Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

Heshima yako mkuu.... Ni kweli kabisa sidhani kama ezi hii itajirudia tena! tatizo la sasa ni kwamba watu hawataki kuambiwa ukweli... Ukisema ukweli utaambiwa umetumwa ooh we mdini n'k. Mkuu najua unajua mengi sana na tungependa kujua toka kwako maana sisi wengine tulikuwa mbali na hatukuwai kusikia vitu vya namna hii sehemu yoyote ile zaidi ya hapa JF.
kwa hiyo Nyerere na malecela walikuwa vicheche?
 
Mzee Malecela, kabla ya mke wake kufariki alikuwa akitembea na Mama Tatu Ntimizi, aliyekuwa waziri mdogo wa Ardhi baadaye Afya na ambaye ni Muisilamu, Mama Tatu, alipooona Mke wa mzee amefariki akaamini kuwa Mzee atamuoa, kwa hiyo akaanza filimbi za kusema kuwa Malecela anataka kumuoa, na kwamba tayari ameshabadili dini, habari zikamkuta adui mkubwa wa Malecela Mwalimu, aliyewaaambia waandishi wake kuzichapisha kwa wingi na pia hata kumchora sana kwenye magazeti, they did,

Ndipo kaka yake Lusimnde akamuonya kuachana na huyo mama, the matter of fact ni Lusinde ndiye aliyemfukuza Mama Ntimizi kwenye Arobaini ya mke wa Malecela na hata kwenye mazishi ya mama wa Malecela, na ndipo Mzee akaachana na huyo Mama Ntimizi ambaye baadaye alianza kutembea na Sumaye, Waziri Mkuu, huku Mzee Malecela akimuoa kanisani Mama Anne Kilango, mbunge wa Same.

Malecela alikwenda msikitini kama viongozi wengine wote wanavyokwenda kuongea na Waisilamu, katika kutatua matatizo kabla ya maandamano baada ya kupata habari za usalama kuwa wanajitayarisha kuandamana kazi ambayo baadaye walimpatia Mzee Kitwana Kondo, ambayo huifanya hadi leo hiii, na ndiyo ilyompa nafasi hata ya kuingia chumbani kwa Mkapa wakati wowote ule hata saa nane za usiku.

Lakini at the same token, Malecela alikuwa akitembea na mama mmoja wa kihaya pale Sinza, ambaye alikuwa ni mshonaji wa nguo mkubwa sana jijini ambaye alizaa naye mtoto wa kike daktari, ambaye badaye alijiua mwenyewe, na pia huyo Mama wa kuihaya alikuwa amezaa na Mzee Nyamka Ramamdhani, aliyekuwa Meya wa jiji, nafikiri wote tunamfahamu yule kijana aliyekuwa dj wa IPP wakati fulani, nii mmoja watoto aliozaa huyo mama na Mzee Nyamka. Kwa hiyo kama ulimuona Malecela kwenye mitaaa ya huko Sinza basi 95%, alikuwa akienda kwa huyo mama.

Malecela hajawahi kuwatukana Waisilamu, angewatukana urafiki wake na Salimin na Mwinyi, ungeisha siku hiyo hiyo, kama urafiki wa Salimin na Mkapa ulivyoisha baada ya Mkapa kuwatukana Waisialmu.

Akliwa Wazirii Mkuu, Malecela hakuwa na power yoyote zaidi tu ya kutekeleza anayoambiwa na Mwinyi, Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa kwanza bongo mweye power ya kweli katika historia ya bongo, maana kwanza Mwalimu hayupo, na pia ni rafiki wa karibu wa rais wa sasa, halafu pia Lowassa aliamua kumuachia JK agombee kwa makubaliano kati yao kuwa ni zamu ya Muisilamu na kwamba wakati utakapofika atamuachia Lowassa, kumbuka mbinu zote za kampeni ya mtandao zilikuwa zinatengenezwa na Lowassa, the masterminder!

