Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
3,936
2,000
Kama mwanamke inanikera kuona wanawake wanatumiwa na kudhihakiwa juu wakati wahusika wengine wapo huru kuzidi kuvuruga.Hivi umeshaona hata uzi mmoja umeandikwa akidhihakiwa mwanaume kwasababu ni single father?Zaidi ya uzi kila kukicha akitukanwa single mother wakati mwanaume anahusika na hasemwi!!Sasa nimtetee kwa lipi wakati dhambi zote anapewa single mother?

Mwanaume hawezi kupata dhihaka yeyote sababu sio victim....

Eleweni kitu kimojA baba zenu hawakuwa wajinga kuwalinda nyie zaidi kuliko watoto wa kiume..

Jamii haikufanya ujinga kumlinda mwanamke kuliko mwanaume..

Ifike mahali mkubali ngono zembe na za kipuuzi puuzi ni risk sana kwa mwanamke kuliko mwanaume.Huu ukweli muukubali...

Ukiniletea hoja ya mwanaume mmoja anazAlisha wanwake 5 na kuwatelekeza.Mimi nitakwambia ni sawa tu kwenye akili yake sababu hamna chochote kinachobadilika kwenye mwili wake au maisha yake.Upuuzi wake madhara yake hayaonekani kwa mda huo,m.Sasa wewe upuuzi wako wa kushika mimba bila ndoa tena na kisharobaro ili upate watoto wazuri,madhara yake je?Nayo yamejifichA au...

Mwanaume mmoja wanawake 10 na wewe unajikuta mfuasi wa haki sawa.Unakuwa nao wanaume watatu huna habari.Safi sana mwanaume anakuangalia anakuchora tu unavyojibu msg kiwiziwizi anakuchunia tu sasa ulivyompuuzi unashika mimba ukitarajia kuna mwanaume ataikubali thubutuuuuu..Hapo ndo utaelewa vzr mchezo ulikuwa unacheza ni wakipuuzi..

Be smart ukiamua kuingia kwenye mapenzi tena be smart kweli kweli maana mchezo unaoingia kucheza ni mgumu kwako kuliko unavyodhani.Utakula ngumi za uso za kutosha ujikute umezeeka wakati wanawake wenzako wapo busy ku enjoy maisha..
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
8,201
2,000

Exodus 22:22-24

You shall not mistreat any widow or fatherless child. If you do mistreat them, and they cry out to me, I will surely hear their cry, and my wrath will burn, and I will kill you with the sword, and your wives shall become widows and your children fatherless.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Ila Rebeca 83 mpenzi, najua utakuwa na elimu na una upeo, hebu basi tumia hiyo elimu na upeo kuwa reasonably right....

Sasa wewe hayo maneno ya Bible yanalenga single mothers au?!

Widow ni neno la English lenye maana ya mjane....

Kwa kiswahili mjane ni mwanamke aliyefiwa na mume wake halali wa ndoa takatifu. Hao ndio vitabu vya MUNGU huwa vinawalinda, maana sio sehemu ya dhambi ya uzinzi wao na watoto wao.

Mwanamke anapoolewa kwa ndoa takatifu akiwa na bikra yake huwa anapata ulinzi wa ki MUNGU yeye pamoja na uzao wake wa watoto na vijukuu....

Ukitaka kuprove hili tazama familia za zamani ambazo Baba anafariki na kumuacha mama analea watoto wake mwenyewe. Na hawa watoto wakaja kuwa wakubwa wakafunga ndoa vema tu kwa kuoa na kuolewa bila mushkeri na wakakuza familia imara ambazo nazo zikaja kupata watoto wenye hekima na uzao wa kushika maagizo ya MUNGU. Hiyo ni baraka ya ulinzi wa MUNGU katika maisha ya mjane na uzao wake...

Na ndio maana hata sheria za kiserikali na za kidini wakati wa mirathi humlinda mjane wa ndoa takatifu na watoto wake halali wa hiyo ndoa sio wa nje......

