Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,651
Hakuna hatari kubwa kama mamlaka kuwa mikononi mwa watu wenye akili ndogo!!!Walitoa matamko kabisa ya kuzipiga mikwara benki zisiongeze kodi
sasa kumbe kodi zimeshaongezwa
na wao wako kiimya kabisa.....aibu sana
Kwa yanayotendeka ni aibu na fedheha halafu bado watu wana imani na Dereva anayeonesha wazi hawezi endesha gari kuwa atawafikisha mbali!! Utawala huu umeleta MAJUTO mpaka kwa 'kitengo' na mawaka wao wamebaki kulaumiana!!!
YETU MACHO!!!