Mzee mtoa mada kama haya hayajibu maswali yako, nifahamishe nitakusaidia zaidi!

Malecela akiwa na mkewe wa ndoa alikuwa anatembea na Tatu Ntimizi - huyu mama inasemekamana ndiye aliyemuuwa mke wa Kwanza wa Malecela. Huyu Mzee Malecela inaonekana si mtu wa maadili, maana akiwa na mke wake wa kwanza (RIP) alizaa nje ya ndoa akiwa Mkuu wa Wilaya fulani huko Mbeya

Kama haitoshi huyu mzee wa Kigogo akawa akitembea na mama mmoja wa kihaya pale Sinza, naye alimzalisha mtoto, sina kumbu kumbu kama hakuzaa na Tatu Ntimizi

Baada ya hapo akaanza kutembea na Mama Anne Kilango hadi alipokuja kufunga naye ndoa Kanisani

Nakubaliana na Mwalimu Nyerere, huyu mtani wangu Mgogo ni muhuni tu hakufaa kuwa raisi wa Tanzania.
 
J4 alikuwa anatembeza rungu kumbe namna hiyo?
 
Kaaaazi kweli kweli!!! Ila siku ikitokea tukijadili ya baba/ mama zenu mchangie kama mlivyochangia hapa.... msisepe wakuu!!!
 
Malecela akiwa na mkewe wa ndoa alikuwa anatembea na Tatu Ntimizi - huyu mama inasemekamana ndiye aliyemuuwa mke wa Kwanza wa Malecela. Huyu Mzee Malecela inaonekana si mtu wa maadili, maana akiwa na mke wake wa kwanza (RIP) alizaa nje ya ndoa akiwa Mkuu wa Wilaya fulani huko Mbeya

Kama haitoshi huyu mzee wa Kigogo akawa akitembea na mama mmoja wa kihaya pale Sinza, naye alimzalisha mtoto, sina kumbu kumbu kama hakuzaa na Tatu Ntimizi

Baada ya hapo akaanza kutembea na Mama Anne Kilango hadi alipokuja kufunga naye ndoa Kanisani

Nakubaliana na Mwalimu Nyerere, huyu mtani wangu Mgogo ni muhuni tu hakufaa kuwa raisi wa Tanzania.

Mch, Bilashaka mtani wako hatakuwa ana pepo wa N****, anahitaji maombi sana, tunategemea mwaka 2015 tumsimamishe kama mgombea urais wa chama chetu cha CHAMA CHA KIJAMII (CCK) juzi tu alikuwa na mazungumzo na mwenyetiki wa chama chetu BW.Constantine Akitanda... Maana naye amegundulika kuwa ni GAMBA.
 
Personal attack kwa mchungaji hazitokusaidia kitu, sana sana utaonekana kibwengo tu hapa jamvini. topic ni kwa nini Malecela alijukana ghafla kama jumanne? is it hard for to understand a young boy?
Nielimishe mkuu
Kibwengo ni nini/nani? anatoka wapi? na anfanya nini?
It is hard for me to understand
 
Nielimishe mkuu
Kibwengo ni nini/nani? anatoka wapi? na anfanya nini?
It is hard for me to understand

Swahili: kibwengo

Open_book_nae_02.png

Noun Class/Verb Class

Part of Speech noun
Terminology general

English Plural evil tree spirits

English Headword spirit
English Word evil tree spirit

Regular Plural vibwengo

Kibwengo refers to evil spirit living in big trees or sea

Vibwengo hutolewa kwa matambiko ya kijadi.

Sasa hapa anaimanisha wewe utaonekana ni aina ya shetwain, unavurunga thread kwa shambulizi kwa mchungaji.
 
Asante Father.
Sasa huyu Matola ananifananisha na vibwengo,shetwain?
Ashindwe na alegee kwa Jina lipitalo Majina yote
Na wewe ni mchungaji wa yale makanisa ya kisasa au?
 
