Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na huu ubonge kama nakuona ulivyocheka ulivyotumiwa picha zangu li shunie lenyewe ndio lipo hivi mbele hajulikani nyuma hajulikani kuamshiwa dude ndio kiki ya jf bamdogo niamshie tu jamaan ila uzi hautadumu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama lipipa halafu unawekwa jukwaa la wakubwa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umakini unahitajika aiseee matahira ni wengi ila baby hana hizi mambo jamaan atanisitiri ila utahira si mzuri kabisa
Wengine utahira wao wa msimu, mwezi ukiwa mchanga tu shida, umakini wa hali ya juu unahitajika.
 
yaaani kuna watu hawajitambui kabisa
sio kua wewe unaishi enzi za ujima

hapanaa...wewe umelelewa ukaleleka..

ukawaelewa wazazi wako au walezi wanachotaka uingie nacho mtaani

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Ni kweli mkuu ni malezi na mazingira ya makuzi ya mtu na aina ya maisha mtu amechagua kuishi bada ya kuanza kujitegemea
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na huu ubonge kama nakuona ulivyocheka ulivyotumiwa picha zangu li shunie lenyewe ndio lipo hivi mbele hajulikani nyuma hajulikani kuamshiwa dude ndio kiki ya jf bamdogo niamshie tu jamaan ila uzi hautadumu
Acha bwana.... Manga anazo hizi taarifa maana mimi ulishanifanya ndugu hata pakukuanzia sina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom