Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

Why do they make super profits then. Asilimia 30 ya faida za mabenki Tanzania zinatokana na fees.
Mabenki 10 yanayoongoza Tanzania yaliingiza faida ya Sh. Bilioni 250 tangu Jan mpaka June 2016.

Hapo serikali ingepata bilioni karibu 45 kwenye taxes. Sawa na km zaidi ya 40 za lami

Halafu tunawatetea badala ya kuwaambia waache tamaa.

SMH.
Sio tamaa,capitalist economy biashara lazma ikulipe,..hawafanyi charity ni profit making institutions, au ni kosa kutengeneza faida hahaha
 
Yeah, make profit fairly. Otherwise, if you don't regulate profits, then things like Slavery, low quality and expensive services prevail.
Hiyo ndiyo inaitwa jeuri/tamaa au greed.

Na ukiunga mkono vitu Kama hivyo, basi that tells a lot about the level of inhumanity that you are ready to support.

I'm with the people and
... You are apparently not.
 
Ahahahhahaha unanilaumu tu bure...can you define 'fair'?I see ts a subjective terminology
kati ya sirikali na mimi nani inhuman na hizi kodi zilizofichika,?wako wapi kuregulate viwango vya tozo za mabenki?hili limebuma, Je watakuja upya au ndo imetoka?
Banks wanapata profit sana mana navoona sio industry ambayo kila mtu anaweza amka akafungua tu kirejareja,sorta km kampuni za simu..
 
Wamerudi tena ,kuanzia August 15 , kila transaction charge imeongezwa kwa 18% ...ila this time ni kimya kimya tu.
Ahahahhahaha unanilaumu tu bure...can you define 'fair'?I see ts a subjective terminology
kati ya sirikali na mimi nani inhuman na hizi kodi zilizofichika,?wako wapi kuregulate viwango vya tozo za mabenki?hili limebuma, Je watakuja upya au ndo imetoka?
Banks wanapata profit sana mana navoona sio industry ambayo kila mtu anaweza amka akafungua tu kirejareja,sorta km kampuni za simu..
 
Ahahahhahaha unanilaumu tu bure...can you define 'fair'?I see ts a subjective terminology
kati ya sirikali na mimi nani inhuman na hizi kodi zilizofichika,?wako wapi kuregulate viwango vya tozo za mabenki?hili limebuma, Je watakuja upya au ndo imetoka?
Banks wanapata profit sana mana navoona sio industry ambayo kila mtu anaweza amka akafungua tu kirejareja,sorta km kampuni za simu..
Amini Amin nakwambia ... Kama unaona Tanzania kuna kodi, basi hujui what it takes not only to build, but maintain a large economy.
Tanzania is nothing! Mtoza kodi ni wa kumwogopa Sana nchi za wenzetu, yaani hata gangsters huwa hofu yao kubwa ni Taxman a.k.a Zakayo
Unalalamika Tanzania??? Pssht.
 
Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...

Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....

Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi

Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...

Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi

Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?

Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?

Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....
Naungamkono hoja, japo Dr.Mpango ni mchumi mbobezi, kwenye VAT ni zero! . Jana nimeenda CRDB na kukuta tangazo la ongezeko la VAT.

Serikali yetu ndiyo ilitudanganya kama watoto wadogo.

Pasco
 
Back
Top Bottom