Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Kitu ya mkwere
 
Kiongozi akifanya hivyo atakuwa anakosea sana coz unaempa hicho cheo hawezi kuwa competent au kuwa mbadala wa unaemuondoa japo wafanyakazi wanakumbushwa kusimamia viapo vyao ikiwemo na kutunza siri
 
na mimi hiyo klipu ya ummy ninayo akimsimanga mama,na huku alikuwa rafiki yake,mwandani wake
 
Huu umbeya mnatoaga wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…