Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

Kitu kimoja tu ambacho huwa sikubaliani naye na ambacho nadhani hakifanyi kwa mapenzi yake kutoka moyoni ni Mapenzi makubwa anaoonesha kuwa nayo kwa chama cha mapinduzi,pamoja na kwamba hilo si dhambi. Cha muhimu kwangu ni kujua huyu mzee alikosea wapi katika siasa za tz hadi asiwe mtu anayekubalika sana pamoja na uwezo wake mzuri wa kufikiri na kuchambua mambo.

Nawasilisha:

Hiyo sentensi hapo juu ni tata, fafanua.

sasa wewe upo katika kundi lipi, wanaomkubali au wasiomkubali?
 
Ni kweli mazingira yaliyopelekea jina la Mzee Malecela kukatwa na CC yalikuwa ya uonevu, kama alivyoeleza Mzee Butiku Mkapa alimkata Malecela eti kwa sababu hakumshauri juu ya azma yake ya kugombea urais wakati yeye ni mwenyekiti wake. Mzee Butiku anahoji mbona na yeye Mkapa baada ya kuona jina la makamu wake kama wagombea asimwite na kushauriana nae namna ya mambo yatakavyokuwa.

Ikumbukwe ni Mkapa huyo huyo alie mtetea sana Malecela ktk CC kuelekea uchaguzi wa CCM 2002 wakati wakina Kingunge et al walipo gang-up kumng'oa Malecela kwa visingizio vya kitabu cha Mwalimu ulevi, uzinzi na uzee. Mkapa alisiamam kidete kumtetea kuwa mzee Malecela ndiye anaeifanya CCM iendelee kuwepo kwani yeye Mkapa kama Rais muda wote anautumia ktk mambo ya kiserikali na chama kamwachia Malecela ambae ndie alikuwa busy akipambana na wapinzani na kurejesha majimbo.

All in all mzee ame play his part tumwache na u back bencher wake plus U-CC na U-Nec wa maisha!

Mkuu hii naweza kukubaliana nawe juu ya kazi ya Tingatinga kule Magamba. Ktk miaka hiyo tuliona kila Jimbo lililochukuliwa na Upinzani likirudi tena magamba. Hii haikuwa bure bali nguvu kubwa na mipango makini iliyokuwepo.

Ukiangalia leo, kwa vile chama hakijapata watu makini, matokeo yake hawana hata mipango ya kujisahihisha. Hii imeongeza nguvu kwa vyama vya upinzani Ku-capitalize madhaifu ya Magamba. Na tunavyoendelea Kazi ipo.
 
Kuna story nyingine iliyodai kuwa miaka ya mwanzo ya 1990, Askofu Mkuu wa Anglikan alitembelea Tanzania na kukutana na Maaskofu mjini Bagamoyo. Katka Kikao hicho JM pia alialikwa akiwa kama PM na muumini wa dini hiyo. Mojawapo ya maazimio yaliyofikiwa ni kwamba ni wakati muafaka kwa Waanglikana kupata fursa ya kushika wadhifa wa urais kwani tayari wakatoliki na waislam wameshapata fursa hiyo. nA MTU ALIYEONEKANA KUWA ANAFAA kwa nafasi hiyo, ni JM. Kwa hiyo ikaazimiwa kuwa maandalizi ya kampeni yaanze mapema na Cantibary wakaahidi kutoa support ya kifedha ili kufanikisha azma hiyo.

Aidha kwa lengo la kuwapoteza watu wasijue mchezo mzima, ilibidi watafute mtu tofauti atakayekuwa akipokea fedha hizo badala ya kanisa kutuma moja kwa moja. Kwa hiyo ilibidi fedha hizo zitumwe kupitia Irani ambapo zilikuwa zikitumwa kupitia Kampuni ya Caspian ambayo ilitumika kama kiungo. Na hicho ndo chanzo cha madai ya JM kubadili dini ili ionekane kuwa Wairani ndo walikuwa nyuma ya nia yake ya kutaka urais.

Hata hivyo, ni Mrema ndiye aliye-leakisha hiyo deal kwa JKN ambaye aliapa kuwa kamwe hilo halitatokea. Na kwa wenye kumbukumbu nzuri, watakumbuka kuwa ni JM peke yake kati ya wagombea wote wa urais mwaka 1995, aliyekuwa ameonana binafsi na kila mjumbe wa kuanzia Halmashauri Kuu pamoja na Mkutano Mkuu wa CCM na kumkatia kitu kidogo hali iliyosababisha ugumu wa kupambana naye kwa njia ya kawaida.

Nadhani nitakuwa nimeongeza mchango wa kwa nini JM alizushiwa kuitwa J4.
 
Mzee Malecela, kabla ya mke wake kufariki alikuwa akitembea na Mama Tatu Ntimizi, huyo Mama Ntimizi ambaye baadaye alianza kutembea na Sumaye, Waziri Mkuu, huku Mzee Malecela akimuoa kanisani Mama Anne Kilango, mbunge wa Same.

