Kabisa..... Kabisa mkuu umeweka sawa mada.... Safi sana.....
 
Tufanye upo right..... Haya mbona kuna single mothers hakuna single fathers.....?!
 
Huyu anatujaribu sisi sijui wanafikiria kila mtu katoka familia zisizo na discipline.....?!

Mngekua na discpline mngelichukulia hili tatizo wholly, kwa kuinclude descipline to both boys and girls, sio kuweka uzito kwa girls peke yake,hii inanifanya ni conclude kuwa sio ishu ya masingle mazas tu bali ni chuki yenu kwa wanawake, i expect to see you two kwenya mada zingine zinazoponda wanawake; single mazaz, wasioolewaa,walioachika..heheheheh tunawa zoom tuu
 
Tunza uanaume wako.Malaya sio wa kike tu hata wakiume.Kama single mother malaya na single father malaya pia
Umeshawahi kusikia mwanamke anasifiwa kwa kuliwa na wanaume wengi....?!

But umeshawahi kuona mwanaume analaumiwa kwa kutafuna mabinti wengi?!
 
Sikia wewe.Kwani hao single mothers wanatiwa mimba na hewa?someone needs to take responsibility!Mbona huwasemi walowatia mimba?Wao ndo wanaruhusiwa kuzini?Kama unataka kufata neno la mungu lipasavyo si mwanaume na si mwanamke wote wanatakiwa wawe hawajazini!Mungu anachukia uzinzi.Halafu usibadili mada ya uzi!Kama usawa unatakiwa uwekwe pande zote!
 
Tufunge suruali zetu wakati mliumbwa kwaajili yetu?

Ninyi mpo kwa ajili yetu, sio sisi kwa ajili yenu. Wewe una umri gani huelewi mambo madogo kama haya,

Ninyi mnachoweza kumpa mwanaume ni kitu kimoja tuu
Exactly, mwanamke ana control only access ya kitu kimoja nayo ni sex..... Hakuna kingine.... Sasa akitumia vibaya hii tunu tayari anajiingiza shimo la machozi....
 
Wanaume wanapiga miti hadi mikono yao kwa kutumia sabuni au losheni.... Nani kakwambia wakiwa na hamu wanaangalia mwanamke mwenye akili wa kulala nae?!

Wanatafuta mjinga mjinga wanambabua...
Huyo unaemuona ww mjinga ni lulu kwa mwengine.Kama mwanamke huna madhumuni nae mbabue na vaa condom.Sio akibeba mimba unamuacha single mother!
 
Acha tu yaani. Unajua wanawake huwa hawaelewi hii kitu imekaaje!
 
Na ndio maana vijana now days kuoa mtihani labda binti awe ni mzuri sana na ana vigezo kiasi fulani...... Ila on average wanaume hatuvutiwi na wanawake walioguswa na wasiojielewa.....
Inashangaza mnavyoponda wanawake ikisha unaenda kuoa huyohuyo mwanamke.Hovyo!
 
Respect to all Single mazas outhere who play both roles;a father and a mother, you are strong and courageous, wanaume waliowaacha are COWARDS
Yeah kwa kufuata mitazamo ya kimagharibu na sera zao za kusapoti kila kitu hadi homosexuality nitasema upo okay.

Ila kwa mila za kiafrika hiyo kitu ni hapana. Hatuwezi toa pongezi katika maisha ambayo ni matokeo ya maamuzi ya kufuata mihemko ya uzinzi na uzembe kimaamuzi.

Sidhani kama utataka binti yako aishi maisha ya kuelekea kuwa single mother. Na hapa ndipo huwa nakorofishana sana na watu wanao sympathize na any form of failure ili tu kujisikia vizuri kihisia.
 
Hata wanaume mjitunze pia alaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…