Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

Kagame yule pale anaua watu kila siku ila huwezi sikia wakimpigia kelele unajua kwanjni .

Anawapa wanachotaka siku akiacha ndio utawasikia.

American interests.

Laiti Iraq isingekuwa na mafuta marekani Wala asingejisumbua kuivamia .

Kainyonya wewe Sasa anasepa
 
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.

Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.

Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
View attachment 1871563

View attachment 1871773

View attachment 1871774
Zimegundua ukweli kuwa chadema ni waganga njaa tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanafikiria wanatupenda sana.Kumbe ni suala la maslahi tu.
Cha msingi uwahakikishie wanachokitaka. Hata ungeua watu hadharani mchana kweupe, they won't bother!
Mzee Baba alikuwa anatishia maslahi yao. Chochote kilichowapa uchochoro wa kutoa matamko walikitumia hata kama hakina kichwa Wala miguu!
 
Haya mataifa yanaelewa vizuri kuwa serikali ya awamu ya sita ipo madarakani miezi 4 na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ametoa ahadi kuwa baada ya kujenga uchumi atashughulikia hili suala la katiba iweje leo CHADEMA waanze kutoa vitisho na kuanza kongamano la masuala ya katiba sasa. Mbowe allifanya ziara Tanzania nzima na kufanya mikutano ya ndani bila bughudha yeyote ambapo wakati wa serikali ya awamu ya tano hakuweza. Chadema wanafanya siasa za kihuni angalia leo mpaka wanavaa mavazi ya akina Hayati Chaves hii ikionyesha ni chama anti western.
Stupid punda jike wewe,kufeni wote mbwa nyie,uchumi gani mnajenga CCM mavi yenu nyie bata mbwa?
Mna miaka 60 madarakani kila siku mnajenga uchumi,mbwa nyie koko wauaji wakubwa shenz zenu kima boya senz
 
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.

Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.

Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
View attachment 1871563

View attachment 1871773

View attachment 1871774
Hoja yako ni ipi? kwamba wanaunga mkono Mbowe kupewa kesi?
 
Walichokitaka tayari mama ametekeleza(chanjo ya corona) mbowe wa nn sasa? Huwez support iwa na mzungu bila kuwa na walichokiwekeza kwako
 
Cha msingi uwahakikishie wanachokitaka. Hata ungeua watu hadharani mchana kweupe, they won't bother!
Mzee Baba alikuwa anatishia maslahi yao. Chochote kilichowapa uchochoro wa kutoa matamko walikitumia hata kama hakina kichwa Wala miguu!
Good. Umemjibu ipasavyo. Nchi za ulaya wanaangalia masrahi yao. Hata ukiua watu wako,na masrahi yao hayaguswi,unawalinda,wanakaa kimya kama hawaoni. Lakini ukiwashika mkono kwenye masrahi yao,watapiga kelele hata bodaboda tu zikigoma nchini.
 
Stupid punda jike wewe,kufeni wote mbwa nyie,uchumi gani mnajenga CCM mavi yenu nyie bata mbwa?
Mna miaka 60 madarakani kila siku mnajenga uchumi,mbwa nyie koko wauaji wakubwa shenz zenu kima boya senz
Kwanini serikali isiwashughulikie kama mmekuwa chama cha kihuni na matusi. Unatakiwa ujibu hoja kistaarabu sio kutukana.
 
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.

Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.

Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
View attachment 1871563

View attachment 1871773

View attachment 1871774

Uko sahihi sana, hebu tuambie nini kilibadilika kwenye hayo matamko yaliyotoka awali? Maalum Seif yeye alifanya mpaka ziara huko ulaya baada ya kuporwa uchaguzi 2015, kipi kilibadilika?
 
Cha msingi uwahakikishie wanachokitaka. Hata ungeua watu hadharani mchana kweupe, they won't bother!
Mzee Baba alikuwa anatishia maslahi yao. Chochote kilichowapa uchochoro wa kutoa matamko walikitumia hata kama hakina kichwa Wala miguu!

Wengi wanafikiri kwamba wazungu wanawapenda sana. Kumbe hapendwi mtu hapa, bali ni vitu tu. Wanapenda gesi yako, mafuta yako, almasi yako, dhahabu yako n.k. Muafrika siyo ndugu yao.
 
CDM watulize vichwa wabadiri muelekeo wa siasa zao...kutoka kuwa wapigania demokrasia na wanaharakati wanaowategemea wazungu kuikomboa Tanzania wachukue uelekeo mwingine kulingana na nyakati..

Nyakati za sasa hii mbinu ya kushitaki kwa wazungu haiwezi kufanikiwa maana wabobezi wa diplomasia wako kazini, JK na vijana wake wako kazini na huwezi kwa sasa kuishitaki Tanzania huko ughaibuni maana hawa akina JK wanajua namna ya kucheza hizi game ughaibuni compared na watu kama akina Lissu na wengine.....
 
Wengi wanafikiri kwamba wazungu wanawapenda sana. Kumbe hapendwi mtu hapa, bali ni vitu tu. Wanapenda gesi yako, mafuta yako, almasi yako, dhahabu yako n.k. Muafrika siyo ndugu yao.
Wachina ndo wanawapenda sana si ndo hivyo wewe toto shenz taipu wewe
 
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.

Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.

Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
View attachment 1871563

View attachment 1871773

View attachment 1871774

Siku tukiacha kufikiri hatma yetu iko Washington au Brussels ndio siku tutakuwa tumekombolewa
 
You can't treat your fellow countryman like that just because you have different views and opinion pertaining issues concerning national importance.

Mama mbona unatuangusha jamani?
Kutotumia akili kumemweka Mbowe jela, hadi aje kutoka chama kishapoteana, ubabe wa kijinga ni hasara kwa upinzani na taifa kiujumla. Makesi kila siku na kusahau kuendeleza chama. Tangu 2015 CDM wamepoteana na raia kuwachoka, acheni huu ujinga kwa kweli. Msirudie makosa ya Mbowe
 
.mkuu ni wewee? Siku hizi umwbasilika sana. Umerogwa nini?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom