Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 5,637
- 2,362
Unaongelea biblia ipi ambayo haisemi Yale yaliyoandikwa ndani yake ?Bible hainaga tabia ya kujitetea wala kujieleza sana,wewe soma ukiamua uiamini sawa,ukiichukulia poa ni juu yako.
Leo hii hakuna muislam asiyependa au asiyetaka kufunua ajue kilichopo ndani yake,ila ni ngumu kukuta mkristo anapekua Quran,iman yetu juu ya bible haina mashaka kabisa,na kama tukiipoteza hakuna kitabu kitakuwa na mantiki tena kuhusu Mungu.