WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,768
- 2,938
Pokea LIKE kubwa kabisa mkuu...wabunge hawajui vat unategemea nini?
eti benk ndo watakatwa vat?
sasa akikatwa bank hyo itaitwaje vat?
hawa ukawa nao bure kabisa
si mafisi wala Ukawa wanamtetea mwananchi katika hili....ndo maana hawa wanasiasa nawaona kama watafta fursa tu.....wanapigania sana lile linalowagusa moja kwa moja.....
neno "mwananchi" linatumika tu kama njia ya kufikia malengo yao...hovyo mafisi, hovyo Ukawa....