Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

KT hakuna upuuzi kama huu, nadhani Bongo tunaongoza kwa kuitumia mitandao kwa umbeya na kuongelea vitu ambavyo siyo basic.

Hii topic ni mfano wake.
 
GENTAMYCINE

Huyu jamaa huwa anaserereka na kutiririka vidonge/vichambo vilivyo tukuka kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu kama ‘MOSSAD’ hali inayofanya kuwa salama dhidi ya ban!!


Haya na nyinyi mserereke na kutiririka kwa nini humjawahi mchokoza??
Umekuja Kujipa Promo na ID Nyingine sio!
 
Huyu jamaa GENTAMYCINE ni Muha wa Kigoma ametokea maeneo ya Kakonko alikuwa anaishi kwenye kambi za wakimbizi sijui dar alifikaje huyu jamaa...

CV yake kwa ufupi ni MNAFIKI kiwango cha juu kabisa kuwahi kurekodiwa..

Wenye more Info watakuja kujazia nyama kuhusu huyu jamaa
Anajua Kujipendekeza
 
Back
Top Bottom