Asante Father.
Sasa huyu Matola ananifananisha na vibwengo,shetwain?
Ashindwe na alegee kwa Jina lipitalo Majina yote
Na wewe ni mchungaji wa yale makanisa ya kisasa au?

Hebu ninong'oneze nawe mbona kila alipo Mzee wa sauti za umeme wewe huchezi mbali? Kulikoni hapo!!
 
Mimi nimeona nifungue mada ya pembeni na ya kujitegemea ili kutaka kujua ukweli juu ya Mzee Melecela. Maana nimesoma mengi yakisemwa kwamba ni chuki dhidi ya Mzee huyu . Sasa najiuliza hizo chuki ni zipi na kwa nini ? Pia nimeona jina la Jumanne . Ninashangaa kwa nini jina hili lilijitokeza siku zile ? Nia ni njema kwamba nataka kujua tafadhali mwenye msaada wa kutaka kunisaidia na si kunitukana aniweke sawa .

Nitaomba pia mazuri ya Mzee yatajwe hapa na kujua kama ni kweli kwa nini basi hata baada ya Mwalimu kufa huyu Mzee hakuwahi kuingia hata round ya pili ya kuoba kuchaguliwa kugombea Urais ndani ya CCM .

Naomba kutoa hoja .

Mara nyingi tunatumia muda mwingi kuongea mabaya ya mtu. Hata hivyo leo napenda kuongea kitu kimoja cha pekee (unique) kuhusu mzee Malecela. ...Naamini ni mtu mwenye moyo wa kusamehe kuliko watu wengi ambao nimewahi kukutana nao. Kwa kazi kubwa ambayo ameifanyia CCM na kwa malipo waliyomlipa (mainly negatives), kama asingekuwa na hiyo karama naamini angeshamaliza vyama, tena zaidi ya Mrema. Labda ubaya wake mwingine ni kuendelea kung'ang'ania mahali asipotakiwa (katapila)!!
 
Asante sana Dark City kwa opinion iliyo fair.
Wengi wanapenda kushambulia mzee Malecela wasijue kuwa naye ana ndugu na jamaa wanaomheshimu sana, na si kama mwanasiasa.
Ili kuwa fair inabidi na wao wawalete wazazi wao hapa jamvini wapimwe kwa vigezo hivyo hivyo wanavompima huyu mzee.
 
Heshima yako mkuu.... Ni kweli kabisa sidhani kama ezi hii itajirudia tena! tatizo la sasa ni kwamba watu hawataki kuambiwa ukweli... Ukisema ukweli utaambiwa umetumwa ooh we mdini n'k. Mkuu najua unajua mengi sana na tungependa kujua toka kwako maana sisi wengine tulikuwa mbali na hatukuwai kusikia vitu vya namna hii sehemu yoyote ile zaidi ya hapa JF.
siku hizi tunakopi kwenye magazeti, wakati ule magazeti yalitoa habari humu!
 
Asante sana Dark City kwa opinion iliyo fair.
Wengi wanapenda kushambulia mzee Malecela wasijue kuwa naye ana ndugu na jamaa wanaomheshimu sana, na si kama mwanasiasa.
Ili kuwa fair inabidi na wao wawalete wazazi wao hapa jamvini wapimwe kwa vigezo hivyo hivyo wanavompima huyu mzee.

Poa mkuu.

Hapo kwenye red sikubaliani na wewe. Huwezi kunambia kuwa nisitoe mawazo yangu kuhusu kiongozi yeyote wa umma kwa sababu baba yangu mimi hajawahi kujadiliwa publicly. Baba yangu hakuwahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi, kwa hiyo habari zake hazina maslahi yoyote kwa umma. Hata ukichapisha kwenye jarida la kitongoji na kugawa bure hakuna atakayelisoma. Huyu ni tofauti na Mzee Malecela ambaye aliwahi kuwa PM and VP, akatuongoza na kuishi kwa kodi zetu. Kujadili watu wa namna ya mzee Malecela ni jambo jema kama tutakuwa na sober mind bila malice!!!
 
Back
Top Bottom