hata hivyo,
kuzingatia table manners ni muhimu zaidi, sio tu katika mwezi huu wa mfungo bali nyakati zote za kula ...
hivi ukapika chakula chako kwako ukakaa ndani kwako mezani na familia yako mkafakamia msosi wenu taratibu bila kuwasumbua wengineo walioko njee , waliofunga nani atahangaika na wewe?🐒
Kwa akili za wazanzibari watavunja mlango tu wakutoe mzimamzima
 
Kwa akili za wazanzibari watavunja mlango tu wakutoe mzimamzima
watajuaje unakula, ama ukila unapiga makelele au wale samaki mlonunua pamoja pale sokoni ulikua unawapeleka wap 🐒

ndio maana nasema observe table manners hakuna atakae jua unakula au umekula 🐒
 
watajuaje unakula, ama ukila unapiga makelele au wale samaki mlonunua pamoja pale sokoni ulikua unawapeleka wap 🐒

ndio maana nasema observe table manners hakuna atakae jua unakula au umekula 🐒
Makaangizo hayana siri
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
swali la kujiuliza, ni mungu wa aina gani hawa jamaa wanaabudu, wamefura kwa hasira utafikiri wamefanywa chochote, kumbe mtu alikula chakula kwa pesa yake na bila kuwaingilia kwa chochote. huyu mungu wao lazima ni mbaya sana, naye ni shetani kabisa. sio Mungu yule ambaye wengine tunaabudu. uislam ni ushetani wa wazi wazi.
 
Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.

Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Wanafahamu kwamba Mzanzibari mwenzao ni rais huko bara? Au hawamtambui?

Ni kwanini baadhi ya waislamu huwa wanapenda kuwalazimisha watu wengine kufuata imani yao?
 
Kule Zanzibar kuna ustaarabu wake mijitu mingi ya Tanganyika ikija kule inataka kufanya uchokozi kwa makusudi matokeo yake ndio hayo apo, mimi ushauri wangu kama huna kazi ya maana huna haja ya kwenda Zanzibar na ndo maana tunaomba duaa passport zirejeshwe kuingia Zanzibar ili kuondoa vitendo kama ivi
 
Kule Zanzibar kuna ustaarabu wake mijitu mingi ya Tanganyika ikija kule inataka kufanya uchokozi kwa makusudi matokeo yake ndio hayo apo, mimi ushauri wangu kama huna kazi ya maana huna haja ya kwenda Zanzibar na ndo maana tunaomba duaa passport zirejeshwe kuingia Zanzibar ili kuondoa vitendo kama ivi
Nimeambiwa Zanzibar kuna wakristo pia, sasa kama kuna wakristo, kuweka taratibu za nchi zinazolinda dini moja sio jambo zuri. Unataka wakristo wazanzibar waende wapi kila inapofika wakati wa Ramadhani?
 
jamani wabara wenzangu muda mwengine inabidi tujifunze kuheshimu tu sheria na tamaduni za eneo husika mana huo ndio utamaduni wao hata kabla yamuungano kwamba mwez wa ramadhani kula mchana tena mbele za watu ni kinyume cha sheria unguja.
 
Alafu Rais wao kakaa kimya walipiga wamasai saivi mbara yyte!!
hivi bara wakianza kudunda wazenji itakuwaje? Nahivi walivyo dhaifuu siwatadanja hawa.
Marais wetu woote wazanzibari embu waseme kitu kukemea
 
Aisee hata hapo upanga dsm karibu na Campus ya MUDCC ,kipindi cha ramadhani migahawa mingi hufungwa.

Hawa ndugu zetu waislamu kiukweli huu si uungwana kabsaa. Huku Bara tukiamua kuwafanyia hivyo itakuwaje? Hata kwenye huduma tu kata,ardhi,elimu n.k?
Kwani wauslamu walioko Bara wenyewe wanasema je?
 
Nchi hii haitotokea watu wakaelewana na kuwa na umoja wenye nguvu wa kuiondoa Ccm madarakani !

Vitu vidogo vidogo tu vinawafanya wasielewane na wasiaminiane kabisa !!

Kweli CCM ni kiboko yao 😅😅🤣🤣 !
 
Moderators unganisheni hizi nyUzi zenye malalamiko kuhusu Zanzibar zimekuwa nyingi.

Hizi picha/video hazipendezi. Wazanzibar na viongozi wao wajitathmini. Kuna dhambi kubwa zaidi zinafanyika huko kuliko hizi za wasio fungal wazifanyie kazi.
Wasizionganishe acha watu wachambue hili suala from their perspective.
 
Back
Top Bottom