Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

Alafu unawakeje VAT kwenye service? Bank ni services tu unapokwenda kutoa pesa tukunbuke ile pesa wakati unaiweka ilishakatwa kodi, sasa na kuitoa tena nako inakatwa kodi jamani na tena ukute hizi current account hata riba hazina.
Hili swala kiukweli linatakiwa kuangaliwa kwa jicho la tatu sana hii serkali naona hawako kwa ajili ya kumsaidia masikini kiukweli kabisa
 
Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...

Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....

Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi

Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...

Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi

Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?

Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?

Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....
siku zote hizi hukujua nchi inaendeshwa kisisa au ulifikiri unavyojua ww ndivyo watakavyofanya, sahau yaone yasikie na ukubali yaendelee vinginevyo utaumizwa kichwa bure mwishoe uumwe na tukuzike shauri yako
 
Leo nimukutana na hasira za muamala ya simu uso kwa uso.Yaani jamani ada ya kutolea pesa kwenye muamla wa simu ni kubwa mno yaani ni mara dufu ya ada ya awali,alafu mtu anasema eti sijui ni naninani wa wa wanyonge.....
 
Corporate tax ikiongezeka hakuna uwezekano wa corporates kuongeza price ya service zao ili kucompasate???
 
Unaponunua vitu vingi Sana, hata Sox, SAA ya mkononi, perfume, beer, wine, furniture etc .. Ujue umelipa VAT tayari.
Kuna VAT kibao ambazo zimelipwa mpaka kufikia bei ya dukani na wewe ujue ndie mlipaji kwa sababu ishakuwa included Kama cost ya bidhaa.

Siyo lazima iandikwe kwenye risiti. Kwani unadhani hakuna VAT kwenye maji ya uhai? Ipo ila wewe hujui Kama umeshalipa. Aliyelipa ni Azam na Agent, serikali imepata hela ya VAT kutoka kwa wrote, ila ikamrudishia Azam, na agent akakusakizia wewe mlaji wa mwisho through price.

Mabenki nayo hivyo hivyo, VAT zao za kutumia services mbalimbali Kama ATM, umeme, softwares etc wameshalipa na wanakusakizia wewe through fees. Kwa hiyo basically wewe ndiye uliyelipa.

Sasa serikali inataka pesa yake ya VAT ambayo wewe umeshalipa.
Concept yako nimeipata kiasi,
ila kwa ishu ya VAT on financial transactions haikuwepo kabla kisheria ndo mana wameianzisha sio kwamba tunasakiziwa,VAT is VAT 18% sio kama profit margin au rate ya mkopo utaiadjust...na imeprove failure mana ni mzigo wa mteja sio benki kama ambavyo walikusudia
 
siku zote hizi hukujua nchi inaendeshwa kisisa au ulifikiri unavyojua ww ndivyo watakavyofanya, sahau yaone yasikie na ukubali yaendelee vinginevyo utaumizwa kichwa bure mwishoe uumwe na tukuzike shauri yako

Inasikitisha sana
 
Concept yako nimeipata kiasi,
ila kwa ishu ya VAT on financial transactions haikuwepo kabla kisheria ndo mana wameianzisha sio kwamba tunasakiziwa,VAT is VAT 18% sio kama profit margin au rate ya mkopo utaiadjust...na imeprove failure mana ni mzigo wa mteja sio benki kama ambavyo walikusudia
Kodi yoyote duniiani hullipwa na mteja.

Naelewa kuwa kulikuwa hakuna VAT kwenye financial transactions na still hakuna

Waombe CRDB, KCB, NMB n.k Kama huwa wanalipa VAT wakilipa bili ya umeme. Pamoja na fees zingine Kama EWURA etc... Watakwambia ndiyo

Sasa hiyo VAT waliyolipa TANESCO, wewe umesakiziwa kwenye fees, sema huwa haiyakinishwi kwenye risiti yako.

Pia wamelipa VAT waluponunua uniforms, vifaa mbalimbali etc.. Lakini gharama hizo ni costs ambazo huwa cushioned na fees.

Tukizungumzia financial transactions unakosea, Tanzania bado hakuna VAT kwenye financial transactions,

VAT ni kwenye fees.

Fees husaidia Ku cover gharama Kama za kukamilisha mikopo unapoomba mkopo kuna fee (application fee), ile ni ku-cover gharama Kama za stationaries, softwares etc.

Kuna fee unapoomba ATM card mpya, fee unapotoa hela etc...

Lakini hakuna fee unapo-transfer money within the same banks (most banks, najua AFB hawana) na hii haina VAT ingawa its still a financial transaction. Haina VAT kwa sababu haina fee

VAT ni kwenye fees tu, not financial transactions per se.
 
Nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu Mkuu. Hata mwendawazimu akikuita na kukwambia njoo nikunyoe hushtuki unampelekea kichwa chako ili akunyoe huku ukiwa umetulia tuliii. Inasikitisha sana hii hali ya nchi yetu.

Acha tunyoke kwanza natamani ingekuwa zaidi ya hapo
 
The Boss...

Tulia baba

Kuna kodi inakuja kwenye nyumba

Wapangaji wakae mkao wa kula.....

Siku ndio kwaaaanza inaanza

Inaonekana hizi kodi zitafanya hata asietaka kuandamana aje ajiunge kuandamana
manake ni kodi kila kona now
 
Hutaki kufyatua wewe eeh??????

Labda anaesema fyatueni hana mpango wa kuondoka mda wake ukiisha
otherwise after ten years mwingine anaweza kusema kusomesha bure mwisho mtoto mmoja
 
Hawa watu wote tulishawaona hawana brains kabisa

yule kamishna wa TRA nilimshangaa sana

Nikajiuliza sana...tena nikajiuliza tena...nikajiuliza zaidi hivi yuko serious au?

Kwa kweli nilishangaa sana

Tuna matatizo makubwa sana kama nchi
 
Yaani umeniwahi kidogo tu mkuu! Hii mada nilitaka kuishusha baada ya muda mfupi. Kwakweli hawa walioitwa wanyonge wa hali ya chini wanaumia sana.Makapuni ya simu na mabenki hayana makosa yeyote kisheria, viongozi wetu kwa kukosa weledi wametuumiza hivi hivi. Hawa ndio tunaambiwa wajenzi wa Tanzania ya uchumi wa viwanda duh.
Kwa hili tu hapa ndipo uwa namweshimu professor Lipumba pamoja na matatizo yake yote lakini tukija kunye hii nyanja jamaa uwa namwelewa sana!!!
 
Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...

Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....

Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi

Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...

Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi

Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?

Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?

Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....

Yaani money income nimei-earn ikiwa imeshakatwa kodi zote then ninapoipeleka benki eti nakatwa kodi tena wakati wa kuitoa benki!....It's as if ni income mpya while in reality it is not!!!! This is unthinkable!!! Origin ya VAT ni kutozwa kwenye Mauzo(Sales) ila hii practice ya kuitoza VAT kwenye Service Charge(Gharama za huduma) ina-defeat logical reasonong to great extent!

Kuna hatari ya kutokea MONEY HOARDING....yaani watu kushawishika kuweka fedha zao nyumbani badala ya benki! Mwisho wa siku benki zita-face liquidity crisis!!! Tusubiri tuone mwisho wa haya maamuzi wa Serikali utakuwa nini!
 
Mkuu, mimi wasomi wa kitanzania wengi wao nina mashaka nao. Nafanya kazi na watu wana PhD lakini uwezo wao wa kujenga hoja na ufahamu wa mambo ni mdogo mno. Mpaka huwa najiuliza hizo PhD walizipataje? Huyu Mpango sishangai kwa sababu kama alishindwa kujua mlipa VAT ni nani usitegemee akawa na fikra pevu na chanya za kutufikisha kwenye Tanzania ya viwanda. Yaani sera za CCM mara nyingi ni verses kwenye nyimbo na huwa hazina maana halisi ya kile wanachokisema. Mfano mdogo ni mwaka 2005 walikuja hari mpya kasi mpya (matokeo yake hatukuona chochote), 201o wakaja na Maisha Bora kwa kila Mtanzania, ikawa kinyume chake ika Maisha ya hovyo kwa kila Mtanzania.
Ukweli mtupu kuna bosi wangu ni Dr lakini some time Mimi Mwenye degree uwa namchallenge mpaka mpaka namuacha naenda chumba kingine ofisini najifungia naanza kucheka mwenyewe!!!
Wasomi wazuri kiasi tulionao ni wale walioenda kusoma degree direct Russia au German
 
Kupitisha misswada bungeni Kwa kushabikia kutafanya wananchi wazidi kuumia kama hii vat ya miamala.Hata namba tutashindwa kuisomakuisoma

Nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu Mkuu. Hata mwendawazimu akikuita na kukwambia njoo nikunyoe hushtuki unampelekea kichwa chako ili akunyoe huku ukiwa umetulia tuliii. Inasikitisha sana hii hali ya nchi yetu.

ost: 17203057, member: 18247"]Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...

Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....

Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi

Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...

Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi

Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?

Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?

Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....[/QUOTE]
 
serikali ikatuahidi kwamba wakitu charge kuwaambie, sasa wana tucharge na hata wao wanaona ila sioni lolote wanalofanya.
 
Concept yako nimeipata kiasi,
ila kwa ishu ya VAT on financial transactions haikuwepo kabla kisheria ndo mana wameianzisha sio kwamba tunasakiziwa,VAT is VAT 18% sio kama profit margin au rate ya mkopo utaiadjust...na imeprove failure mana ni mzigo wa mteja sio benki kama ambavyo walikusudia
LadyRed, hii ndio discussion niliyotaka jana. Ona sasa, mimi sio mchumi lakini I get something out of your arguments. Sio zile chai za jana.
 
Back
Top Bottom