Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
data gani kutukana wazee wetu...https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/147448-fmes-apewe-onyo.html
Tatizo watu mkiambiwa ukweli mnasema ni matusi... Kwa hawakujanya hayo yaliyo andikwa hapa? njoo na datas za kukanusha haya yaliyoandikwa mkuu na siyo kuja na vimanone vyepesi vyepesi hapa.