Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

M

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
8,828
Likes
13,832
Points
280
M

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
8,828 13,832 280
Matusi yote kwenye Uzi huu, dhihaka zote na mengineyo yote mnayoyasema hapa nayapokea kwa mkono mmoja na sina uwezo wa kuwahukumu ila namwachia Mwenyezi Mungu Yeye pekee ndiye atajua kama nastahili kufanyiwa haya au mnastahili kupata ' pigo ' lake kwa haya mnayonifanyia.

Najua nini Kinaendelea, Agenda iliyopo na nini dhumuni ya yote haya hadi kila siku tu Watu wanaibuka na ' threads ' tofauti tofauti za kumzungumzia na kumjadili GENTAMYCINE. Na kuna ambao nimeona wanasema kwamba hii ID ni yangu kana kwamba wana uhakika hivyo niwaombe tu Moderator, JamiiForums , Invisible na JF Founder mwenyewe Maxence Melo , Asha D Abinallah wafanye uchunguzi wao wote kwani najua kwa ' Utaalam ' wao wanaweza na endapo watagundua hii ID ni yangu Mimi GENTAMYCINE basi nawaomba wanipe PERMANENT BAN rasmi.

Sijawahi kumkosea Mtu humu na sijajiunga JamiiForums kuja ' Kugombana ' na Mtu ila nasikitika kwa siku za karibuni kumekuwa kama siyo kumeibuka ' Katabia ' ambapo Watu fulani kwa makusudi kabisa wanajipanga kuanzisha ' threads ' za makusudi za Kunichokonoa, Kunichokoza, Kunidhalilisha na Kunitukana kwa sababu ambazo hata sizijui kwani hakuna hata Mtu ambaye ananinunulia Mimi ' Bundle ' za ' Internet ' ambazo zinaniwezesha kuwepo hapa mara kwa mara.

Nashukuru sana kuna Watu kadhaa wanaoniheshimu na kupenda sana uwepo wangu na michango yangu hapa jana wamenitumia sana PM wakinituliza na kunisihi niachane na hawa Watu lakini nashangaa kila kukicha Mtu anaamua tu Kuibuka na ' thread ' ya ' Kumjadili ' GENTAMYCINE utadhani labda nina deni lao au nimekula chao chochote.

Sitaki kumlaumu Mtu ila nadhani hii tabia inavunja sana moyo na kama labda Watu hawaitaki hii ID iwepo humu JamiiForums semeni tu ili niwaachieni Jamvi lenu kwa amani kwani mnaanza sasa kusababisha nihisi mengineyo juu ya uwepo wangu humu.

Leo sitomtolea Mtu yoyote neno baya au la shombo kama ambavyo imezoeleka na badala yake nitanyamaza tu ila narudia tena kusisitiza kama tatizo ni uwepo wa hii ID hapa JF semeni tu ili niwaachieni Jamvi lenu labda muweze Kupumzika na niangalie ustaarabu wangu. Na hii si mara ya Kwanza tabia hii kujitokeza Kwangu na kuna Watu ambao wanaanzisha kwa makusudi ID's zao kwa minajili tu ya kunishambulia huku wapo ambao wananichokoza na kunidhihaki kwa ID's zao mpya kisha nikiwajibu hovyo hao hao utawaona wanakimbilia wa Moderators kutaka nipigwe BAN.

Yawezekena Shani / Talanta yangu ya Kipekee kabisa iliyobarikiwa na ' natural charm ' yangu kutoka Kwake Mwenyezi Mungu ndiyo inawatesa, inawaumiza na kuwaudhi wengi. Kama hii ndiyo sababu basi kuliko Kunilaumu Mimi pelekeni lawama zenu kwa Muumba wangu ambaye amenifanya niwe tofauti hivi na nyie wote ambao ' mnanichukia ' humu.

Nimemaliza rasmi na sidhani kama nitakuja kuchangia tena chochote katika Uzi huu baada ya mchango wangu huu ila niwaombe tu wale ambao mmeanza Kunitukana, Kunidhalilisha, Kunichokoza na Kunisingizia mambo kadha wa kadha msichoke kufanya hivyo ila nayakabidhi yote haya Kwake Mwenyezi Mungu ambaye naamini ndiye anajua ukweli wangu na dhihaka zenu Kwangu.

Akhsanteni.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huyu ndo Genta..mimi nakukumbukaga kwenye uzi wa lulu tu jaman..uliutoa last yr au 2017..mpk leo huwa nacheka!dah..Genta uko poa kinyama..sema usiwe unajibu watu wote wanaokutukana...mtawekwa as wote wahuni tu kumbe ww uhuni ulishaacha kitambo๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
91,260
Likes
840,515
Points
280
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
91,260 840,515 280
Hana lolote huyo.. mnamuogopea bure tu.. mngekuwa mnamsoma tangu enzi anajidai yeye ni fulani mara fulani hadi kuishia kujiweka kama mbabe mngejua ni hana lolote bali vijineno na alikuwa muongooo sana anajiweka ana maisha fulani siku ingine anaandika mengine.. eeeeeh

Burudani kusoma ya JF
Hahahaha
Na ma id kibao ya kujisifia mwenyewe walahi
Mtu mzima ovyooooooo walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jogoo_dume

jogoo_dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
1,988
Likes
1,448
Points
280
jogoo_dume

jogoo_dume

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
1,988 1,448 280
GENTAMYCINE

Huyu jamaa huwa anaserereka na kutiririka vidonge/vichambo vilivyo tukuka kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu kama โ€˜MOSSADโ€™ hali inayofanya kuwa salama dhidi ya ban!!

Haya na nyinyi mserereke na kutiririka kwa nini humjawahi mchokoza??
Yaani umekuja na id nyingine kujisifia! Hovyo sama wee jamaa.
 
jogoo_dume

jogoo_dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
1,988
Likes
1,448
Points
280
jogoo_dume

jogoo_dume

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
1,988 1,448 280
Msee ya vichambo ni lara1, nasikia kaokoka siku hizi na kawekwa ndani. Kweli dawa ya mwanamke ni dushe.
 
Eliah Geofrey Kamwela

Eliah Geofrey Kamwela

Verified Member
โœ…
Joined
Dec 30, 2018
Messages
141
Likes
292
Points
80
Eliah Geofrey Kamwela

Eliah Geofrey Kamwela

Verified Member
โœ…
Joined Dec 30, 2018
141 292 80
Huyu GENTAMYCINE mbona ni kama anajianzishia Uzi na kyjisifu?
Sijaona mada zake humu kitambo, nadhan atakua BAN kwa lugha zake tata
 
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
536
Likes
413
Points
80
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
536 413 80
Naona jamaa anaendelea kujitekenya mwenyewe
 
B

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
3,596
Likes
114
Points
160
Age
43
B

big_in

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2013
3,596 114 160
GENTAMYCINE

Huyu jamaa huwa anaserereka na kutiririka vidonge/vichambo vilivyo tukuka kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu kama โ€˜MOSSADโ€™ hali inayofanya kuwa salama dhidi ya ban!!

Haya na nyinyi mserereke na kutiririka kwa nini humjawahi mchokoza??
Nyote mazuzu
 
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
718
Likes
674
Points
180
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
718 674 180
Matusi yote kwenye Uzi huu, dhihaka zote na mengineyo yote mnayoyasema hapa nayapokea kwa mkono mmoja na sina uwezo wa kuwahukumu ila namwachia Mwenyezi Mungu Yeye pekee ndiye atajua kama nastahili kufanyiwa haya au mnastahili kupata ' pigo ' lake kwa haya mnayonifanyia.

Najua nini Kinaendelea, Agenda iliyopo na nini dhumuni ya yote haya hadi kila siku tu Watu wanaibuka na ' threads ' tofauti tofauti za kumzungumzia na kumjadili GENTAMYCINE. Na kuna ambao nimeona wanasema kwamba hii ID ni yangu kana kwamba wana uhakika hivyo niwaombe tu Moderator, JamiiForums , Invisible na JF Founder mwenyewe Maxence Melo , Asha D Abinallah wafanye uchunguzi wao wote kwani najua kwa ' Utaalam ' wao wanaweza na endapo watagundua hii ID ni yangu Mimi GENTAMYCINE basi nawaomba wanipe PERMANENT BAN rasmi.

Sijawahi kumkosea Mtu humu na sijajiunga JamiiForums kuja ' Kugombana ' na Mtu ila nasikitika kwa siku za karibuni kumekuwa kama siyo kumeibuka ' Katabia ' ambapo Watu fulani kwa makusudi kabisa wanajipanga kuanzisha ' threads ' za makusudi za Kunichokonoa, Kunichokoza, Kunidhalilisha na Kunitukana kwa sababu ambazo hata sizijui kwani hakuna hata Mtu ambaye ananinunulia Mimi ' Bundle ' za ' Internet ' ambazo zinaniwezesha kuwepo hapa mara kwa mara.

Nashukuru sana kuna Watu kadhaa wanaoniheshimu na kupenda sana uwepo wangu na michango yangu hapa jana wamenitumia sana PM wakinituliza na kunisihi niachane na hawa Watu lakini nashangaa kila kukicha Mtu anaamua tu Kuibuka na ' thread ' ya ' Kumjadili ' GENTAMYCINE utadhani labda nina deni lao au nimekula chao chochote.

Sitaki kumlaumu Mtu ila nadhani hii tabia inavunja sana moyo na kama labda Watu hawaitaki hii ID iwepo humu JamiiForums semeni tu ili niwaachieni Jamvi lenu kwa amani kwani mnaanza sasa kusababisha nihisi mengineyo juu ya uwepo wangu humu.

Leo sitomtolea Mtu yoyote neno baya au la shombo kama ambavyo imezoeleka na badala yake nitanyamaza tu ila narudia tena kusisitiza kama tatizo ni uwepo wa hii ID hapa JF semeni tu ili niwaachieni Jamvi lenu labda muweze Kupumzika na niangalie ustaarabu wangu. Na hii si mara ya Kwanza tabia hii kujitokeza Kwangu na kuna Watu ambao wanaanzisha kwa makusudi ID's zao kwa minajili tu ya kunishambulia huku wapo ambao wananichokoza na kunidhihaki kwa ID's zao mpya kisha nikiwajibu hovyo hao hao utawaona wanakimbilia wa Moderators kutaka nipigwe BAN.

Yawezekena Shani / Talanta yangu ya Kipekee kabisa iliyobarikiwa na ' natural charm ' yangu kutoka Kwake Mwenyezi Mungu ndiyo inawatesa, inawaumiza na kuwaudhi wengi. Kama hii ndiyo sababu basi kuliko Kunilaumu Mimi pelekeni lawama zenu kwa Muumba wangu ambaye amenifanya niwe tofauti hivi na nyie wote ambao ' mnanichukia ' humu.

Nimemaliza rasmi na sidhani kama nitakuja kuchangia tena chochote katika Uzi huu baada ya mchango wangu huu ila niwaombe tu wale ambao mmeanza Kunitukana, Kunidhalilisha, Kunichokoza na Kunisingizia mambo kadha wa kadha msichoke kufanya hivyo ila nayakabidhi yote haya Kwake Mwenyezi Mungu ambaye naamini ndiye anajua ukweli wangu na dhihaka zenu Kwangu.

Akhsanteni.
Yule jamaa wa ku fupisha gazeti namwomba aje hapa
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
Mimi bibafsi namkubali jamaa na kumuweka kwenye kundi la GT, matusi anayo kama tu wew pia ukija kihivyo. Mimi nimeshamkosoa sana tu kwenye nyuzi zake au michango yake lakini huwa ananijibu kistaraabu kwa kuwa pia ukosoaji wangu huwa wa kistaarabu. Jamaa yuko vizuri hata kama humpendi.
Over
Huogopi nawe kuambiwa kuwa hii ID yako ni yangu hivyo hapa najisifu tu Mkuu? Hapa Jamvini ukianzisha Uzi wa Kumsema vibaya vibaya GENTAMYCINE hutosikia ukiambiwa kuwa ni hii ID yake ila ukianzisha tu Uzi wa Kumsifia GENTAMYCINE tegemea majibu mengi kuwa hiyo ni ID yangu hivyo najifagilia / najisifu. Na hii ndiyo JamiiForums Mkuu bahati nzuri hao ' Waswahili ' nimeshawazoea na wala hawanipi taabu sana sana nazidi Kuwadharau tu. Kinachowasumbua siyo hii ' Brand ID ' yangu ni nini kilichopo ndani ya GENTAMYCINE ambavyo ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '.

Cc: LICHADI , xtaper , Certified Hater , Khan , Nelson Mwombeki , lucas mobutu , Yamakagashi , jogoo dume , CHIEF WINGIA
 
Forum statistics

Threads 1,262,316
Members 485,560
Posts 30,120,613