Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

mwinguli nchemba mbona kimya?amesharudi toka huko mbinguni alikosema anakwenda kutoa ushaidi?
 
Mawio itakuwa saa saba mchana, na machweo itakuwa saa tisa usiku,

Jua litawahi kuchomoza makaburi ya kinondoni saa nane kamili usiku, na litawahi kuzama msitu wa mabwepande saa sita kamili mchana!

Viwango vyote vya hali ya hewa vimekujia kwa hisani ya mtu wa Kigamboni-Mbutu
 
Mods mpo likizo. Yanayoendelea kwenye thread hii ni ya kijingakijinga. Ifuteni thread hii
 
msigwa anajua tu kupiga kelele lakini alivyofika polisi kawa mpole na katulizwa chezea kamhanda wewe.
 
Mbona kwenye rasimu ya katiba imewekwa.

hawajatutendea vema wa bara,kwanini iwe inanyesha zanzibar siku tatu na bara siku nne tu wakati sisi tuko 42ml na wao 2.5ml,napinga sana mgawanyo usio sawa wa mvua hii.
 
wataanza na kozi ya micro application computer, alafu watafanya mabadiliko kuanzia kipa mpaka midfield na center half.

uko sawa kabisa,hili suala la wabunge wawili naona ingependeza akichaguliwa mwanaume mkewe naye anakuwa mbunge ili kuitendea vema jinsia!
 
mkuu, yani upepo ni mkali sana na kiangazi ndo'kimeanza mpaka meli zinatimua vumbi baharini.

ile hela yangu ya nyumba mwisho kesho,kama hutanilipa mapema naenda mahakamani ili FIFA wakufungie kupanga sehemu yoyote hapa duniani.
 
hawajatutendea vema wa bara,kwanini iwe inanyesha zanzibar siku tatu na bara siku nne tu wakati sisi tuko 42ml na wao 2.5ml,napinga sana mgawanyo usio sawa wa mvua hii.

Tumeamua kubadilisha bara itanyesha cku6 na zenj cku1 kwanza wao hawajui hata kulima. Nimeongea na EL kasema kesho anafunga mitambo ila atakua anaicontrol mwenyewe.
 
Safi sana jf,kwa hoja za kijinga tunavyo zikataa,hata mimi nina muda mrefu sijatuma pesa kwa mama mzazi maccm bwana! Tumuombeeni bwana amosi apone na angalizo tu ccm hamuwezi kutua wote mwisho wa siku tutawashinda na mtafata ilani ya CHADEMA time will come and it will tell.mandalichod boslina mbavu sana
 
Back
Top Bottom