Hujambo?Kwahiyo jamani dude ndio limeisha?!...ila wadada wa humu washari sana
Sijui kama haya maneno mngekuwa mnarushiana huku mmeshika mic ingekuwaje.
Dira limechomekwa kwny chu.pi yani ubaya ubaya tu hapo jibaba unapigwa hadi masingi bila kutumia ubavu unahadhirika
Huo aliokuwa anauzungumzia dark angel cuzoo![]()
![]()



muulize maserati au ringson ulikuepo jukwaa la malalamiko na ulifungwa tatizo cuzoo unapotea sana jfWhere av u bin?!...kweli siku mbili bibie umekaa kimya?!Hujambo?
Nipooooo nilibanwa mbayaaaDemi upo wapi mpenzi....mwambie huyo bwana akuachie kidogo
Nilikuwa busy bhana! Mzima lkn?Where av u bin?!...kweli siku mbili bibie umekaa kimya?!
Sio mzima kabisa nimekaa na wivu siku 2Nilikuwa busy bhana! Mzima lkn?
Kwani umeanza kunipenda?Sio mzima kabisa nimekaa na wivu siku 2
Sana....sijui ndio umeshaniendea kwa mgangaKwani umeanza kunipenda?
Unaringa sana we mwanaume. Kwanini lakini?Sana....sijui ndio umeshaniendea kwa mganga
Mm nikuringie ww?!...umeuteka moyo wanguUnaringa sana we mwanaume. Kwanini lakini?
Teh teh... Since when?Mm nikuringie ww?!...umeuteka moyo wangu
Umeacha lini ndugu?Dah... bora sisi hatugongi humu