Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

Jibu ni simple
Huenda maslahi yao wamehakikishiwa. Hutakuta wakilalama wala vikwazo anataka Tundu.
 
Hawaoni umuhimu wowote kuingilia mambo ya ndani ya nchi. Hivi Tanzania ilishawahi kuzungumza lolote kuhusu watuhumiwa wa ugaidi waliopo Guantanamo bay?
African states are fligile soma.zaid ujue wewe. Unalinganisha Tanzania na USA!
 
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.

Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.

Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
View attachment 1871563

View attachment 1871773

View attachment 1871774
 
Mood ya watu wengi ni kusubiri nini Samia atafanya kwa Taifa..kuliko kukubali mashinikizo ya wapinzani
 
Wazungu wanaogopoa mno ugaidi. Wakisikia gaidi limetiwa nguvuni kwao shangwe.
 
You can't treat your fellow countryman like that just because you have different views and opinion pertaining issues concerning national importance.

Mama mbona unatuangusha jamani?
Sijawahi kigindua kuwa Chahali ana akili kisoda
 
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.

Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.

Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
View attachment 1871563

View attachment 1871773

View attachment 1871774
Toa ushamba wako hapa, unadhani kila mtu ni mbumbumbu Kama wewe?
Hakuna nchi Duniani inayopigana kukomboa nchi nyingine bila faida,mkishindwa kujikomboa wenyewe kufeni huko.
Halafu ukome kuwa unatuchora
 
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.

Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.

Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
View attachment 1871563

View attachment 1871773

View attachment 1871774
Mnakera! Mnalialia kwa Marekani as if ndiye mama yenu, si mhamie Marekani kama mnataka?
 
Haya mataifa yanaelewa vizuri kuwa serikali ya awamu ya sita ipo madarakani miezi 4 na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ametoa ahadi kuwa baada ya kujenga uchumi atashughulikia hili suala la katiba iweje leo CHADEMA waanze kutoa vitisho na kuanza kongamano la masuala ya katiba sasa. Mbowe allifanya ziara Tanzania nzima na kufanya mikutano ya ndani bila bughudha yeyote ambapo wakati wa serikali ya awamu ya tano hakuweza. Chadema wanafanya siasa za kihuni angalia leo mpaka wanavaa mavazi ya akina Hayati Chaves hii ikionyesha ni chama anti western.
 
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.

Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.

Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
View attachment 1871563

View attachment 1871773

View attachment 1871774
Ni kama vile msanii anataka kuzindua ngoma, kila ngoma anaizindulia XXL clouds, afu anaanza kulaumu vituo vingine haviipi promo nyimbo yake.
 
Wanajua jinsi jamaa alivyokuwa anaendesha ugaidi hapa nchini kimyakimya! So they don't need bother abt the truth!
 
Back
Top Bottom