Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Poa mkuu.
Hapo kwenye red sikubaliani na wewe. Huwezi kunambia kuwa nisitoe mawazo yangu kuhusu kiongozi yeyote wa umma kwa sababu baba yangu mimi hajawahi kujadiliwa publicly. Baba yangu hakuwahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi, kwa hiyo habari zake hazina maslahi yoyote kwa umma. Hata ukichapisha kwenye jarida la kitongoji na kugawa bure hakuna atakayelisoma. Huyu ni tofauti na Mzee Malecela ambaye aliwahi kuwa PM and VP, akatuongoza na kuishi kwa kodi zetu. Kujadili watu wa namna ya mzee Malecela ni jambo jema kama tutakuwa na sober mind bila malice!!!
Safi sana mkuu!
Sitetei maovu katika jamii, lakini kwa mantiki uliyowenka inakaunafiki ndani yake.
Kama wewe ni msomi ni lazima unajua jitihada za wazazi/walezi wako juu yako.
Na ukisema wazazi/walezi/hawafahamiki ni uongo wa mchana.
Sasa sema kijiji kitongoji na wilaya utokayo na wazazi wako watajulikana tu pamoja na ya kwao yote kuhadithiwa hadharani, kwa hiyo usikwepe kuchambuliwa kama unavyoweza kuchambua wengine.
Mimi nitaleta kauchokozi,kwa nini tujibane? wakati mfano hai upo mbele yetu in the form of Katibu Mkuu wa Chama fulani na mchumba wake mwenye mimba ha hawajaoana?
Ningependa kuwasikia Fr na wewe mkuu.