Lakini at the same token, Malecela alikuwa akitembea na mama mmoja wa kihaya pale Sinza, ambaye alikuwa ni mshonaji wa nguo mkubwa sana jijini ambaye alizaa naye mtoto wa kike daktari!
Du..!..... JF imetoka mbali?!.
Pasco
 
Mzee Malecela, Akliwa Wazirii Mkuu, Malecela hakuwa na power yoyote zaidi tu ya kutekeleza anayoambiwa na Mwinyi, Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa kwanza bongo mweye power ya kweli katika historia ya bongo, maana kwanza Mwalimu hayupo, na pia ni rafiki wa karibu wa rais wa sasa, halafu pia Lowassa aliamua kumuachia JK agombee kwa makubaliano kati yao kuwa ni zamu ya Muisilamu na kwamba wakati utakapofika atamuachia Lowassa, kumbuka mbinu zote za kampeni ya mtandao zilikuwa zinatengenezwa na Lowassa, the masterminder!

Nimeipenda Hii Comparison ya Mzee Malecela na Edward Lowassa, kama ilivyoletwa na Mwana jf mwenzetu Field Marshall ES

Pasco.
 
Nimeipenda Hii Comparison ya Mzee Malecela na Edward Lowassa, kama ilivyoletwa na Mwana jf mwenzetu Field Marshall ES

Pasco.

Mkuu nakubaliana nawe. Mwanzo nilikuwa sijashtuka kuhusu hii mada,nilidhani mpya kumbe imetokea mbali kweli. Ila ukiangalia utagundua kuwa JF ya zamani sio ya sasa. Wakati ule michango ilikuwa ya weledi wa hali ya juu na bila mihemko yoyote.
Tofauti na sasa ambapo mada nzuri zinavamiwa na matusi, kebehi na kukosa mwelekeo.
Tufanyeje JF yetu ya zamani irudi?
 
Naomba msaada sijajua jinsi ya ya kuanzisha thread hapa jamvini kuuliza si ujinga
 
.....
Finally, in desperation, Mramba calls Magufuli, the former minister of
his ministry, and explains his problem.
"Now look here Magufuli, your mother has a child, and your father has a
child, and this child is not your brother, or your sister. Who is it?"
Magufuli answers immediately, "simple, It's me, of course.
Much relieved, Mramba rushes back to Mrema and exclaims, "I know the
answer! I know who it is! It's Magufuli, the former minister of my
ministry!!!!!!"
And Mrema replies in disgust,

"------- mkubwa wewe, ovyo kabisa, It's Tony Blair.

Does this add something for CCM in the coming 2015 General Election?
 
Mzee Malecela, kabla ya mke wake kufariki alikuwa akitembea na Mama Tatu Ntimizi, aliyekuwa waziri mdogo wa Ardhi baadaye Afya na ambaye ni Muisilamu, Mama Tatu, alipooona Mke wa mzee amefariki akaamini kuwa Mzee atamuoa, kwa hiyo akaanza filimbi za kusema kuwa Malecela anataka kumuoa, na kwamba tayari ameshabadili dini, habari zikamkuta adui mkubwa wa Malecela Mwalimu, aliyewaaambia waandishi wake kuzichapisha kwa wingi na pia hata kumchora sana kwenye magazeti, they did,

Ndipo kaka yake Lusimnde akamuonya kuachana na huyo mama, the matter of fact ni Lusinde ndiye aliyemfukuza Mama Ntimizi kwenye Arobaini ya mke wa Malecela na hata kwenye mazishi ya mama wa Malecela, na ndipo Mzee akaachana na huyo Mama Ntimizi ambaye baadaye alianza kutembea na Sumaye, Waziri Mkuu, huku Mzee Malecela akimuoa kanisani Mama Anne Kilango, mbunge wa Same.

Malecela alikwenda msikitini kama viongozi wengine wote wanavyokwenda kuongea na Waisilamu, katika kutatua matatizo kabla ya maandamano baada ya kupata habari za usalama kuwa wanajitayarisha kuandamana kazi ambayo baadaye walimpatia Mzee Kitwana Kondo, ambayo huifanya hadi leo hiii, na ndiyo ilyompa nafasi hata ya kuingia chumbani kwa Mkapa wakati wowote ule hata saa nane za usiku.

Lakini at the same token, Malecela alikuwa akitembea na mama mmoja wa kihaya pale Sinza, ambaye alikuwa ni mshonaji wa nguo mkubwa sana jijini ambaye alizaa naye mtoto wa kike daktari, ambaye badaye alijiua mwenyewe, na pia huyo Mama wa kuihaya alikuwa amezaa na Mzee Nyamka Ramamdhani, aliyekuwa Meya wa jiji, nafikiri wote tunamfahamu yule kijana aliyekuwa dj wa IPP wakati fulani, nii mmoja watoto aliozaa huyo mama na Mzee Nyamka. Kwa hiyo kama ulimuona Malecela kwenye mitaaa ya huko Sinza basi 95%, alikuwa akienda kwa huyo mama.