Sasa turudi kwenye neno single mothers....... Hili neno kama unavyoliona ni kitu kimesimama chenyewe, yaani ni mother kwa maana mwanamke aliyezaa watoto na ni single kwa maana ya ambaye hayupo katika mahusiano rasmi yaani ya ndoa... So aidha hana mahusiano ya wazi au analala na watu tofauti au ana mtu ila hajamhalalisha.

Single mother ilianza kutumia huko marekani kwenye jamii ya watu weusi (Black American) baada ya sheria za JIM CROW (Nenda kagoogle hili neno halafu soma maana yake, ilitokea 19th century huko na nadhani ilizimwa miaka ya 1965) kupitishwa na kuanza kuleta madhara especially kwa watu weusi ambao hizi sheria kwao hazikuwa na faida bali majanga.

Mojawapo ya majanga ni wanaume wa jamii ya watu weusi kuwekwa jera kwa sababu za kiuonevu bila kupewa nafasi ya kujitetea.

Hii ikazaa kizazi cha wanawake waliokuwa wanalala na kuzaa wanaume nje kipindi wanaume zao wakiwa jela, na mara wanaume wanapotoka nakukuta mke ana watoto ambao waliwachunguza tu na kugundua si wa kwao au waliwalea tu kishingo upande maana atadanganywa mtoto ni wako wengi wa hawa wanaume walitelekeza hawa wanawake na watoto na kuanza maisha mengine huko kando.

Hii ikazaa pandemic mpya kwa jamii ya watu weusi ya wanawake ambao mwanzo waliwaita single female parents ila baadae wataalamu wakasema mwanamke hawezi kuwa single parent kama mwenzake yupo hai na hawaishi pamoja bali huyo anakuwa ni single mother.

Pia wataalamu wa child welfare walihoji sana kuita wanawake wa kundi hilo kwa neno "single-female parents" ile hali wanawaacha watoto kulelewa na bibi zao au Nannies(yaya) au babysitters haitakuwa sawa na itakuwa ni degradation ya value ya wanawake wanaolea watoto wao wenyewe baada ya wanaume zao kufariki dunia.

So kutokea hapo hiyo term single mothers ikashika hatamu na kutumika kwa wanawake ambao kutokana na maamuzi yao ya kimazingira (sababu tofauti) waliamua kupata watoto wanaume zao wakiwa mbali.

Hiki swala likaja kuwa issue serikalini sababu kundi hili la wanawake waliokuwa wakizaa na wanaume tofauti wanaume zao wakiwa jela likaanza dai na kuomba kupewa msaada na kutoka serikalini unaoitwa "Welfare" support,(kwa hapa Tanzania tunaweza fanisha na TASAF) ambayo iliwasaidia kupata coupons special za kupata discount ya bei za chakula na mahitaji ya watoto kwenye masupermarket na hata kupewa coupon yenye thamani ya pesa ili aweze kuitumia kulipia mahitaji mbali mbali huko supermarket.

Hii ikaja kuongezewa na kitu kingine kinaitwa "child Support" ambayo kwasasa inatumika kuwawajibisha wanaume wote wenye watoto kulea watoto wao kwa kutoa pesa ya matunzo kwa lazima na asipotoa anakwenda jela kama felony convict.

Sasa hizi vitu zilipokuja ndipo zikazaa wave ya modern single mothers ambao kwa makusudi walizaa na wanaume kisha wanakwenda kuclaim "welfare" pamoja na childsupport mahakamani. Unakuta binti wa miaka 23 anawatoto 6 maana wanaanza kuzaa as early as 13 years younger kwa baadhi but most wakiwa 16 tayari unakuwa wanawatoto wawili au watatu na wataendelea.

Na watazaa na wanaume wa hovyo ili wapate sababu ya kuwashindwana nao na kuwanyima custody ya mtoto na kisha wanakwenda mahakamani kudai child support. Akiwa na watoto 5, then ni amount yake times watoto 5 anatumia ya katoto kamoja then ya watoto waliobakia anafanyia mambo yake kama kuvaa, kunua gari simu ya bei, kutokea out na kadhalika.

Hao ndo single mothers as how they are described by their definition. Sasa unapokuwa proud na hilo neno jiulize unajua asilia yake kimatumizi.....
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
8,201
2,000
Mngekua na discpline mngelichukulia hili tatizo wholly, kwa kuinclude descipline to both boys and girls, sio kuweka uzito kwa girls peke yake,hii inanifanya ni conclude kuwa sio ishu ya masingle mazas tu bali ni chuki yenu kwa wanawake, i expect to see you two kwenya mada zingine zinazoponda wanawake; single mazaz, wasioolewaa,walioachika..heheheheh tunawa zoom tuu
Sio kweli.... Utakosea kuwaza hivyo. Mimi sina issue na wanawake. Na usilojua tu mimi napenda sana wanawake. Ukikaa na mimi karibu 101 hautatumia nguvu nyingi kujua hilo.... By the way ni nani hapendi wanawake ati?!

Ila in this case tunawapa tough love....so mtapokea tu wether you like it or not...

Mimi nikiwa na mtoto wangu wa kiume nitamfunza namna ya kumpa mtoto wa kike gemu nzuri but pia kumtunza mwanamke na familia yake na namna ya kuwa attractive kwa mwanamke.

But sio jukumu langu kumwambia mtoto wangu wa kiume eti usifanye mapenzi.... Khaaaaaaaaaaah we dada.... Unataka mtoto wangu akae na hormones zake asizifanyie kazi....

Hatukatazagi watoto wakiume kugegeda sababu asipofanya hivyo kwa miaka hii atakuwa domo zege na siajabu akaanza kuwa homosexual.
 
Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,106

Ha ha ha so unahalalisha uasherati wewe?Just listen to yourself.Akiwa mkali gemu amuimpress nani na akikutana na bikira mwenzie kwa mfano?
 
Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,106
2,000
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Ila Rebeca 83 mpenzi, najua utakuwa na elimu na una upeo, hebu basi tumia hiyo elimu na upeo kuwa reasonably right....

Sasa wewe hayo maneno ya Bible yanalenga single mothers au?!

Widow ni neno la English lenye maana ya mjane....

Kwa kiswahili mjane ni mwanamke aliyefiwa na mume wake halali wa ndoa takatifu. Hao ndio vitabu vya MUNGU huwa vinawalinda, maana sio sehemu ya dhambi ya uzinzi wao na watoto wao.

Mwanamke anapoolewa kwa ndoa takatifu akiwa na bikra yake huwa anapata ulinzi wa ki MUNGU yeye pamoja na uzao wake wa watoto na vijukuu....

Ukitaka kuprove hili tazama familia za zamani ambazo Baba anafariki na kumuacha mama analea watoto wake mwenyewe. Na hawa watoto wakaja kuwa wakubwa wakafunga ndoa vema tu kwa kuoa na kuolewa bila mushkeri na wakakuza familia imara ambazo nazo zikaja kupata watoto wenye hekima na uzao wa kushika maagizo ya MUNGU. Hiyo ni baraka ya ulinzi wa MUNGU katika maisha ya mjane na uzao wake...

Na ndio maana hata sheria za kiserikali na za kidini wakati wa mirathi humlinda mjane wa ndoa takatifu na watoto wake halali wa hiyo ndoa sio wa nje......

Sasa turudi kwenye neno single mothers....... Hili neno kama unavyoliona ni kitu kimesimama chenyewe, yaani ni mother kwa maana mwanamke aliyezaa watoto na ni single kwa maana ya ambaye hayupo katika mahusiano rasmi yaani ya ndoa... So aidha hana mahusiano ya wazi au analala na watu tofauti au ana mtu ila hajamhalalisha.

Single mother ilianza kutumia huko marekani kwenye jamii ya watu weusi (Black American) baada ya sheria za JIM CROW (Nenda kagoogle hili neno halafu soma maana yake, ilitokea 19th century huko na nadhani ilizimwa miaka ya 1965) kupitishwa na kuanza kuleta madhara especially kwa watu weusi ambao hizi sheria kwao hazikuwa na faida bali majanga.

Mojawapo ya majanga ni wanaume wa jamii ya watu weusi kuwekwa jera kwa sababu za kiuonevu bila kupewa nafasi ya kujitetea.

Hii ikazaa kizazi cha wanawake waliokuwa wanalala na kuzaa wanaume nje kipindi wanaume zao wakiwa jela, na mara wanaume wanapotoka nakukuta mke ana watoto ambao waliwachunguza tu na kugundua si wa kwao au waliwalea tu kishingo upande maana atadanganywa mtoto ni wako wengi wa hawa wanaume walitelekeza hawa wanawake na watoto na kuanza maisha mengine huko kando.

Hii ikazaa pandemic mpya kwa jamii ya watu weusi ya wanawake ambao mwanzo waliwaita single female parents ila baadae wataalamu wakasema mwanamke hawezi kuwa single parent kama mwenzake yupo hai na hawaishi pamoja bali huyo anakuwa ni single mother.

Pia wataalamu wa child welfare walihoji sana kuita wanawake wa kundi hilo kwa neno "single-female parents" ile hali wanawaacha watoto kulelewa na bibi zao au Nannies(yaya) au babysitters haitakuwa sawa na itakuwa ni degradation ya value ya wanawake wanaolea watoto wao wenyewe baada ya wanaume zao kufariki dunia.

So kutokea hapo hiyo term single mothers ikashika hatamu na kutumika kwa wanawake ambao kutokana na maamuzi yao ya kimazingira (sababu tofauti) waliamua kupata watoto wanaume zao wakiwa mbali.

Hiki swala likaja kuwa issue serikalini sababu kundi hili la wanawake waliokuwa wakizaa na wanaume tofauti wanaume zao wakiwa jela likaanza dai na kuomba kupewa msaada na kutoka serikalini unaoitwa "Welfare" support,(kwa hapa Tanzania tunaweza fanisha na TASAF) ambayo iliwasaidia kupata coupons special za kupata discount ya bei za chakula na mahitaji ya watoto kwenye masupermarket na hata kupewa coupon yenye thamani ya pesa ili aweze kuitumia kulipia mahitaji mbali mbali huko supermarket.

Hii ikaja kuongezewa na kitu kingine kinaitwa "child Support" ambayo kwasasa inatumika kuwawajibisha wanaume wote wenye watoto kulea watoto wao kwa kutoa pesa ya matunzo kwa lazima na asipotoa anakwenda jela kama felony convict.

Sasa hizi vitu zilipokuja ndipo zikazaa wave ya modern single mothers ambao kwa makusudi walizaa na wanaume kisha wanakwenda kuclaim "welfare" pamoja na childsupport mahakamani. Unakuta binti wa miaka 23 anawatoto 6 maana wanaanza kuzaa as early as 13 years younger kwa baadhi but most wakiwa 16 tayari unakuwa wanawatoto wawili au watatu na wataendelea.

Na watazaa na wanaume wa hovyo ili wapate sababu ya kuwashindwana nao na kuwanyima custody ya mtoto na kisha wanakwenda mahakamani kudai child support. Akiwa na watoto 5, then ni amount yake times watoto 5 anatumia ya katoto kamoja then ya watoto waliobakia anafanyia mambo yake kama kuvaa, kunua gari simu ya bei, kutokea out na kadhalika.

Hao ndo single mothers as how they are described by their definition. Sasa unapokuwa proud na hilo neno jiulize unajua asilia yake kimatumizi.....
Sasa ww umeongelea wa marekani!Watanzania wanapata hayo manufaa yote au?
 
Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,237
2,000
Mimba inakaa kwa mwanaume au kwa mwanamke?

Umalaya kwa mwanamke ni sifa mbaya mrejee Rahabu kahaba
Umalaya wa mwanaume ni urijali mrejee mtume Suleiman

Ubakaji anayefungwa ni mwanaume
Lakini mwanamke akibaka hafungwi, hujiulizi tuu?
Rahabu ni bibi aka Yesu ujue kwanza.
 
Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,106
2,000
Hapo nimekupa history fupi ya neno single mother namna limetokea
Ahsante kwa historia lakini kwa maisha ya kitanzania ipo hio wewe mwenyewe umesema unasaidia kulea watoto wa ndugu zako!Wamarekani wana misuse system hawa kina mwenzangu na mie hohe hahe mlowaweka midomoni wanabakiwa na zigo la maisha tu maskini weee na kutafuta riziki zao je?
 
Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,106
2,000
Baada ya kuandika huu uzi nimegundua wanaume wengi mno ni self ego's na wana mfumo dume ambao unaleta madhara mno.

Wanajifikiria wao na maslahi yao,starehe wanataka lakini majukumu hawataki.Wapo radhi hata kukiuka mipaka ya dini kuhalalisha uasherati na uzinzi ili yao yawaendee lakini hao hao hawataki wanawake wazinzi au walozalishwa.

Na hilo haliwezekani as long as linaelemea upande mmoja wa kiume.Hao mnaozini nao ndo wanawake hao hao mtaoishia kuwaoa hatimae kuwazalisha.Kama uzinzi mnatakiwa muepuke wote ili kuondoa hili janga na katika malezi wanapaswa waonywe watoto wa jinsia zote.

Nikipiga tathmini ya chapchap wanawake ni wengi kuliko wanaume kusema hivyo mwanaume mmoja anaweza kufanya madhara makubwa sana.

Wanaume wanapaswa wajicontroll mbegu zao ni muhimu how come unaisambaza kila mahali hata kama huloose kitu kuzalisha wanawake kumi fikiria umeathiri maisha ya wanawake kumi na watoto kumi wanaokosa malezi sahihi.Huu ni unyama ulokithiri.Utake usitake hao wote ni watoto wako na watakulaumu kwa njia moja au nyingine.Hio sio sifa ni umalaya ulokubuhu.Hio lawama ya duniani tu na kesho mbele ya haki utamjibu nini maulana??

Na kitu cha mwisho ondoeni matabaka wanawake wote ni sawa mnawavuruga ikisha hamuwataki.Acheni kuwavuruga.

Badilikeni tafadhali!
 
Soyuncu

Senior Member
Nov 20, 2019
181
250
Ukioa single mother ni sawa umeoa mke wa mtu kuna demu flan iv ana watoto wa 3 na kila mtoto na baba yake.. Sasa ukioa single mother kama huyu si umeoa mke wa watu...

Mbusus wataila tu
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,514
2,000
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Ila Rebeca 83 mpenzi, najua utakuwa na elimu na una upeo, hebu basi tumia hiyo elimu na upeo kuwa reasonably right....

Sasa wewe hayo maneno ya Bible yanalenga single mothers au?!

Widow ni neno la English lenye maana ya mjane....

Kwa kiswahili mjane ni mwanamke aliyefiwa na mume wake halali wa ndoa takatifu. Hao ndio vitabu vya MUNGU huwa vinawalinda, maana sio sehemu ya dhambi ya uzinzi wao na watoto wao.

Mwanamke anapoolewa kwa ndoa takatifu akiwa na bikra yake huwa anapata ulinzi wa ki MUNGU yeye pamoja na uzao wake wa watoto na vijukuu....

Ukitaka kuprove hili tazama familia za zamani ambazo Baba anafariki na kumuacha mama analea watoto wake mwenyewe. Na hawa watoto wakaja kuwa wakubwa wakafunga ndoa vema tu kwa kuoa na kuolewa bila mushkeri na wakakuza familia imara ambazo nazo zikaja kupata watoto wenye hekima na uzao wa kushika maagizo ya MUNGU. Hiyo ni baraka ya ulinzi wa MUNGU katika maisha ya mjane na uzao wake...

Na ndio maana hata sheria za kiserikali na za kidini wakati wa mirathi humlinda mjane wa ndoa takatifu na watoto wake halali wa hiyo ndoa sio wa nje......

Sasa turudi kwenye neno single mothers....... Hili neno kama unavyoliona ni kitu kimesimama chenyewe, yaani ni mother kwa maana mwanamke aliyezaa watoto na ni single kwa maana ya ambaye hayupo katika mahusiano rasmi yaani ya ndoa... So aidha hana mahusiano ya wazi au analala na watu tofauti au ana mtu ila hajamhalalisha.

