Hawa wazanzibar wanatukanyaga kichwani ,hili clip inatakiwa tuwarudishie majibu ! Kama wameuchoka muungano nao waondoke kwetu ! Hii clip ingekuwa huyo anaepigwa ni mzanzibar mambo yangekuwa si mambo lazima wangelipiza kwa kuwapiga watu wetu huko
Waondoke warudi kwao hatutaki ubaguzi.hili jambo lazima tuone linafanyiwa kazi waliofanya ichi kitendo wakamatwe watiwe adabu.na serikali itoe tamko otherwise sisi wabara tunaonekana mapoyoyo
 
Ndugu zetu hawaamini mtu kuwa na dini moyoni mwake wanaamini mtu akifanyia unafiki wanadamu na sio kufanya yaliyo mema kwa mungu, dini haiwezi kuenea kupitia nguvu kwa dunia ya sasa itaenea kupitia mahubiri yenye upendo.

NB hii video inaonyesha mwananchi akiadhibiwa wa wayana wananchi wa kisiwani zanzibar kwa kula mchana na kuambiwa hapa sio Tz bara, serikali iangalie hili isikalie kimya maana mambo ya kidini kwenye jamii yapo serious na yanaweza kuleta mtafaruko mkubwa na Tz sio nchi ya kidini.
 
Mahali akitawala Muislam 100% basi huwa ni marufuku kutoa nafasi kwa imani nyingine kuishi maisha yao yaani wao wanajiona wapo sahihi zaidi hawataki kuskia imani nyingine, Angalia Saudi Arabia,Iran,Oman,Qatar na nchi nyingine za kiislam ambazo tayari zimeshawaambukiza hizo tabia hadi kwenye makoloni yao hapa Africa now wanajiona ni kama waarabu.

Muislam akienda nchi yenye wakristo wengi huwa anataka haki sawa na anapewa uhuru wa kujenga Misikiti na hawasumbuliwi, Angalia Ngome ya Ukristo Rome Italy ipo misikiti ya kumwaga tu yaani unaweza ukaingia Rome kipindi cha kwarezma ukakuta Muislam anakula ila hasumbuliwi ila ukikutwa Saudi unakula ramadhani na ww ni mkristo, wao kwao ni jela Direct ila nchi za wengine wanataka uhuru na wanapewa

Nchi kama China na India wana Dini zao ila wengi mnaenda China kufunga mizigo na kurudi huwezi ukaenda Guangzhou,Beijing ukakuta mchina anakwambia hapa hamna kula inshort wana imani zao na hawazitumii kunyanyasa wengine

Maswala kama haya na mambo mengine mengi kama kujitoa muhanga na kuuwa watu hovyo ndio yanayofanya nnchi nyingi zinawachukulia kama sio watu wastaharabu

Ndio maana naanza kuamini kuwa Harakati za India na China kupambana kuzuia uislam kuenea kwao huenda kuna kitu walishakipima na wanaanza kuchukua Tahadhari, Maana India au China sijawahi kuskia Wakristo wakipigwa vita ila Wanapiga sana vita uislam kuenea kwao na sijui mna shida gani
 
Moderators unganisheni hizi nyUzi zenye malalamiko kuhusu Zanzibar zimekuwa nyingi.

Hizi picha/video hazipendezi. Wazanzibar na viongozi wao wajitathmini. Kuna dhambi kubwa zaidi zinafanyika huko kuliko hizi za wasio fungal wazifanyie kazi.
 
Lini tumelazimisha !?ukivunjika Leo tutaita siku ya uhuru wa Tanganyika nje ya ule wa 1961
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
mie nadhani ikiwa ni ndugu, muislamu mwenzao ambae hana sababu ya msingi ya kutokufunga, wako sahihi katika kurekebisha na kumsahihisha licha ya kua uamuzi wa kufunga au kutoka kufunga ni wake binafsi 🐒

hata hivyo,
kuzingatia table manners ni muhimu zaidi, sio tu katika mwezi huu wa mfungo bali nyakati zote za kula ...
hivi ukapika chakula chako kwako ukakaa ndani kwako mezani na familia yako mkafakamia msosi wenu taratibu bila kuwasumbua wengineo walioko njee , waliofunga nani atahangaika na wewe?🐒

Ni kwasbabu we don't observe table manners, ulimbukeni na mazoea vimetujaa, tunatamani kula chochote mahali popote bila pia kuzingatia wengine wamefunga, wamekula au hawajala. That is wrong 🐒

kaa ndani kula chakula chako taratibu. Toka ñjoo kijiweni tuendeleze soga na story za hapa na pale. Sio wew unakuja kijiweni na msahani wako wa pilau au chips unabugia akati sie tupo kwenye hali tunazozijua wenyewe 🐒

si sawa,
hata hivyo we can handle negative issues, positively na tutanyosha maneno muzuri zaidi 🐒
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Wengi hapo ni rangi nyeupe, anayechapwa ni kama katokea Kigoma, halafu kuna wengine wanafanana na wakwere, wameungana na weupe kumsulubu mweusi mwenzao
CC FaizaFoxy
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Ni kweli si vizuri kujichukulia hukumu mikononi mwetu, kwani tuna sheria ambazo zinazotuongoza. Lakini tujaribu kuishi kwa kuzingatia khulka, silika na tamaduni za sehemu tunazokuwepo. Hakuna kitu kizuri kama kuheshimiana, kustahamiliana na kupendana kwani kama watanzania tuna mengi ya kutufanya kuwa wamoja kuliko hizi tofauti zetu za kiimani au kichama.
 
Ukisema ukweli inaitwa mchochezi hii nchi bana sidhani kama tutaendelea!!!
Ukweli Bara hatujielewii Acha tuchapwe bakora nchi zawatu sisi si hatuna nchiyetuu!
Lini sisi tutaongoza kwao hususan mambo Yao (yasiyo ya muungano)??
kutoka kwao tunaamulia bara
*tupate katiba MPYA ama la!
*Atupangia mkuu wa mkoa/wilaya/mkurugenzi nk.
*atuamulie mambo siyo ya muungano mf. waziri wa uchukuzi wakwao wakati sijambo la muungano!!
*afukuza kazi wazee wetu kina Lukuvi,kabudi nk. aweke wakumsifu tuu wasio na say...
yaani nimambo ya hivihivi tuu!!
Hapa ni tuwe na serikali tatu baaas!!
 
hata hivyo,
kuzingatia table manners ni muhimu zaidi, sio tu katika mwezi huu wa mfungo bali nyakati zote za kula ...
hivi ukapika chakula chako kwako ukakaa ndani kwako mezani na familia yako mkafakamia msosi wenu taratibu bila kuwasumbua wengineo walioko njee , waliofunga nani atahangaika na wewe?🐒
Kwa akili za wazanzibari watavunja mlango tu wakutoe mzimamzima
 
Back
Top Bottom