Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Hapana mkuu cdm lazima uwe na ulinzi wa mababu wa zamani kinyume chake haukatishi hata mwezi hasa ukitangaza kugombea vyeo vya pale juu.
Vipi umesikia malalamiko ya mzee Edwin? Unadhani khofu yake hasa ni nini? Au ni yule kijana aliyeaga kwao?

Mkuu nahofia panya wangu kuzungumzia hili swala.
 
Jamaa aliny..a debe siku moja tu akaona kama yuko jehanam, kule kazoea lema.

Vipi mkuu umesikia malalamiko ya mzee edwin yule mmiliki wa cdm? Juu ya rasimu ya katiba kuhusu kuruhusu mgombea binafsi? Je kibri chake kitaishia hapa au ataendelea kujifanya mtemi na kuachia madaraka mithili ya utawala wa kimila?
 
Hivi ile mvua ya kutengeneza bado inapatikana? Yaani huku kwenu ni fulli ukame... sijui muhishimiwa atakubali kunionganisha na wale madalali wa Thai?! Tunaihitaji sana. Hasa msimu huu wa June, July na August..
 
Mkuu hivi mvua nayo ni moja ya maswala ya muungano?
 
Vipi mkuu umesikia malalamiko ya mzee edwin yule mmiliki wa cdm? Juu ya rasimu ya katiba kuhusu kuruhusu mgombea binafsi? Je kibri chake kitaishia hapa au ataendelea kujifanya mtemi na kuachia madaraka mithili ya utawala wa kimila?

Yale mabasi ya Mtei naona yanapiga kazi siku hizi?! Muda si mrefu yatazipita Dar exp na Kilimanjaro exp. Ila yako vizuri lkn?
 
Hivi kariakoo wanafungua sangapi maduka yao.
 
Jamani kuna memba hapa kasema ana matikiti, nahitaji gunia 17 fasta nina hamu nayo sana maana nimetoka jela (ban) jana tu!

mkuu, yani upepo ni mkali sana na kiangazi ndo'kimeanza mpaka meli zinatimua vumbi baharini.
 
Jamaa aliny..a debe siku moja tu akaona kama yuko jehanam, kule kazoea lema.

mkuu yani we acha tu, Vick Kamata amelia sana leo wakati wa kuaga mwili wa ndugu yetu pale viwanja vya leaders, imefikia hatua mpaka waombolezaji wengine wazidiwe na majonzi.
 
Yale mabasi ya Mtei naona yanapiga kazi siku hizi?! Muda si mrefu yatazipita Dar exp na Kilimanjaro exp. Ila yako vizuri lkn?

wataanza na kozi ya micro application computer, alafu watafanya mabadiliko kuanzia kipa mpaka midfield na center half.
 
Back
Top Bottom