Kwanini konyagi huwa inalazwa?

Kwanini konyagi huwa inalazwa?

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
614
Salaam alyekum,

wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi lakini swali langu ni kwanini konyagi huwa inalazwa? …..ukizingia kwenye comment principle yangu ni ile ile “ntakutafuta ntakupata na nitakufurahisha”
 
Usimwamshe aliyelala, Ukimwamsha utalala wewe
 
Kwasababu ya Muundo wa Chupa yake.
Ukiisimamisha inakaa ila sio stable.
Ukiilaza inatulia na inakuwa stable.
Maana Kitako chake kidogo...
Pia hard liquors nying zenye mgongo mnyoofu na kitako kidogo hulazwa.

Na zenye chupa za Round husimamisha maana kitako kina stable base.

Tuachane na hizo sababu za ajabu hapo juu.

Hulazwa ili kushindana tu na yule jamaa aliyenyayua mikono, ionekane kuwa umemshinda.
Na pia ukinywa imesimama kuna kiungo kitasimama wakat huo huo, bora ilale na Kiungo kilale,
Kitaenda kuamsha dude huko mbelen.
 
Salaam alyekum,

wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi lakini swali langu ni kwanini konyagi huwa inalazwa? …..ukizingia kwenye comment principle yangu ni ile ile “ntakutafuta ntakupata na nitakufurahisha”
Ni bapa😎
 
Kwa nini konyagi hulazwa?-kiswahili
 
Tuachane na hizi sababu za ajabu hapo juu.
Ni kushindana tu na yule jamaa aliyenyayua mikono, ionekane kuwa umemshinda.
Na pia ukinywa imesimama kuna kiungo kitasimama wakat huo huo, bora ilale na Kiungo kilale,
Kitaenda kuamsha dude huko mbelen.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Salaam alyekum,

wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi lakini swali langu ni kwanini konyagi huwa inalazwa? …..ukizingia kwenye comment principle yangu ni ile ile “ntakutafuta ntakupata na nitakufurahisha”
Sidhani kama ni sahihi kuanza na Asalamaleko halafu unaongelea pombe,
Mohamed Abubakar Malaria 2
 
Back
Top Bottom