Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

Matusi yote kwenye Uzi huu, dhihaka zote na mengineyo yote mnayoyasema hapa nayapokea kwa mkono mmoja na sina uwezo wa kuwahukumu ila namwachia Mwenyezi Mungu Yeye pekee ndiye atajua kama nastahili kufanyiwa haya au mnastahili kupata ' pigo ' lake kwa haya mnayonifanyia.

Najua nini Kinaendelea, Agenda iliyopo na nini dhumuni ya yote haya hadi kila siku tu Watu wanaibuka na ' threads ' tofauti tofauti za kumzungumzia na kumjadili GENTAMYCINE. Na kuna ambao nimeona wanasema kwamba hii ID ni yangu kana kwamba wana uhakika hivyo niwaombe tu Moderator, JamiiForums , Invisible na JF Founder mwenyewe Maxence Melo , Asha D Abinallah wafanye uchunguzi wao wote kwani najua kwa ' Utaalam ' wao wanaweza na endapo watagundua hii ID ni yangu Mimi GENTAMYCINE basi nawaomba wanipe PERMANENT BAN rasmi.

Sijawahi kumkosea Mtu humu na sijajiunga JamiiForums kuja ' Kugombana ' na Mtu ila nasikitika kwa siku za karibuni kumekuwa kama siyo kumeibuka ' Katabia ' ambapo Watu fulani kwa makusudi kabisa wanajipanga kuanzisha ' threads ' za makusudi za Kunichokonoa, Kunichokoza, Kunidhalilisha na Kunitukana kwa sababu ambazo hata sizijui kwani hakuna hata Mtu ambaye ananinunulia Mimi ' Bundle ' za ' Internet ' ambazo zinaniwezesha kuwepo hapa mara kwa mara.

Nashukuru sana kuna Watu kadhaa wanaoniheshimu na kupenda sana uwepo wangu na michango yangu hapa jana wamenitumia sana PM wakinituliza na kunisihi niachane na hawa Watu lakini nashangaa kila kukicha Mtu anaamua tu Kuibuka na ' thread ' ya ' Kumjadili ' GENTAMYCINE utadhani labda nina deni lao au nimekula chao chochote.

Sitaki kumlaumu Mtu ila nadhani hii tabia inavunja sana moyo na kama labda Watu hawaitaki hii ID iwepo humu JamiiForums semeni tu ili niwaachieni Jamvi lenu kwa amani kwani mnaanza sasa kusababisha nihisi mengineyo juu ya uwepo wangu humu.

Leo sitomtolea Mtu yoyote neno baya au la shombo kama ambavyo imezoeleka na badala yake nitanyamaza tu ila narudia tena kusisitiza kama tatizo ni uwepo wa hii ID hapa JF semeni tu ili niwaachieni Jamvi lenu labda muweze Kupumzika na niangalie ustaarabu wangu. Na hii si mara ya Kwanza tabia hii kujitokeza Kwangu na kuna Watu ambao wanaanzisha kwa makusudi ID's zao kwa minajili tu ya kunishambulia huku wapo ambao wananichokoza na kunidhihaki kwa ID's zao mpya kisha nikiwajibu hovyo hao hao utawaona wanakimbilia wa Moderators kutaka nipigwe BAN.

Yawezekena Shani / Talanta yangu ya Kipekee kabisa iliyobarikiwa na ' natural charm ' yangu kutoka Kwake Mwenyezi Mungu ndiyo inawatesa, inawaumiza na kuwaudhi wengi. Kama hii ndiyo sababu basi kuliko Kunilaumu Mimi pelekeni lawama zenu kwa Muumba wangu ambaye amenifanya niwe tofauti hivi na nyie wote ambao ' mnanichukia ' humu.

Nimemaliza rasmi na sidhani kama nitakuja kuchangia tena chochote katika Uzi huu baada ya mchango wangu huu ila niwaombe tu wale ambao mmeanza Kunitukana, Kunidhalilisha, Kunichokoza na Kunisingizia mambo kadha wa kadha msichoke kufanya hivyo ila nayakabidhi yote haya Kwake Mwenyezi Mungu ambaye naamini ndiye anajua ukweli wangu na dhihaka zenu Kwangu.

Akhsanteni.
 
We kweli ndo zwazwa namba 1,sifa ya mwanaume ni kujiamini lkn kama wewe ni mwanaume wa dar sishangai maana mnaogopa mpk panya
 
Huyu jamaa GENTAMYCINE ni Muha wa Kigoma ametokea maeneo ya Kakonko alikuwa anaishi kwenye kambi za wakimbizi sijui dar alifikaje huyu jamaa...

CV yake kwa ufupi ni MNAFIKI kiwango cha juu kabisa kuwahi kurekodiwa..

Wenye more Info watakuja kujazia nyama kuhusu huyu jamaa
Upo sahihi mkuu tena anatoka kata ya gwarama afu anajisifia mnyarwanda
 
Matusi yote kwenye Uzi huu, dhihaka zote na mengineyo yote mnayoyasema hapa nayapokea kwa mkono mmoja na sina uwezo wa kuwahukumu ila namwachia Mwenyezi Mungu Yeye pekee ndiye atajua kama nastahili kufanyiwa haya au mnastahili kupata ' pigo ' lake kwa haya mnayonifanyia.

Najua nini Kinaendelea, Agenda iliyopo na nini dhumuni ya yote haya hadi kila siku tu Watu wanaibuka na ' threads ' tofauti tofauti za kumzungumzia na kumjadili GENTAMYCINE. Na kuna ambao nimeona wanasema kwamba hii ID ni yangu kana kwamba wana uhakika hivyo niwaombe tu Moderator, JamiiForums , Invisible na JF Founder mwenyewe Maxence Melo , Asha D Abinallah wafanye uchunguzi wao wote kwani najua kwa ' Utaalam ' wao wanaweza na endapo watagundua hii ID ni yangu Mimi GENTAMYCINE basi nawaomba wanipe PERMANENT BAN rasmi.

Sijawahi kumkosea Mtu humu na sijajiunga JamiiForums kuja ' Kugombana ' na Mtu ila nasikitika kwa siku za karibuni kumekuwa kama siyo kumeibuka ' Katabia ' ambapo Watu fulani kwa makusudi kabisa wanajipanga kuanzisha ' threads ' za makusudi za Kunichokonoa, Kunichokoza, Kunidhalilisha na Kunitukana kwa sababu ambazo hata sizijui kwani hakuna hata Mtu ambaye ananinunulia Mimi ' Bundle ' za ' Internet ' ambazo zinaniwezesha kuwepo hapa mara kwa mara.

Nashukuru sana kuna Watu kadhaa wanaoniheshimu na kupenda sana uwepo wangu na michango yangu hapa jana wamenitumia sana PM wakinituliza na kunisihi niachane na hawa Watu lakini nashangaa kila kukicha Mtu anaamua tu Kuibuka na ' thread ' ya ' Kumjadili ' GENTAMYCINE utadhani labda nina deni lao au nimekula chao chochote.

Sitaki kumlaumu Mtu ila nadhani hii tabia inavunja sana moyo na kama labda Watu hawaitaki hii ID iwepo humu JamiiForums semeni tu ili niwaachieni Jamvi lenu kwa amani kwani mnaanza sasa kusababisha nihisi mengineyo juu ya uwepo wangu humu.

Leo sitomtolea Mtu yoyote neno baya au la shombo kama ambavyo imezoeleka na badala yake nitanyamaza tu ila narudia tena kusisitiza kama tatizo ni uwepo wa hii ID hapa JF semeni tu ili niwaachieni Jamvi lenu labda muweze Kupumzika na niangalie ustaarabu wangu. Na hii si mara ya Kwanza tabia hii kujitokeza Kwangu na kuna Watu ambao wanaanzisha kwa makusudi ID's zao kwa minajili tu ya kunishambulia huku wapo ambao wananichokoza na kunidhihaki kwa ID's zao mpya kisha nikiwajibu hovyo hao hao utawaona wanakimbilia wa Moderators kutaka nipigwe BAN.

Yawezekena Shani / Talanta yangu ya Kipekee kabisa iliyobarikiwa na ' natural charm ' yangu kutoka Kwake Mwenyezi Mungu ndiyo inawatesa, inawaumiza na kuwaudhi wengi. Kama hii ndiyo sababu basi kuliko Kunilaumu Mimi pelekeni lawama zenu kwa Muumba wangu ambaye amenifanya niwe tofauti hivi na nyie wote ambao ' mnanichukia ' humu.

Nimemaliza rasmi na sidhani kama nitakuja kuchangia tena chochote katika Uzi huu baada ya mchango wangu huu ila niwaombe tu wale ambao mmeanza Kunitukana, Kunidhalilisha, Kunichokoza na Kunisingizia mambo kadha wa kadha msichoke kufanya hivyo ila nayakabidhi yote haya Kwake Mwenyezi Mungu ambaye naamini ndiye anajua ukweli wangu na dhihaka zenu Kwangu.

Akhsanteni.
Unaona sasa, ndo kiume hivyo, mjadala hauna mashiko huu, tunamjadili mtu km vile ni hoja ya muhimu
 
Yaan Genta utoke jf kwa ajili ya watu achana nao bwana tupo tunaokupenda na kufurahia uwepo wako

Aseee Mkuu, nimesoma hili bandiko lako ,pole sana
 
Bibi na bwana wakigombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune
 
Hana lolote huyo.. mnamuogopea bure tu.. mngekuwa mnamsoma tangu enzi anajidai yeye ni fulani mara fulani hadi kuishia kujiweka kama mbabe mngejua ni hana lolote bali vijineno na alikuwa muongooo sana anajiweka ana maisha fulani siku ingine anaandika mengine.. eeeeeh

Burudani kusoma ya JF
Fisi mmeanza kutafunana sasa.
 
Acheni unafiki kumjadili mtu ambaye hamumlishi wala kumpa pa kulala.. Wewe blaza kaka GENTAMYCINE watz ndiyo walivyo, ukiwa unaogelea kwenye maji watakwambia unatimulia vumbi pia. Watz pendaneni acheni chuki.
 
Back
Top Bottom