Malecela hajawahi kuwatukana Waisilamu, angewatukana urafiki wake na Salimin na Mwinyi, ungeisha siku hiyo hiyo, kama urafiki wa Salimin na Mkapa ulivyoisha baada ya Mkapa kuwatukana Waisialmu.

Akliwa Wazirii Mkuu, Malecela hakuwa na power yoyote zaidi tu ya kutekeleza anayoambiwa na Mwinyi, Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa kwanza bongo mweye power ya kweli katika historia ya bongo, maana kwanza Mwalimu hayupo, na pia ni rafiki wa karibu wa rais wa sasa, halafu pia Lowassa aliamua kumuachia JK agombee kwa makubaliano kati yao kuwa ni zamu ya Muisilamu na kwamba wakati utakapofika atamuachia Lowassa, kumbuka mbinu zote za kampeni ya mtandao zilikuwa zinatengenezwa na Lowassa, the masterminder!

Mzee mtoa mada kama haya hayajibu maswali yako, nifahamishe nitakusaidia zaidi!

mimi ninachofahamu bwana mkubwa alikuwa anatayarishwa kuwa rahisi wa Tanzania na umoja wa kiarabu na aliyekuwa raisi wa libya lengo kubwa ni kutaka kutekeleza malengo ya umoja wa kiislam ya kuweka uongozi wa kiislam ili kufanikisha matakwa yao so inasemekana alipewa hela nyingi sna ili kutekeleza malengo hayo hiyo ishu mwalimu nyerere aliipata ndipo alipoanza kumzuia kutekeleza hayo malengo ya marecela na waatabu.

ikumbukwe kwamba waarabu wana malengo yao ya miaka miamoja ambayo ualiasisiwa kama sikosei mwaka 1967 pale kartum Sudan malengo yao ni kueneza uislam dunia nzima NA kuiondoa Israel kwenye uso wa dunia
 
Kuna story nyingine iliyodai kuwa miaka ya mwanzo ya 1990, Askofu Mkuu wa Anglikan alitembelea Tanzania na kukutana na Maaskofu mjini Bagamoyo. Katka Kikao hicho JM pia alialikwa akiwa kama PM na muumini wa dini hiyo. Mojawapo ya maazimio yaliyofikiwa ni kwamba ni wakati muafaka kwa Waanglikana kupata fursa ya kushika wadhifa wa urais kwani tayari wakatoliki na waislam wameshapata fursa hiyo. nA MTU ALIYEONEKANA KUWA ANAFAA kwa nafasi hiyo, ni JM. Kwa hiyo ikaazimiwa kuwa maandalizi ya kampeni yaanze mapema na Cantibary wakaahidi kutoa support ya kifedha ili kufanikisha azma hiyo.

Aidha kwa lengo la kuwapoteza watu wasijue mchezo mzima, ilibidi watafute mtu tofauti atakayekuwa akipokea fedha hizo badala ya kanisa kutuma moja kwa moja. Kwa hiyo ilibidi fedha hizo zitumwe kupitia Irani ambapo zilikuwa zikitumwa kupitia Kampuni ya Caspian ambayo ilitumika kama kiungo. Na hicho ndo chanzo cha madai ya JM kubadili dini ili ionekane kuwa Wairani ndo walikuwa nyuma ya nia yake ya kutaka urais.

Hata hivyo, ni Mrema ndiye aliye-leakisha hiyo deal kwa JKN ambaye aliapa kuwa kamwe hilo halitatokea. Na kwa wenye kumbukumbu nzuri, watakumbuka kuwa ni JM peke yake kati ya wagombea wote wa urais mwaka 1995, aliyekuwa ameonana binafsi na kila mjumbe wa kuanzia Halmashauri Kuu pamoja na Mkutano Mkuu wa CCM na kumkatia kitu kidogo hali iliyosababisha ugumu wa kupambana naye kwa njia ya kawaida.

Nadhani nitakuwa nimeongeza mchango wa kwa nini JM alizushiwa kuitwa J4.

mnapoteza ukweli tu JM alikuwa amenunuliwa na waatabu
 
Uvumi ulisema kuwa kuna wakati alitaka kugombea nafasi ya Urais na kwa sababu ya kutokuwa na pesa za kutosha ilibidi aende Iran na kule wakamuahidi kumpa pesa nyingi ila condition ilikuwa lazima kuitwa Jumanne, baada ya kurudi kutoka safari yake hiyo Mchonga Meno(Mwl Nyerere) aligundua siri zote hizo na kwa sababu alichukia sana hongo, mara moja jina lake likaondolewa kwenye kinyanganyiro cha Urais wa TZ, (ila yote haya ni maneno ya mitaani tu,hapakuwa na kitu kama hiki ila umbeya ulikuwa mwingi mno)
 
Na hiyo ndiyo sababu ya Nyerere kumnyima uraisi kwa kumuona kuwa na mdhaifu.

Kuna ukweli kwenye ilo?
 
Back
Top Bottom