Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Huyu kaka ni mnafiki.
Ukisoma ule Uzi wake ndiyo malumbano ya Jana kati ya cute b na mhenga mwenzetu rubii kupamba moto.
Alitoa siri pm na kwenye kuwasilisha akawasilisha kana kwamba cute na Raimundo ni wapenzi. ( baadae akasema siyo wapenzi) rubii bila kujua akamwita cute wifi . vita ikaanza.
Sasa hapo ni wazi licha ya unafiki pia ni mchochezi.
Cc maserati.
Shost huku umeme umekatika movie na watch hapaaaa
Nitag huko sasa nikajioneee jamani dark angel. Hebu pulisss memda kanitag
 
Wamezidi tabia. Mhenga tukiwapata wanaume wa hivi Mara moja moja mbona wataacha umbea tuu.
Waliowahi kum private massage wajiandaa kuja kuvuliwa nguo hadharani .
Midume minafiki hii ndiyo dawa yao lazima uwachane direct.
my@Bonny where are you...?!!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
kwa uwezo wako wa un'gamuzi eeh... then you're right.




Daby aanzishe uzi walumbane wengine... hii kali ya mwaka
Kama haujui kitu uliza hata kwenye groups zenu za whatsap. Mwenzako alihusishwa na Raimundo uzi wa kwanza kabisa labda hapa unapaka rangi tu.


Kweli nitakuwa mchochezi wa kumbukumbu za Dunia mimi kuanzisha uzi halafu watu nisiajuana nao angalau pm wagombane kwa uzi wangu.

Unajikuta mchambuzi mzuri poyeeeeeeee. Huu ni ubuyu anakula kila mtu ndiyo maana uliweka Uzi public.
Nilifuatilia vizuri ile skendo usinione wa kuja.
Baada ya wewe kusema cute alikufuata pm watu pale ndiyo wakaanza kuuliza ahaaa kumbe cute dem wa mshikaji.
Watu usiojuana nao hata pm? Ulitaka kila unayegombana naye aje pm ujuane nae kwanza?
Jipaaaangeee Leo ni ubuyu tuu mwanaume kashikwa umbea
 
Nilikua kwenye uzi mmoja huku mmu mwanaume anatoa siri za mwanamke wa jf yaan umewafunda yameingia apa yametokea kule
upi niende ule wa kifuani dkk 30...

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom