kama watoto wa kabila lako wanakeketwa bila idhini yao kwanini usianzie hapo ili tuone kwamba wewe unakerwa na unyimaji haki?

Kama unaheshimu mila yako kwanini hutaki kuheshimu mila ya kuheshimu viongozi na watu wazima pia? Kama serikali itacheza na hawa watu taifa litapotea kabisa.
 
Hawezi kujibu swala hilo na wanajua hawawezi. Wanapoitisha mikutano na kuona watu wamekuja wanadhani wale ni watanzania wengi wanaowaunga mkono. Hawajui kuwa ni watu walewale watakwenda kwenda pia hata kwenye mikutano mingine kama ya CCM, ACT, CUF, mikutano ya kidini, nk. Ni watu ambao wengi wao hawapigi kura wala kwenda kwenye maandamano, ni watu ambao hata roli likianguka pale watajazana kuona kuna nini.

Namm ndio nashangaa!!!
Vigezo vyao sijui vip zaidi wapo Kipropaganda zaidi👈

Utawasikia Wamejichagua
wenyewe🫎❗️👈
wangeenda na kwa Mtume Mwamposa wangeona nyomi pale🤠
 
Muda huongea...

Cc: Mahondaw
Sio wewe tu umesema hivyo, hata akina Lyatonga, Maalim Seif, Marando, Momose, Mtikila, Lamwai... walisemaga hayohayo hivyohivyo. Hebu tusidanganye, tz imejaa wakimbizi kutoka nchi nyingine tangu miaka na miaka. Kwahiyo mnatamani nasisi tuwe wakimbizi twende wapi, Kenya? Burundi?, Uganda? Rwanda? Congo?, Zambia, Malawi au kwenye makalio yenu?.

Watanzania wamechagua amani na maendeleo, mengine ni kero tu ambazo ziko kila nchi na kila taifa. Mfano, ana uhakika kwenye ukoo na kabila lake watu wote wanapata haki zao?
 
Namm ndio nashangaa!!!
Vigezo vyao sijui vip zaidi wapo Kipropaganda zaidi👈

Utawasikia Wamejichagua
wenyewe🫎❗️👈
wangeenda na kwa Mtume Mwamposa wangeona nyomi pale🤠
Nikwambie kitu, wanaitisha maandamano ambayo wana uhakika kuwa wao, watoto na wake zao hawatahudhuria kwakuwa wanajua ni haramu na watakufa wengi. Anaitisha maandamano kisha yeye anajivunja ili asishiriki. Lengo ni kuwatia hofu wananchi wasifanyekazi zao na nchi isitawalike.

Mfano, kuitisha maandamano siku ya sabasaba maana yake kuwafanya watu wawe na hofu ya kwenda 77 ili kuwatia hasara washiriki wa maenyesho kwenye mabanda 77. Hii ni hujuma ambayo haiwezi kufanywa na mtanzania halisi inaeitakia mema nchi yake. Lazima kuna mgeni tu kwwnye hili ambaye anasarbotage maonyesho ya 77. Hatuwezi kuwachekea hawa.
 
Hao

Hao waliomshambulia ni walewale tu walioishambulia miundombinu yetu, ni walewale tu waliompora Mbowe chama. Ni walewale waliokuwa wanakataa Samia kuwa Rais baada ya kifo cha JPM na ni walewale waliokataa asiteuliwe na chama kuwa mgombea Urais.
Mbowe kumbe walimpora chama sio kwamba uchaguzi ulifanyika akashindwa kwenye box la kura wewe mtu kushindwa kwenye box ka kura ni kuporwa chama?
 
Nitajie kifungu cha katiba kinachozuia mtu kuishi nje ya Nchi?
Unajuaje kanma hii ni Tanzania? Thibitisha. Je, Na Watoto wa Heche, Lema, Lissu, Mwabukusi na Nshala wamo humu pia? Kama hawapo kwanini hawapo
 
Nitajie mtoto wa Kiongozi ambae yuko kwenye vyombo vyombo vya ulinzi na usalama ambae anakua mstali wa mbele anaenda kuzuia maandamano hiwe police au JW au Tiss ?
Unajuaje kanma hii ni Tanzania? Thibitisha. Je, Na Watoto wa Heche, Lema, Lissu, Mwabukusi na Nshala wamo humu pia? Kama hawapo kwanini hawapo?
ya
 
Nitajie mtoto wa Kiongozi ambae yuko kwenye vyombo vyombo vya ulinzi na usalama ambae anakua mstali wa mbele anaenda kuzuia maandamano hiwe police au JW au Tiss ?
Unajuaje kanma hii ni Tanzania? Thibitisha. Je, Na Watoto wa Heche, Lema, Lissu, Mwabukusi na Nshala wamo humu pia? Kama hawapo kwanini hawapo?
ya
 
Kaka unakerwa kweli wewe na dhuluma ndani ya hamii? Kama umeshindwa kumtetea mama yako mzazi na dada yako wa tumbo moja asinyimwe urithi wa mali za baba yenu na ukoo utawezaje kudai haki ya kavulata na watanzania? Kaka kuna ajenda nyingine sio demokrasia na haki. Kama watoto wa kabila lako wanakeketwa bila idhini yao kwanini usianzie hapo ili tuone kwamba wewe unakerwa na unyimaji haki?

Kama unaheshimu mila yako kwanini hutaki kuheshimu mila ya kuheshimu viongozi na watu wazima pia? Kama serikali itacheza na hawa watu taifa litapotea kabisa.
Kaka badala ya kuongea hisia, ongea unachokijua. Kama mnaua watu na kuwanyima kuchagua viongozi wao lazima tusema. Na pia naomba nikujulishe hayo mambo ya urithi tunafanya kulingana na taratibu au katiba za ukoo tulizojiwekea. Pia demokrasia tunaidai kulingana na katiba ya nchi tuliyojiwekea. Hakuna mtu anayedai nje ya katiba. Kama mtoto wako ana haki ya kuishi na wangu pia ana haki ya kuishi.
 
Kila mtu atakufa lakini taifa litabaki. MWL Nyerere kafa lakini tz ipo na sisi. Bora ufe wewe ili taifa libaki badala ya kulichoma moto. Yaani ukishavuta ndumu zako unachukua kiberiti ukaichome TRA na Bank. Lazima utauliwa tu, mwambie Junior hivyo.
Nikuache kwa unachofikiria, lakini wanaodai demokrasia kwa kiasi kikubwa wanakusaidia wewe na Tanzania yote. Ubaya au uzuri huwa una kawaida ya kuongezeka. Ukiendelea kuua utafika wakati 'maadui' wako wamekwisha kwa hiyo mnajimaliza wenyewe. Comrade Polepole for example tunatempambania baada ya kutekwa alikuwa upande wa wauaji lakini hakukemea mauaji mwanzoni mpaka hali ilipokuwa mbaya. Yeye pia akaathirika
 
Mali ya umma kitu gani ukilinganisha na uhai uliopotea,mali unaweza nunua au jenga mpya uhai je?Wewe
Jambazi akikuvamia nyumbani kwako akawa na silaha na kuharibu vitu vya nyumbani kwako kama wewe unayo silaha utamfanya nini?
 
Back
Top Bottom