Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

Waliongea bila aibu kwenye vyombo vya habari kuwa mwananchi haguswi kwenye Hilo ongezeko Na prof Ndulu aliwaambia hiyo VAT waliyoiongeza itakuwa kwa wananchi

Hapa inabidi tutafute njia ya kuyakabili haya mabadiliko la sivyo Hali itakuwa ngumu sana huko mbeleni

Nasikia wanakuja na kodi ingine ya nyumba za kupanga
 
Haha hivi huyo Magufuli kwa ayafanyayo tu anapaswa kuona aibu kwa afanyayo Dr. Mpango?

Hivi wana 'Taasisi' wao hawasiki aibu yoyote kweli au ndo wanakomaa na uso wa mbuzi tu?
 
Walitoa matamko kabisa ya kuzipiga mikwara benki zisiongeze kodi
sasa kumbe kodi zimeshaongezwa
na wao wako kiimya kabisa.....aibu sana
Hivi yale matamko yaliishia wapi? Yalitekelezwa?
Ila viongozi wetu wanajua hakuna Watanzania wa kutosha kukumbuka kuulizia mambo kama hayo ndio maana upuuzi ule ule unarudiwa kila siku!!
 
Kilio kwa mawakala, mizunguko imeshuka,
Makampuni ya simu yameongeza charges za kuwapatia pesa wao,
Mawakala wameachiwa mrejea ule ule tu
 
Hivi yale matamko yaliishia wapi? Yalitekelezwa?
Ila viongozi wetu wanajua hakuna Watanzania wa kutosha kukumbuka kuulizia mambo kama hayo ndio maana upuuzi ule ule unarudiwa kila siku!!

Na kodi mpya wanajadili kuileta
 
Halafu huyu Mpango ndo atatupeleka Tanzania ya viwanda eti?
Mkuu, mimi wasomi wa kitanzania wengi wao nina mashaka nao. Nafanya kazi na watu wana PhD lakini uwezo wao wa kujenga hoja na ufahamu wa mambo ni mdogo mno. Mpaka huwa najiuliza hizo PhD walizipataje? Huyu Mpango sishangai kwa sababu kama alishindwa kujua mlipa VAT ni nani usitegemee akawa na fikra pevu na chanya za kutufikisha kwenye Tanzania ya viwanda. Yaani sera za CCM mara nyingi ni verses kwenye nyimbo na huwa hazina maana halisi ya kile wanachokisema. Mfano mdogo ni mwaka 2005 walikuja hari mpya kasi mpya (matokeo yake hatukuona chochote), 201o wakaja na Maisha Bora kwa kila Mtanzania, ikawa kinyume chake ika Maisha ya hovyo kwa kila Mtanzania.
 
Hofu yangu ni Zimbabwe ya pili tu...
 
Kilio kwa mawakala, mizunguko imeshuka,
Makampuni ya simu yameongeza charges za kuwapatia pesa wao,
Mawakala wameachiwa mrejea ule ule tu

Hizo pesa wanazopata bank nadhani ndo hizo VAT zinazoenda serikalini kutokana na miamala ya wateja
 
Mkuu, mimi wasomi wa kitanzania wengi wao nina mashaka nao. Nafanya kazi na watu wana PhD lakini uwezo wao wa kujenga hoja na ufahamu wa mambo ni mdogo mno. Mpaka huwa najiuliza hizo PhD walizipataje? Huyu Mpango sishangai kwa sababu kama alishindwa kujua mlipa VAT ni nani usitegemee akawa na fikra pevu na chanya za kutufikisha kwenye Tanzania ya viwanda. Yaani sera za CCM mara nyingi ni verses kwenye nyimbo na huwa hazina maana halisi ya kile wanachokisema. Mfano mdogo ni mwaka 2005 walikuja hari mpya kasi mpya (matokeo yake hatukuona chochote), 201o wakaja na Maisha Bora kwa kila Mtanzania, ikawa kinyume chake ika Maisha ya hovyo kwa kila Mtanzania.

Wengi wap awapendi kujifunza,wanajiona kila kitu wanajua.
 
Hofu yangu ni Zimbabwe ya pili tu...
Kuanzia huyo mwenye PhD ya Kemia, yeye anajiona ndo anajua kila kitu hapa duniani. Na hatafika popote badala yake atalazimisha kuendelea kama huyo wa zimbabwe.
 
Kuanzia huyo mwenye PhD ya Kemia, yeye anajiona ndo anajua kila kitu hapa duniani. Na hatafika popote badala yake atalazimisha kuendelea kama huyo wa zimbabwe.

Ndo namuuliza lusungo akibadili katiba aendelee
'taasisi' ina namna ya kumzuia?

Manake eti Rais haendi mikutano ya UN lakini anaenda harusi ya Mswati....
nashindwa kuelewa
 
Dear members of great thinkers try to read the notes below and relate it to the explanations given by one of the TRA leaders few days after the national budget being approved and passed by the Parliament.

Value-Added Tax - VAT

A value-added tax (VAT) is a type of consumption tax that is placed on a product whenever value is added at a stage of production and at final sale. The amount of VAT that the user pays is the cost of the product, less any of the costs of materials used in the product that have already been taxed.
Proponents of a VAT suggest that replacing the current income tax system with a federal VAT would make it much more difficult to evade paying taxes. They claim it would also greatly simplify the complex federal tax code and increase the efficiency of the Internal Revenue Service.

Opponents, however, note many potential drawbacks of a VAT, including increased costs for business owners throughout the chain of production. A federal VAT could also create conflicts with state and local governments across the country, which charge their own sales taxes at rates set at the state and local levels.

Critics also note that consumers typically wind up paying higher prices with a VAT. While the VAT theoretically spreads the tax burden along every phase of manufacturing from raw goods to final product, in practice, increased costs are typically passed along to the consumer.

In contrast to the current income tax, which levies more taxes on high-level earners than on low-income workers, a VAT would apply equally to every purchase. This could significantly benefit taxpayers with high incomes, who typically spend far less than they earn and save a large portion of their income. Since low-income workers often live from paycheck to paycheck and spend their entire income every month, they would pay a much higher proportion of their income in taxes with a VAT system than wealthy earners.
 
Attachments

  • upload_2016-8-13_21-32-31.png
    upload_2016-8-13_21-32-31.png
    300 bytes · Views: 39
  • upload_2016-8-13_21-32-31.png
    upload_2016-8-13_21-32-31.png
    244 bytes · Views: 38
Nimeona madudu mengi sana yanayofanywa na hii serikali ila hili la VAT limenitia wasiwasi na linaumiza, haya yote ni effect ya viongozi wanaotumia mucus instead of minds
 
Back
Top Bottom