Kwanini tuliozaliwa katika koo za Kichifu/Machifu haturogeki na tuna asili ya kuogopwa na kuheshimiwa mno?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,037
Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu.

Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila nashangaa kwa sasa ndiyo UNADINDA kwa Kasi ya 5G.

Kila nikienda ama Kukaa (Kuishi) au Kutembea maeneo / mikoa yenye Sifa ya UCHAWI na kuwa na WACHAWI Wengi nashangaa wale Wachawi nilioambiwa awali huwa WAPOLE Kwangu na hugeuka kuwa MARAFIKI zangu na HUNITII kwa kila nikisemacho.

Kila nikienda Kutembea katika ama Kambi za Jeshi au hata Taasisi moja Nyeti Wahusika HUNIOGOPA sana na hata Wengine hunipigia SALUTE wakidhani ni Mwenzao huku Wengine nikiwa napita MAGETINI Kwao huwa HAWANIKAGUI na huniruhusu tu kupita huku wakinipa HESHIMA Kubwa tu.

Binafsi najijua kabisa nilivyo CHOKA MBAYA wa Kutukuka Kimaisha ila sijui ni kwanini Watu wazima Wengi na hata Watu Wengine hupenda kuja KUNIKOPA Fedha kuanzia Shilingi Laki Tano hadi Milioni Tano na Wote nikiwajibu Mimi hata Shilingi Mia Tano (Jero) tu Mfukoni sina HAWAAMINI na wanasema ni MCHOYO kitu ambacho huwa KINANIUMA sana GENTAMYCINE huku Moyoni nikisema wangejua UHALISIA Wangu wa Kimaisha wangenionea hata HURUMA na labda Wao sasa ndiyo Wangenichangia Mimi Pesa.

Kuna muda huwa nakaa na Kujiuliza sana ni Kwanini hali hizi HUNITOKEA wakati Kiukweli GENTAMYCINE ni Mtu wa Kawaida mno mwenye Kadigrii kangu Kamoja tu ka Mass Communication ka mwaka 2009 (tena asiye na mbele wala nyuma Kimaisha) kulinganisha na Watu Wengine.

Nilijaribu Kuwashirikisha baadhi ya Wazee na Wataalam kadhaa na waliponihoji Maswali mengi na kujua kuwa GENTAMYCINE ni Mjukuu Tukuka wa Chifu fulani wakasema hiyo ndiyo sababu na kuniambia mambo kadha wa kadha ambayo nataka Kuyathibitisha kupitia Comments zenu ambazo mtazitoa katika huu Uzi wangu.

Karibuni Mtiririke na Mserereke hapa.
 
Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia
Hili naweza kukubaliana nalo kwasababu nishakutana na matukio kama haya sikujua sababu mpk nilipo uliza Kwa wakubwa
 
Halafu kuna Mpumbavu Mmoja TAI DUME anadhani GENTAMYCINE nimekurupuka kuja na huu Uzi na yale yote niliyoyasema hapa.

Mtu kila Siku unakiri na kuhubiri hapa kuwa UNAMCHUKIA GENTAMYCINE na wala HUMKUBALI kwa lolote pamoja na KUMDHARAU Kwingi lakini kila Siku ( 24/7 ) ukiingia tu hapa JamiiForums ni lazima Usome na hadi unapoteza muda ama Kuuchangia au Kumjibu.

Mimi mbona SIWASHOBOKEI kama ambavyo Wao ( Wapumbavu ) Wananishobokea Kutwa?
 
Wale machifu wa zamani walijua mengi kuhusu kinga, wewe uliambukizwa hizo kinga, kila anaekurushia bomu linarudi kwake, ndio maana wanakuogopa.
 
"NINA MADEMU WENGI NILIOBANDUANA NAO"
Kwahiyo uliwabandua na wao wakakubandua, inshort umevuliwa ubingwa ndo mana una maneno mengi sana kama mtoto wa kike. REAL MEN DON'T TALK TOO MUCH!.
 
Endelea kubanduliwa.
 
Wale machifu wa zamani walijua mengi kuhusu kinga, wewe uliambukizwa hizo kinga, kila anaekurushia bomu linarudi kwake, ndio maana wanakuogopa.
Amini kabisa Mkuu Jibu ulilotoa hapa ndiyo hili hili niliambiwa na hao Wazee na Wataalam. Umeenda mule mule Asante.
 
Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu.

Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila nashangaa kwa sasa ndiyo UNADINDA kwa Kasi ya 5G.

Kila nikienda ama Kukaa (Kuishi) au Kutembea maeneo / mikoa yenye Sifa ya UCHAWI na kuwa na WACHAWI Wengi nashangaa wale Wachawi nilioambiwa awali huwa WAPOLE Kwangu na hugeuka kuwa MARAFIKI zangu na HUNITII kwa kila nikisemacho.

Kila nikienda Kutembea katika ama Kambi za Jeshi au hata Taasisi moja Nyeti Wahusika HUNIOGOPA sana na hata Wengine hunipigia SALUTE wakidhani ni Mwenzao huku Wengine nikiwa napita MAGETINI Kwao huwa HAWANIKAGUI na huniruhusu tu kupita huku wakinipa HESHIMA Kubwa tu.

Binafsi najijua kabisa nilivyo CHOKA MBAYA wa Kutukuka Kimaisha ila sijui ni kwanini Watu wazima Wengi na hata Watu Wengine hupenda kuja KUNIKOPA Fedha kuanzia Shilingi Laki Tano hadi Milioni Tano na Wote nikiwajibu Mimi hata Shilingi Mia Tano (Jero) tu Mfukoni sina HAWAAMINI na wanasema ni MCHOYO kitu ambacho huwa KINANIUMA sana GENTAMYCINE huku Moyoni nikisema wangejua UHALISIA Wangu wa Kimaisha wangenionea hata HURUMA na labda Wao sasa ndiyo Wangenichangia Mimi Pesa.

Kuna muda huwa nakaa na Kujiuliza sana ni Kwanini hali hizi HUNITOKEA wakati Kiukweli GENTAMYCINE ni Mtu wa Kawaida mno mwenye Kadigrii kangu Kamoja tu ka Mass Communication ka mwaka 2009 (tena asiye na mbele wala nyuma Kimaisha) kulinganisha na Watu Wengine.

Nilijaribu Kuwashirikisha baadhi ya Wazee na Wataalam kadhaa na waliponihoji Maswali mengi na kujua kuwa GENTAMYCINE ni Mjukuu Tukuka wa Chifu fulani wakasema hiyo ndiyo sababu na kuniambia mambo kadha wa kadha ambayo nataka Kuyathibitisha kupitia Comments zenu ambazo mtazitoa katika huu Uzi wangu.

Karibuni Mtiririke na Mserereke hapa.
Unawajua wazazi wako wewe? Mama yako unamjua sawa sawa kule Mara ni mtu gani? Umeshawahi kuchunguza asili zao ujue wametithishwa vitu gani na mababu zenu? Wazazi wana siri kubwa watoto hawazijui. Endelea kufurahia ulinzi kutoka kwao agali wanaishi.
 
Ni Mdogo kimwili lakini ni mkubwa kiroho. Wachawi wanawajua wakubwa zao. Huwezi kuwa chief bila kuua Sana hadi wachawi wenzio wakuogope. So unatembelea sifa za Mzimu wa chief tukuka
 
Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu.

Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila nashangaa kwa sasa ndiyo UNADINDA kwa Kasi ya 5G.

Kila nikienda ama Kukaa (Kuishi) au Kutembea maeneo / mikoa yenye Sifa ya UCHAWI na kuwa na WACHAWI Wengi nashangaa wale Wachawi nilioambiwa awali huwa WAPOLE Kwangu na hugeuka kuwa MARAFIKI zangu na HUNITII kwa kila nikisemacho.

Kila nikienda Kutembea katika ama Kambi za Jeshi au hata Taasisi moja Nyeti Wahusika HUNIOGOPA sana na hata Wengine hunipigia SALUTE wakidhani ni Mwenzao huku Wengine nikiwa napita MAGETINI Kwao huwa HAWANIKAGUI na huniruhusu tu kupita huku wakinipa HESHIMA Kubwa tu.

Binafsi najijua kabisa nilivyo CHOKA MBAYA wa Kutukuka Kimaisha ila sijui ni kwanini Watu wazima Wengi na hata Watu Wengine hupenda kuja KUNIKOPA Fedha kuanzia Shilingi Laki Tano hadi Milioni Tano na Wote nikiwajibu Mimi hata Shilingi Mia Tano (Jero) tu Mfukoni sina HAWAAMINI na wanasema ni MCHOYO kitu ambacho huwa KINANIUMA sana GENTAMYCINE huku Moyoni nikisema wangejua UHALISIA Wangu wa Kimaisha wangenionea hata HURUMA na labda Wao sasa ndiyo Wangenichangia Mimi Pesa.

Kuna muda huwa nakaa na Kujiuliza sana ni Kwanini hali hizi HUNITOKEA wakati Kiukweli GENTAMYCINE ni Mtu wa Kawaida mno mwenye Kadigrii kangu Kamoja tu ka Mass Communication ka mwaka 2009 (tena asiye na mbele wala nyuma Kimaisha) kulinganisha na Watu Wengine.

Nilijaribu Kuwashirikisha baadhi ya Wazee na Wataalam kadhaa na waliponihoji Maswali mengi na kujua kuwa GENTAMYCINE ni Mjukuu Tukuka wa Chifu fulani wakasema hiyo ndiyo sababu na kuniambia mambo kadha wa kadha ambayo nataka Kuyathibitisha kupitia Comments zenu ambazo mtazitoa katika huu Uzi wangu.

Karibuni Mtiririke na Mserereke hapa.
Una nasaba na Mwl Nyerere!?
 
Back
Top Bottom