Single mother ilianza kutumia huko marekani kwenye jamii ya watu weusi (Black American) baada ya sheria za JIM CROW (Nenda kagoogle hili neno halafu soma maana yake, ilitokea 19th century huko na nadhani ilizimwa miaka ya 1965) kupitishwa na kuanza kuleta madhara especially kwa watu weusi ambao hizi sheria kwao hazikuwa na faida bali majanga.

Mojawapo ya majanga ni wanaume wa jamii ya watu weusi kuwekwa jera kwa sababu za kiuonevu bila kupewa nafasi ya kujitetea.

Hii ikazaa kizazi cha wanawake waliokuwa wanalala na kuzaa wanaume nje kipindi wanaume zao wakiwa jela, na mara wanaume wanapotoka nakukuta mke ana watoto ambao waliwachunguza tu na kugundua si wa kwao au waliwalea tu kishingo upande maana atadanganywa mtoto ni wako wengi wa hawa wanaume walitelekeza hawa wanawake na watoto na kuanza maisha mengine huko kando.

Hii ikazaa pandemic mpya kwa jamii ya watu weusi ya wanawake ambao mwanzo waliwaita single female parents ila baadae wataalamu wakasema mwanamke hawezi kuwa single parent kama mwenzake yupo hai na hawaishi pamoja bali huyo anakuwa ni single mother.

Pia wataalamu wa child welfare walihoji sana kuita wanawake wa kundi hilo kwa neno "single-female parents" ile hali wanawaacha watoto kulelewa na bibi zao au Nannies(yaya) au babysitters haitakuwa sawa na itakuwa ni degradation ya value ya wanawake wanaolea watoto wao wenyewe baada ya wanaume zao kufariki dunia.

So kutokea hapo hiyo term single mothers ikashika hatamu na kutumika kwa wanawake ambao kutokana na maamuzi yao ya kimazingira (sababu tofauti) waliamua kupata watoto wanaume zao wakiwa mbali.

Hiki swala likaja kuwa issue serikalini sababu kundi hili la wanawake waliokuwa wakizaa na wanaume tofauti wanaume zao wakiwa jela likaanza dai na kuomba kupewa msaada na kutoka serikalini unaoitwa "Welfare" support,(kwa hapa Tanzania tunaweza fanisha na TASAF) ambayo iliwasaidia kupata coupons special za kupata discount ya bei za chakula na mahitaji ya watoto kwenye masupermarket na hata kupewa coupon yenye thamani ya pesa ili aweze kuitumia kulipia mahitaji mbali mbali huko supermarket.

Hii ikaja kuongezewa na kitu kingine kinaitwa "child Support" ambayo kwasasa inatumika kuwawajibisha wanaume wote wenye watoto kulea watoto wao kwa kutoa pesa ya matunzo kwa lazima na asipotoa anakwenda jela kama felony convict.

Sasa hizi vitu zilipokuja ndipo zikazaa wave ya modern single mothers ambao kwa makusudi walizaa na wanaume kisha wanakwenda kuclaim "welfare" pamoja na childsupport mahakamani. Unakuta binti wa miaka 23 anawatoto 6 maana wanaanza kuzaa as early as 13 years younger kwa baadhi but most wakiwa 16 tayari unakuwa wanawatoto wawili au watatu na wataendelea.

Na watazaa na wanaume wa hovyo ili wapate sababu ya kuwashindwana nao na kuwanyima custody ya mtoto na kisha wanakwenda mahakamani kudai child support. Akiwa na watoto 5, then ni amount yake times watoto 5 anatumia ya katoto kamoja then ya watoto waliobakia anafanyia mambo yake kama kuvaa, kunua gari simu ya bei, kutokea out na kadhalika.

Hao ndo single mothers as how they are described by their definition. Sasa unapokuwa proud na hilo neno jiulize unajua asilia yake kimatumizi.....
Uko vizuri mno
 
Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,106
2,000
Ukioa single mother ni sawa umeoa mke wa mtu kuna demu flan iv ana watoto wa 3 na kila mtoto na baba yake.. Sasa ukioa single mother kama huyu si umeoa mke wa watu...

Mbusus wataila tu
Huyo mwanamke amezalishwa na wanaume wenzio ambao wapo irresponsible!Na mwanaume akizaa kila upande sio mume wa watu nae?
 
M-congo

Member
Jun 11, 2016
45
95
Kheri ya pasaka waungwana!

Ningeanza na kusema kwenye kila jambo kuna pande mbili za shillingi.

Katika pitapita zangu nyingi nimegundua kuna uzi nyingi katika jukwaa hili la MMU zinazowakandamiza na kuwaponda single mothers! Mnasahau kama hao walowatia mimba single mothers nao ni single fathers?
Nakubali katika maisha kuna kukosa na kukosoana lakini ningependa tuwekane sawa katika hili,haimaanishi kwasababu BAADHI ya single mothers hawana msimamo na vigeugeu basi wote wapo hivo.
Na kingine kama mtu ni single mum lazima uelewe kuna sababu ilopelekea hilo sidhani kama kuna mtu anaependa kulea mtoto peke yake bila ya sababu ya msingi.Au ukiachilia mbali hilo kuna baadhi wanaoamua kulea mwenyewe kwasababu the other part is not the right father figure for their child!Naamini si kila anayeweza kumimbisha mtu anapaswa kuwa baba!

Ningependa tuwekane sawa kuwa kuna single mother wa aina nyingi:

1. Kuna wadada wengi wanaoamua kujizalia tu kwasababu hakuna wanaume wanaoeleweka ambao wanakidhi viwango vyao na umri umeshatupa mkono mtu anaona ajizalie tu apate mrithi,wa aina hii naamini wanaweza kujimudu na kuhudumia watoto wao bila msaada wa mtu na ni watu wanaojielewa.

2. Kuna walopewa mimba ambazo wawili hao walikubaliana kuzaa pamoja na wakatengana kwasababu tofauti.Hawa mara nyingi wapo mguu ndani,mguu nje kwasababu kulikuwa na mapenzi na makubaliano kati yao kwahio ni rahisi kukumbushiana

3. Kuna walobeba ujauzito kibahati mbaya na mwanaume hayupo tayari kubeba majukumu.Wanawake wa kundi hili hawatakagi mahusiano na maex zao kiujumla kwasababu wanakuwa wameumizwa vyakutosha na wakishasonga mbele wamesonga.

4. Kuna walojibebesha mimba kwa matumaini ya kuolewa au kupata mwenza wa maisha au mteremko wa maisha(hawa ni wale ambao wanazaa hata na wanaume za watu).Hawa ni kundi jingine ambalo pia ni mguu ndani,mguu nje yaani anytime anarudiwa na kuachwa madhali yake yanamuendea.

But all in all mwishoni mwa siku kuna mwanaume alihusika katika hili kwa njia moja au nyingine.Kama ni kinga wanapaswa kutumia wote kujikinga na ujauzito usotarajiwa sasa ikiwa wewe unaenda kulala na mwanamke ambaye huna future nae kila kinga yoyote(kondom au uzazi wa mpango) unategemea nini hasa?

Tusihukumu single mothers kama wakosaji ni wao tu na wanaume ndo malaika mbona hamwahukumu single fathers?Au mnataka kusema wao ni tofauti kwasababu hawajabeba ujauzito.
Mtoto siku zote ni wamama ndio maana wamama ndio wanapata jukumu la kulea lakini tukipiga tathimini ya wanaume au ambao wamezaa tu ni single fathers naamini imepiku idadi ya wanawake.
Single fathers pia wanaweza kwenda kwa ex zao na kubinjuana so hakuna tofauti ya kusema ni single mothers tu sio Wife material kwasababu mnahofia wataliwa.Then tunaweza kusema Single fathers nao sio Husband material.This goes both ways kwa jinsia zote.

La muhimu ni kujuana vyema huyo single mum/ dad kabla ya kuanzisha mahusiano naye na mahusiano alokuwa nayo na ex wake lakini sio kuhukumiana!
😂😂🙆‍♂️💣
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom