Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,919
- 33,358
Yuko sahihi, kwa mujibu wa maelezo, yeye alipitia JKT, na kule unapewa force number, ukishapewa force number wee ni askari, ukiwa askari unapigia salute viongozi, jeneza lenye marehemu, gari la jeshi lenye nyota, na salute yenyewe inaweza kuwa ya kubana mikono na kuinua visigino (kama huna sare na kofia) au unapiga salute kwa kuinua mkono kuweka mbele ya kichwa (kama una sare na kofia za jeshi) au kwa kutumia silahaangalia picha
Nilijibu post kabla mleta maada hajapost clip na nimejibu pia baada ya clipjifunze kujiridhisha kabla hujamshambulia mtuHivi Mkuu umeona hata clip yenyewe kweli au umeleta ujuaji?, nakushauri kaangalie clip husika alafu urudi kuona ulivyokurupuka kiboya.