Kwanini unatukana?Umeishiwa na maneno ya kuongea ama?ndo ujione kati yangu mimi na ww nani hana ufahamu na mdomo wako mchafu na sio ufahamu tu hata ustaarabu na busara huna.Hao single mothers wanaweza kuwa mama zako,dada zako na kuendelea limekugusa ehhh la mwanao!!Na litakukuta utanikumbuka!Mark my words we endelea tu kuchafua na kutumia wanawake!

Halafu nikishakukumbuka ndio itakuwaje sasa ?
 
Somebody please HOLD MY BEER...... Am about to tear this mufuckin thread down with some ugly straight truth.....
 
Nitaendelea kuwadanganya hivyo hivyo mpaka nitokomeze mizoga yote

hihiiiii ndivyo unavyojidanganya,hakuna unalofanya wala utakalofanya, hio kazi uliyojipa unajichosha bure tu,hata wanaume wenzio watakua wanakuona punguani...
 
Nadhani bibi dada umekuja kihisia zaidi na ukaweka logic pembeni wakati unaandika hizi hoja zako.

Hayo yote umeyataja hapo juu, hutokea katika mazingira ya uasherati na uzinzi.

Mwanaume always asie na maadili atafanya uasherati. Na mwanamke asie na mafunzo mazuri na kushika maagizo ya vitabu vya imani na kufuata taratibu za maadili katika kupata mwanaume wa kumfunulia mji wake wa uzazi lazima aingie katika maisha ya uzinifu.

Sasa unataka vipi hawa watuhumiwa wawili tuanze wajadili kwa misingi ya haki bin sawa....

Binti anapoamua kuiingia hii laana ya kuwa single mother ni maamuzi yake binafsi si maagizo ya jamii. Yeye ndie kataka.

Nionyeshe ni wapi au ni jamii gani huwa wanamwambia binti yao ajiingize katika kulala kimahusiano na wanaume anavyojisikia bila kufuata taratibu?!

Utaratibu upo wazi kabisa. Kama wewe ni binti anatokea mwanaume anakupenda anakuhitaji basi mwambie sawa wewe hauna shida, aende kwenu pale akajitambulishe na watamhoji na kumpatia utaratibu wa kufuata atakuchukua na mtafunga ndoa then muende kulana kwa raha zenu bila kujibanza banza guest huko na kwenye mapagala.....

Binti ndio anae ongoza kwa kuruhusu mwili wake kuwa chanzo cha mapato na ndio bargaining chip yake....

Jamii inawalea watoto wakike kwa mtazamo kuwa wao ji product ambayo hutoa huduma ya ngono. Hivi unadhani nani leo atakuthamini kama wewe haujithamini....?!

Mabinti wa kileo akija kijana ambae hana maisha mazuri yaani kiapato chake si cha uhakika wengi hawapo tayari kuketi nae kusikilizana nae kupanga maisha wengi wanataka mtu mwenye alienacho ili wao waingie tu na kutawala.... Hapa ndipo wengi huachwa na mimba za laana ya tamaa.....

Mimi utanisamehe, siwezi kuungana na wewe kutetea upumbavu ambao utakuja kumuangamiza hata binti yangu......

Mimi nitakemea uovu huu. Na nitasema na mtoto wa kike. Jamii mnataka mtoto wa kiume ndio aambiwe sasa aambiwe nini....?!

Mtoto wa kiume akitaka anaweza lala na mdada mtu mzima mwenye watoto so kwake sio tatizo na hatokosa mgegedo na hato loose chochote Ukimwambia mtoto wa kike asiruhusu mwili wake kuguswa au kutolewa bikra kwasababu yoyote ile hadi pale ndoa itakapofungwa na huyu ataemchanulia miguu awe ni mume wake halali.....
 
Andameni na wanaume pia kwani hao wanawake walijitia mimba wenyewe??Muwaseme wote sio upande mmoja alaaa!!
Labda huyo binti awe amebakwa ndio atastahili huruma ya jamii. Hawa wanaokodiwa bodaboda tunawaona na wanakwenda kuliwa huko magetoni na guest house kizembe kwa viofa vya chips kuku?!
 
Usihalalishe uzinzi kwa wanaume!Uzinzi ni uzinzi tu!!
Wewe pambana na wanawake, wakikaza wasitolewe bikra hadi ndoa utakuja kunambia hapa..... Wewe unadhani aliyeiumba pale alikuwa ana maana gani....?!

Ukishaitoa ile kabla ya ndoa then umeyatafuta ya kuyataka....... Usilaumu mtu pokea kila tusi litalokujia....
 
Huyo mwanaume hakujua na yeye kama ana mwanamke wake atumie kinga akifanya ufirauni wake?
Hivi mtu anahonga pesa za mamilioni ili apewe tu mchezo, akiambiwa akajitambulishe na kufuata taratibu ili apewe mwanamke ambaye hajawahi kuguswa na mwanaume yoyote unadhani hiyo kwake itakuwa ni raha ya aina gani?!

Kwa namna unaongea ni as if mtoto wa kike ni boya na hana akili kama nyumbu. Hivi wewe na akili zako, hata misemo inasema kila uchao, kuwa mume wa mtu ni sumu unadhani wanamaanisha ni sumu ya panya.....?!

Mtoto wa kike akipewa elimu ya kulinda utu wake na kujua namna ya kupata mwenza sahihi huu upumbavu wa kuwa single mother utaisha.....

Nyie mliwafundisha kusema NO kukataa wanaume wakawa wanakataa hata wale ambao MUNGU amewaletea.....

Mlitakiwa kuwafunxa kusema NO ya kukataa kutumika kama bidhaa inayotakiwa kuwaniwa sokoni.....

Leo binti ukimfuata kistaarabu dada habari naomba kuzungumza nawe anakubalasa..... Ukitafuta namba yake kumuomba ridhaa ya kuja kwao ujitambulishe maringo kibao.

Akitokea bishoo au mume wa mtu na Crown anamng'oa kilaini na anaenda kumla siku hiyo hiyo.....

So don't tell this nonsense kuwa mabinti hawajui kuwa wanatumika au wanaingia pabaya...... Wanafahamu na wanaweza jizuia...... Tatizo tamaa za kipumbavu na kutaka wepesi wa maisha kisa tu ana sura nzuri, ana muaonekano mzuri, anatako, ana miguu mizuri na kadhalika.
 

Exodus 22:22-24

You shall not mistreat any widow or fatherless child. If you do mistreat them, and they cry out to me, I will surely hear their cry, and my wrath will burn, and I will kill you with the sword, and your wives shall become widows and your children fatherless.
 
Uzinzi ni uzinzi ndio lakini madhara ya uzinzi ni tofauti baina ya mwanamke na mwanaume.

Nimekuuliza anayebeba mimba ni nani kati ya me na ke?
Anayezaa kwa uchungu ni me au ke?

Wanawake wanaandamwa kwa sababu wao ndio wanaoathirika zaidi kuliko wanaume.

Wewe ukipata familia ndio utajua ni kwa nini mtoto wa kike anakuwa chini ya uangalizi zaidi kuliko mtoto wa kiume, hata muda wa kurudi nyumbani mtoto wa kike lazima alimitiwe tofauti na dume
Huyu anatujaribu sisi sijui wanafikiria kila mtu katoka familia zisizo na discipline.....?!
 
Back
Top Bottom