Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Wamezidi tabia. Mhenga tukiwapata wanaume wa hivi Mara moja moja mbona wataacha umbea tuu.
Waliowahi kum private massage wajiandaa kuja kuvuliwa nguo hadharani .
Midume minafiki hii ndiyo dawa yao lazima uwachane direct.
Waliowahi kuprivate? Unajua wapo wangapi?

Watu sampuli yenu ndiyo mtaongea juu yangu haya maana tunaqoutiana Humu tu hamnijui japo 20%.

Na wanakusoma hapa wanakushangaa. Endeleeni kujimwaya mwaya na shoga ako.....
 
my angelita kwani honeymoon tayari usharudii...?!!!

mpe mwanangu haki yake tafadhali..ombi lako litafanyiwa kazii

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Siku nyingi kweli my dear, ukisikia naanzisha uzi baadaye wa talaka usishangae naona wanaume tumebadilishana nao jinsia siku hizi.
 
Waliowahi kuprivate? Unajua wapo wangapi?

Watu sampuli yenu ndiyo mtaongea juu yangu haya maana tunaqoutiana Humu tu hamnijui japo 20%.

Na wanakusoma hapa wanakushangaa. Endeleeni kujimwaya mwaya na shoga ako.....
leo....!!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom