Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

MBEGE.jpg
Wakuu karibuni mbege baada ya mihangaiko ya kutwa nzima
 
Ndugu zangu wanajf tangu mbunge wa iringa mjini alivyokamatwa na jeshi la polisi na kulala rumande kwa siku moja katika kituo cha polisi iringa amebadilika sana hii ni pamoja na kuwa na adabu ya aina yake ikiwa ni pamoja na kuacha kuongea ongea najiuliza je ni miongoni mwa masharti aliyopewa polisi au polisi wamemfanya nini au pengine ameamua kuchagua aina nyingine ya maisha?

walimlibelari nackia
 
hii post siielewi kbs, kuna mix ya siasa na comments za mpira wa miguu plus ujenzi sijui wa kitu gani :A S confused:
 
Faida ya zao la mhogo ni chakula chenye wangu ambapo unaweza kuchemsha mhogo,kukaanga au hata kuteneza kashata. Magamba ya mhogo ukichemsha, ni chakula kizuri cha swine, matawi ya zao la mhogo ni kuni lakini vile vile ni mbegu unaweza kupanda ili baada ya miezi minne uvune mihogo mingine.Lakini pia, majani ya mhogo ni mboga nzuri sana bila kusahau kwamba ni chakula cha mbuzi na kondoo. Faida tengefu ya mhogo, hustahimili ukame na ardhi yenye rutuba kidogo. Nawashauri wana JF wenzangu wenye vishamba, limeni zao la mhogo.Ahsanteni sana
Pia baada ya kuvuna mhogo, mmea/shina la/wake hutumika kama kuni achana na mkaa! Je unazifaham "Mbute"?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom