Si yeye tu, Serikali nzima ya Magufuli kwa maneno na matendo yao inadhihirisha wazi ni weupe mno vichwani na inasikitisha eti ndio brains za kuifikisha TZ kwenye uchumi wa kati!!!!!
YETU MACHO!!!
Umesahau ile ya uchumi utapaa na badala yake ndege ya rais ilinunuliwa na rais akasema hata tule majani lakini ndege itanunuliwa.Mkuu, mimi wasomi wa kitanzania wengi wao nina mashaka nao. Nafanya kazi na watu wana PhD lakini uwezo wao wa kujenga hoja na ufahamu wa mambo ni mdogo mno. Mpaka huwa najiuliza hizo PhD walizipataje? Huyu Mpango sishangai kwa sababu kama alishindwa kujua mlipa VAT ni nani usitegemee akawa na fikra pevu na chanya za kutufikisha kwenye Tanzania ya viwanda. Yaani sera za CCM mara nyingi ni verses kwenye nyimbo na huwa hazina maana halisi ya kile wanachokisema. Mfano mdogo ni mwaka 2005 walikuja hari mpya kasi mpya (matokeo yake hatukuona chochote), 201o wakaja na Maisha Bora kwa kila Mtanzania, ikawa kinyume chake ika Maisha ya hovyo kwa kila Mtanzania.
Inaonekana hizi kodi zitafanya hata asietaka kuandamana aje ajiunge kuandamana
manake ni kodi kila kona now
Mimi nimechoka na unafiki wa waTanzania. Hapa nyinyi ndo mlikuwa mnampigia debe Magufuli......mkiponda vyama vya upinzani. Mkituaminisha kwamba Upinzani hawana experience ya uongozi.
Leo mnataka kutuaminisha kwamba Magufuli ni dictator! Hata mwaka wa uongozi bado... What a shame! Wenyewe wanasema: USIPIME KINA CHA MAJI KWA KUWEKA MIGUU!
Akina Mange Kimambi wanashinda kwenye mitandao wakitukana eti Magufuli ni dictator yet juzi ndo walikuwa wanaimba mapambio kuisifia CCM na Magufuli. Mimi nasema wacha waTanzania wengi tuumie tumezidi kwa unafiki.
Ngoja tuisome Number. Labda next time watu wakipewa nafasi ya kufanya maamuzi watakuwa wanafikiria kwanza kabla ya kutenda. Kama ulimpigia kura Magufuli. Support him! Ni wewe ulimpa kura. Unless ulimpa kura ya kinafiki kusudi upate mwanya wa kupiga pesa! Na hilo amelikataa.
Mimi leo ukiniuliza, nasema Tanzania haijawahi kupata Rais mchapakazi na mwenye uchungu na taifa hili kama Mh. John Pombe Magufuli. Udictator wake siuoni. Maamuzi ya kukurupuka siyaoni. Magufuli ni yule yule. Hajawahi kubadilika. Na tunaomba asibadilike.
Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...
Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....
Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi
Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...
Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi
Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?
Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?
Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....
Usimlaumu mpango huenda kashurutishwa na mtukufu sana hilo ndio ninaloliona maana kwa cv ya mpango dont make me believe kuwa hajui VATKila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...
Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....
Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi
Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...
Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi
Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?
Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?
Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....
Hashim Rungwe SpundaTungempa Lowassa au sio
Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...
Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....
Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi
Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...
Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi
Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?
Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?
Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja mkuu. Kubwa zaidi tusubiri jinsi watakavyoingia kichwa kichwa na kodi ya nyumba za kupanga. Hapo watakao umia ni wananchi wa kawaida na sio vinginevyo.
Mfano: mimi nilijinyima sana na kamshahara kangu, sasa nimefanikiwa kuwa na nyumba ambayo wapangaji wangu wanalipa hela kiduchu tu ....single room elfu hamsini, na chumba + sebule ni elfu 80 kwa mwezi. Sasa endapo hawa majuha na mtukufu wataingia kichwa kichwa...watakao umia ni wananchi kwa sababu mimi kodi yangu itabaki pale pale (kama yalivyogoma mabenki yote TZ)....na hiyo nyongeza ya VAT watakayoingiza...au ku-charge kutoka kwangu....maana yake wapangaji wataongezewa kodi accordingly na hiyo itakayozidi ndio hao mahuja a.k.a vi.la.za wasio jua vyanzo mbadala wa kodi ndio watachukua.
Naichukia sana serikali ya mtukufu...ngosha kwa kutothamini maisha ya mwananchi wa hali ya chini. Kifupi wachumi wake wanao mshauri ni vi.la.za na hawajui kitu...wapo pale kwa ajili ya kumfurahisha tu mtukufu sana...ngosha basiiiii....ili walinde tu matumbo yao.
Hahhaha sio kusakiziwa mkuu,it's a normal business procedure kucover expenses zako na Income,....Banking industry hizo fees /charges, interest nk ndo income yaoKodi yoyote duniiani hullipwa na mteja.
Naelewa kuwa kulikuwa hakuna VAT kwenye financial transactions na still hakuna
Waombe CRDB, KCB, NMB n.k Kama huwa wanalipa VAT wakilipa bili ya umeme. Pamoja na fees zingine Kama EWURA etc... Watakwambia ndiyo
Sasa hiyo VAT waliyolipa TANESCO, wewe umesakiziwa kwenye fees, sema huwa haiyakinishwi kwenye risiti yako.
Pia wamelipa VAT waluponunua uniforms, vifaa mbalimbali etc.. Lakini gharama hizo ni costs ambazo huwa cushioned na fees.
Tukizungumzia financial transactions unakosea, Tanzania bado hakuna VAT kwenye financial transactions,
VAT ni kwenye fees.
Fees husaidia Ku cover gharama Kama za kukamilisha mikopo unapoomba mkopo kuna fee (application fee), ile ni ku-cover gharama Kama za stationaries, softwares etc.
Kuna fee unapoomba ATM card mpya, fee unapotoa hela etc...
Lakini hakuna fee unapo-transfer money within the same banks (most banks, najua AFB hawana) na hii haina VAT ingawa its still a financial transaction. Haina VAT kwa sababu haina fee
VAT ni kwenye fees tu, not financial transactions per se.
Mkuu ushabiki kweli una madhara yake,kama hivi ishu ya kodi imeingiliwa siasa basi haijulikani who is telling the truth.. GAVANA hili Kamishna lileeLadyRed, hii ndio discussion niliyotaka jana. Ona sasa, mimi sio mchumi lakini I get something out of your arguments. Sio zile chai za jana.
Mbona sukari tunanunua kilo shilingi 2600 na tumetulia tuli seuze kodi hii? Acha tu wafanye wanavyotaka kwani hatuna ubavu wa kuyabadilisha. Mimi ninasema elimu.., elimu.., elimu.' Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.'Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...
Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....
Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi
Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...
Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi
Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?
Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?
Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....
Nb sio kodi zote hulipwa na mteja chief...kuna kodi za aina nyingi, tukianza hapa ni story for another day mana kodi ni somo pana linalobadilika kila leo kuendana na mazingiraKodi yoyote duniiani hullipwa na mteja.
Naelewa kuwa kulikuwa hakuna VAT kwenye financial transactions na still hakuna
Waombe CRDB, KCB, NMB n.k Kama huwa wanalipa VAT wakilipa bili ya umeme. Pamoja na fees zingine Kama EWURA etc... Watakwambia ndiyo
Sasa hiyo VAT waliyolipa TANESCO, wewe umesakiziwa kwenye fees, sema huwa haiyakinishwi kwenye risiti yako.
Pia wamelipa VAT waluponunua uniforms, vifaa mbalimbali etc.. Lakini gharama hizo ni costs ambazo huwa cushioned na fees.
Tukizungumzia financial transactions unakosea, Tanzania bado hakuna VAT kwenye financial transactions,
VAT ni kwenye fees.
Fees husaidia Ku cover gharama Kama za kukamilisha mikopo unapoomba mkopo kuna fee (application fee), ile ni ku-cover gharama Kama za stationaries, softwares etc.
Kuna fee unapoomba ATM card mpya, fee unapotoa hela etc...
Lakini hakuna fee unapo-transfer money within the same banks (most banks, najua AFB hawana) na hii haina VAT ingawa its still a financial transaction. Haina VAT kwa sababu haina fee
VAT ni kwenye fees tu, not financial transactions per se.
Hahahaa .... Babaangu alikuwa anatumia Sana hiyo sentensiNb sio kodi zote hulipwa na mteja chief...kuna kodi za aina nyingi, tukianza hapa ni story for another day mana kodi ni somo pana linalobadilika kila leo kuendana na mazingira
Hahhaha sio kusakiziwa mkuu,it's a normal business procedure kucover expenses zako na Income,....Banking industry hizo fees /charges, interest nk ndo income yao