Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

Ghadafi alitaka afrika nzima iwe dini yake .Alitumia ushawishi wa kifedha katika kufanikisha hill katika misaada yenye masharti kwenye dini,siasa,na kijamii pia alikuwa na upendo mwingine wa physical ambayo bado inasumbua hadi leo
 
Mzee Malecela alichafuliwa na Mwendazake wa Butiama na figisu hilo ndio lilimuibua Check bob mmoja akiitwa Jakaya ili kuzima ushawishi wa John Samwel

Jakaya alitumwa Nairobi na Mwl akamshawishi Salim, Salim alipokataa akaambiwa yeye ndio ajitose na kweli kuingia kwa Jakaya kulibadilisha muelekeo wa UV CCM ya wakati huo ya Kina Pohamba, Guninita na Katibu Mkuu Machachari Sukwa Said Sukwa!
 
Back
Top Bottom